Alichosema Dr. Norman Finkelstein ambaye ni Myahudi kuhusu Sera ya Mambo ya Israel

Blah blah.

Unajiongelea tu.
Umekosa hoja, sasa una jaribu kuonyesha chuki zako kwa Jewz.

Kwa taarifa yako Wapalestina wanafanya Kazi katika nchi ya Uyahudi.

WOTE ndio kitu gani?
Acha Hisia.

Kule nchini Russian yupo raia tajiri maarufu bilionea Abromavich ambaye ni Myahudi na yupo katika system ya Russia na akina Putin, anachimba mafuta huko.

Taifa la Israel linashiriki mechi za Ulaya. Bilionea Abromavich anamiliki timu ya chelsea hapo UK

Kusahau Wayahudi waliopigania Taifa la AMerica mpaka likapata Uhuru chini ya Mwingereza.

Kuna waamerika wengi ambao ni Bloodline ya Jews.

Vyuo vikuu bora na vikubwa nchini US. Yale University nk

Wanasayansi wanaoheshimika sana duniani walioshiriki kuunda Taifa la Israel na chuo kikuu pale Israel akina Albert Einstein, na wengineo wengi.

Bila kuwasahau Wanasayansi na askari wa Kiyahudi walioisaidia UK ikaishinda Ottoman Empire wakipigana sambamba na jeshi la UK na mwasayansi wa kiyahudi aliyeunda unga wa vilipuzi zamani hizo ili kulisaidia jeshi la Great Britain

Kuna Idadi ya Nobel Prices walizopewa wayahudi katika fani mbalimbali za kisayansi, kitabibu nk.. Waarabu wote duniani hawafikishi hata robo. Bado utasema Wayahudi wanabaguliwa.

Na kuhusu Swala la Unyonyaji ni Hofu zako zinatokana na "Jewphobia".

Kwahizo baseless arguments ulizokwisha sema mpaka sasa. Nachoweza kusema Wayahudi ni watu wenye Akili sana. Mti wenye Matunda haukosi kutupiwa mawe.
Acha kuweka emoji za kucheka ovyo. Unaongea point zako huku unacheka na sioni cha kuchekesha hapa
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Sio kweli kuwa wanafanikiwa kwa sababu ya nguvu za Giza. Kama Ni nguvu za Giza Basi Waarabu na waafrika wangefanikiwa Sana Kama wao.
Mafanikio Yao ndiyo chanzo Cha wao kuchukiwa na Wenyeji. Hata walipokuwa Misri walichukiwa kwa sababu Hiyo na hatimaye Mungu aliwaokoa.
Ukweli Ni kuwa mafanikio Yao yanatokana na sababu kadhaa ikiwemo Upendeleo waliopewa na Mungu.
 
kila eneo unalotaja lina sababu tofauti. Uk ndio iliwapa mandate ya wao kukalia Eneo la Palestine. Kama ubaguzi ungekua na Nguvu kiasi hicho wasingepewa. Na kama wamepewa basi ni Mpango wa Mungu. Na kama ni mpango wake hoja zingine hazina msingi. Maana wako Imara pamoja na uchache wao

Yaani Umekataa hoja zangu havi. Ukaja na hoja za kitoto kwelikweli

Hauna Ushahidi wowote wa unyonyaji huko Ulaya. Na hata maana ya neno "Unyonyaji" hauelewi.

Huko Ulaya, wazungu wamegeuka kua Wapalestina na wasyria wanauwawa na wayahudi?.

Kwa taarifa yako, Adui wa M Palestine ni kikundi cha Hamas kinachotawala hapo Gaza. Soma kitabu cha waasisi wa Hamas. Pia soma Katiba ya Hamas ambapo ajenda kuu ni kufuta taifa la Israel pale middle East.

Soft copy please mkuu
 
Soft copy please mkuu
Nilikua nai convert kwenye PDF maana format zingine hii JF hai support. Mzigo huoView attachment wbjgdr9101574177615722.pdf

Usikose kuPitia huu muendelezo link

Waterloo wayahudi wana mchango mkubwa wa nani anakua rais wa marekani simply through lobbying.
Ujue marekani ndiko chimbuko la ulokole,
sasa walokole wanaamini kuwa,ATAKAEILAANI ISRAEL NITAMLAANI,

Sasa haka kasentensi ndipo wayahudi huchukulia point, wapiga kura wa Marekani asilimia kubwa ni walokole ama walokole jina. Sasa Wayahudi huwa wanaangalia mgombea yupi anaweza kujali maslahi ya Israel, wakimuona ni fulani wao ndo wanapeleka lobbying na sasa walokole wakiona wayahudi wanamtaka fulani na wao wanaegemea huko na kumpa kura.

Sasa hiyo ndo maana wagombea wote huwa wanajitangaza kuisupport israel lakini anayetoa ahadi za waziwazi za kuisupport Israel mfano Trump alipotangaza kuhakikisha Jerusalem unakua mji mkuu wa Israel, aliungwa mkono na Sheldon Anderson ambaye ndo Myahudi Kingmaker wa Marekani, na hivyo walokole kama wote walipiga kura kwa Trump,juu anasupport israel na hivyo walokole nao waNasupport ili kujikatia free pass ya kuingia mbinguni.
katika nyanja kama hii uwa nina muona Elungata tofauti kabisa na Elungata wa siasa za Bongo..
bilashaka upande wa siasa za bongo uwa unanyofoa fyuzi ya ufaham ama ni njaa tu, inabidi usifie mambo yaeende.
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Kwahivyo kwa hoja yako kinachowapa nguvu wayahudi ni Imani yao katika TARMUD?

Is that so?
 
Natamani kujifunza mengi kupitia hii hoja yako, naomba uiweke vizuri hoja yako juu ya wayahudi na kufanya makafara na mapatano na shetani, unaweza kuiweka katika fact katika maana ya kutaka kuelewa juu ya hicho?
Hamna kitu hapo. Mimi pia nimemuuliza swali anijibu twende mdogomdogo.
 
Kwa mtazamo wangu hao jamaa mafanikio yao yote katika engo zote ni juhudi binafsi tu ndio zinazo weza kutoa Matokeo mazuri au mabaya na itategemea na malengo yako.

Kwenye kujisimika kwa maana ya kung'ang'ania mahali sioni kama ni hoja sana ,sababu hapa nchini kwetu (mfano) Wawekezaji wanapokuja hawaji na bunduki.Tuna wakaribisha wenyewe na kuwasimika kwa kuwapa/kuingia nao Mikataba Mibovu.Ikija kugundulika tunaanza kuwalaumu wawekezaji na kuwaita ni wanyoji (Mabeberu) nk.

Hayo ya Ibada za Kishetani haituhusu kwa Sababu ni Imani zao waamini wanacho amini ilimuradi Imani yao haileti Athari kwa Raia wengine its fine ..
Ni kwanini hao wazungu au waarabu hawakutangulia kung'ang'ania kila sekta na kila area huko mashariki ya kati?

Kwanini walishindwa kuresist?
 
Wherever. Yaani wao tu wametoa mitume Watakatifu. Wayahudi Ni Uzao mmoja wa Moses mpaka Yesu Kristo.
Mmh! ndugu yangu una mapenzi ya dhati na wayahudi hadi baadhi ya vitu unaongeza! hujui tu kuna baadhi ya Mitume hawakuwa wayahudi,ndio nyie mnaamini wayahudi watakwenda mbinguni woote kwasababu Yesu alitokea kwao!
 
Mmh! ndugu yangu una mapenzi ya dhati na wayahudi hadi baadhi ya vitu unaongeza!
Hapana haipo hivyo.
Ni wewe umekua filled with hate, resentment, and anger toward Jewish people, kiasi kwamba unataka Kutuaminisha Vitu ambavyo ni Irrational na false kuhusiana na Jews. Una post madai ambayo yana appearance like true story kwa nje lakini hayana Ukweli wowote to the inside.

Negativity kills Reasons

Mie siungi mkono Chuki za kibaguzi.

hujui tu kuna baadhi ya Mitume hawakuwa wayahudi,
Most Of Them were Jews.

ndio nyie mnaamini wayahudi watakwenda mbinguni woote kwasababu Yesu alitokea kwao!
I'll probably be happy if I heard People of other nations saying that We Tanzanians will go To heaven. The wish is Beautiful.
I don't see any problem with that.
 
Hii ya kusema wayahudi ndo wanaaamua nani awe rais wa marekani mnalishana matango pori ninachojua wana organization yao ambayo ina ushawishi na siyo kwaajili ya marekani bali kuunga mkono maslai ya Israel ndani ya marekani.
Pole sana hujui habari za wazee wa ZAYUNI.
 
Wana very powerful lobby inapofika wakati wa uchaguzi kule Marekani na kwa kiasi fulani ina-influence the way people vote.

Kama wamekuwa na uwezo wa kuifanya Marekani iwe na special policy amicable to Israel as a country then ina maana wana ushawishi mkubwa kwenye chaguzi za Marekani. That cannot be ignored.
Acha kabisa, ule uchaguzi huwa ni geresha tu. Takwa la kisheria ila yaliyo nyuma ya pazia hata Hilary Clinton awe hoja zlizoshiba vp asahau kuwa rais. Mambo ni mengi muda?
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
YOUR UNDERSTANDING OF THE JEWS IS VERY VERY SHALLOW, pls study the history of jews and you will find out who they are and why they are persecuted the way they are, let me give you a glimpse of the jews, they are less than 0.01% of this worlds population, yet they they have won more than 24% of all nobels prizes, they lead the world in agriculture, medicine and technology, if you remove all jewish inventions in this world it will came to a halt,they are only around 9m, we in tz we are around 52m, what invention have we came up with, any nobel prize won by tanzanians,
 
Nobels Prizes so what?? stick to the notion on "why they are Disliked despite of what you have regarded as inventions achievement in Medicine and technology" and Yet still persecuted!,
You cannot deny the fact that the Jews are being persecuted and hate toward them (anti semitism) is a growing issue in America,Europe and middle east since you are very DEEP on JEWISH subject kindly tell us why?
 
Hawa wayahudi wako wachache sana kwa idadi yao lakini tunateseka nao kweli kwenye mioyo yetu.
Waacheni wapumue nasisi race zingine zigundue mambo kuwazidi hao wayahudi wanaochukiwa duniani wakati mwingine bila sababu.
 
Mmh! ndugu yangu una mapenzi ya dhati na wayahudi hadi baadhi ya vitu unaongeza! hujui tu kuna baadhi ya Mitume hawakuwa wayahudi,ndio nyie mnaamini wayahudi watakwenda mbinguni woote kwasababu Yesu alitokea kwao!
Nipe nabii yeyote aliyewahi kutokea nje na myahudi
 
Back
Top Bottom