MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 930
- 1,552
Wanahubiri freedom of speech ila kwa baadhi ya maswala endapo ukiwa unaongea ukweli kuwahusu wao wanakataa.Halafu wamemkataza kuingia Israel ijapokuwa naye ni Myahudi. Alichokifanya Norman ni freedom of speech! Hilo likmfanya apigwe ban kuingia Israel. Ajabu Israel inajiita ni nchi ya Democracy.