Alikiba: Nilinusurika kubakwa Marekani!

Kiba kakosea sana

Kutafuta league na Mange ni ujinga.

Mange ni mwehu sana atamharibia sana

The best way was to keep quite.

We all men knows what happened.

Mwanaume Hakwe?

Tena mbongo? Labda choko
 
Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani.

Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha baadhi ya vyumba alivyokuwa amekodi kwenye hotel.

Alijisikia kuchoka na kuhamua kwenda kujipumzisha chumba chake alichokodi. Lakini baadae alitushwa na wadada watatu walioingia chumbani kwake.

Wazungu wanamsemo, “Every coin has two sides”!
Huyu dogo anaishi kama maisha yake, ni msanii....never take him serious. Labda abakwe na demu kama Mange tu.
 
Mange malaya hivyo eti asitoe K.. Haaaa, ila Mange kwa kujisifia asionekane malaya, wakati ni malaya professional. Nyoko sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom