babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,221
- 3,167
Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani.
Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha baadhi ya vyumba alivyokuwa amekodi kwenye hotel.
Alijisikia kuchoka na kuhamua kwenda kujipumzisha chumba chake alichokodi. Lakini baadae alitushwa na wadada watatu walioingia chumbani kwake.
Wazungu wanamsemo, “Every coin has two sides”!