ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

url
url
5.+Ujumbe+wa+Mukama+na+wa+mgeni+wakiwa+katika+mazungumzo.jpg
 
Source: TBC
Kiwanda cha cementi kitajengwa eneo la MUSALE mkoani Mtwara. Kichocheo ni uwepo wa gesi ASILIA.
MANUFAA: kitaajiri watu 5,000, kitachochea maendeleo ya kusini n.k.
MWEKEZAJI: ni ALIKO DANGOTE yule tajiri wa NIGERIA na mmoja wa matajiri wakubwa AFRICA.
WAKANDARASI: Kiwanda kitajengwa na WAASIA!
SIFA: Kitakuwa kiwanda kikubwa kabisa AFRICA.

TETESI SERIKALINI/MTAANI/NDANI YA CHAMA: Kuna tetesi serikalini, Lumumba na mtaani kuwa kiwanda hiki kitakuwa na mkono wa CCM!..

SISIEMU itaambulia 10% (bila kuchangia fedha yoyote) - kwa kuwa mwekezaji mwenza kwa kutumia mikataba waliyoingia na DANGOTE kipindi cha uongozi wa MUKAMA ndani ya CCM..

Hali hii inachagizwa na ziara ya bwana DANGOTE hapa nchini kubebwa na CHAMA CHA MAPINDUZI.

Taarifa zaidi zinaonyesha. ….Harakati zote hizi za kuanzisha makampuni ya biashara, kusaka nafasi za tenda na uwekezaji, ni maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, ambao chama cha mapinduzi kinajiandaa kifedha kukabiliana na upinzani mkali utakaowalazimu kuingia gharama kubwa sana kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika TANZANIA.

My take: Natarajia kuona CCM ikicheza michezo michafu mingi kwa siri au wazi wazi ili ijihakikishie usalama 2015.
Natarajia kuona fedha nyingi zikiendelea kukusanywa na kutumika kuhujumu demokrasia kama hali inavyoendelea sasa.

CDM haina haja ya kuhangaika kuhusu hilo, vyama vikubwa kama vya Misri, Libya, KANU, nk vilikuwa vikubwa sana na utajiri wa kutisha...wali-sign ma-mikataba ya kutisha, na mingine ya mwelekeo wa kupata mafunzo, ya kujilinda (kijeshi)...na wameiba mali ya umma vya kutisha, wametumia vitega-uchumi vya nchi zao kujilinda vya kutosha na kudhani wananchi watakuwa waoga, hawatajua kinachoendelea na wataendelea kununulika kwa fedha zao za wizi kwa miaka yote, lakini ..asallaale!! vyama hivyo vipo?? vimeyeyukia wapi? mikono ya haki, nguvu ya umma na ujasiri wa utaifa havikwamishwi na matumizi makubwa ya fedha kununua utawala...yote yanaishia kusikotabirika kama wafalme wa 'enzi' walivyotokomea...! CCM nayo ijue 'gurudumu hili linazunguka...halisimami. nao watapitia mkondo huo huo...ni suala la muda tu na kumbukumbu nzuri ili kushuhudia haya...!
'Mbwa koko haachi kuogopa kuwa saa yoyote anapigwa...ndio CCM!
 
Dangote ndiyo zake.Hata kule Nigeria anashirikiana na chama tawala cha PDP kufanya ufisadi

Aliwachangia mamilioni ya hela uchaguzi uliopita

Aliwahi kukumbwa na kashfa ya kuchakachua hisa alipokua mwenyekiti wa soko la Hisa Nigeria

Anamiliki chama cha siasa kiitwacho PDP kule Nigeria,

Anamadudu mengi sana.

Duh! inaoneakana chama ni chake alafu anaingia nacho ubia!
anakula huku nahuku!
 
Matajiri wengi wakubwa duniani wana trait za ujanja ujanja na kona nyingi
 
Mi sitaki kujua nani anamiliki ccm ina hisa ngapi! Kiwanda kijengwe bei ya cement ishuke watz wa mtwara wapate ajira na fursa zingine zifunguke hayo mengine endeleeni nayo jana dangote katangaza kujenga kiwanda cha kusafishia mafuta kwao nigeria ambacho kwa siku kitatoa mapipa zaidi ya laki 4 itakua msaada mkubwa kwa mwananchi wa kawaida wa nigeria
 
Mtwara hawadanginyiki na tena ndio hasira za ndani kwa ndani zimezidi mara dufu kwa kupelekewa mavifaru ya kuwadungua kama waasi ndani ya nchi yao!!!
 
Ulikuwa unataka nini? machadema yameona hayana means tena ndo maana yamebaki kujamba tu! DANGOTE NA CCM HOYEEEEEEE!
 
Nasikitika sana kama kweli CHADEMA NI WATANZANIA AU LA, KATIKA KAMPENI NA PITAPITA YAO WANAWADHARAU WATANZANIA ETI TUMEZOEA KUPEWA BURE, WAO WAMEFANYA NINI ZAIDI YA KWENDA KWA WALE MASHOGA NA KUOMBA MISAADA? WANAFIKIRI KUWA NA HELKOPTA NDIO KUONEKANA WAPIGANAJI. CHADEMA WENGI WAMEFANYA SIASA AJIRA KWA HIYO HAWANA PA KWENDA NDO MAANA WANABAKI WANAJENGA CHAMA BADALA YA KUJENGA UCHUMI WA NCHI. ILI WAKIPATA WAWEZE KUPEANA, ASAS WAZIRI KIVULI NI LEVEL GANI YA ELIMU ZAO/ mbona ,Myika amekimbia chuo tena akiwa anasoma EVENING CLASS YAKAMSHINDA SASA ANAISHIA KUKARIRI TAARIFA NA KUTAPIKA BUNGENI, MAINTERLECTUAL TUSIDNGANYWE,,,,,,,,ALL CHADEMA ARE OPORTUNISTY ONLY, NOTHING THEY HAVE!
 
Dangote ndiyo zake.Hata kule Nigeria anashirikiana na chama tawala cha PDP kufanya ufisadi

Aliwachangia mamilioni ya hela uchaguzi uliopita

Aliwahi kukumbwa na kashfa ya kuchakachua hisa alipokua mwenyekiti wa soko la Hisa Nigeria

Ben acheni kulalamika kila siku na nyie bungueni bongo mtafute miradi yakuwekeza kuliko kila siku kutegemea bakuli la ruzuku, Chama hakiendeshwi kwa ruzuku tu, ila kwa miradi pia. Vijana nyie mpo fungueni miradi acheni lawama
 
SSM vitega uchumi, wafadhili mafisadi!!!!! Sina la kusema ila mwisho wa siku hata hiyo memorandum itapatikana tu!!!!! Chezea wazalendo weye. Nina imani ipo siku kizazi cha miaka 5 au 10 ijayo kitaibadilisha hii nchi kabisa. Marekani iliwezekana!!! Demographically considered minority are now majority and vice versa!!! Same will apply in Tanzania in near future.
 
Back
Top Bottom