Alichosema Dr. Norman Finkelstein ambaye ni Myahudi kuhusu Sera ya Mambo ya Israel

Chuki dhidi ya Wayahudi kwa hapo Middle east inatokana na Dini ya Uislamu. Uislamu unaamini kuna siku itafika waislamu watawaua wayahudi wote duniani pamoja na nguruwe. Kwahiyo hii kwao ni ishara ya Ushindi. Hawawezi kuacha kuwachukia. Nje ya dini, wanaelewana vizuri sana. Soma na tafiti.

Wahindi wanabaguliwa vizuri sana hasa hapo UK. Nafikiri ungejiuliza vipi kuhusu mtu mweusi naye anatatizo gani? Maana yeye kila baya lilimshukia. Utumwa, Ubaguzi wa rangi, Ukoloni, Vita, umaskini, magonjwa, Njaa, Ukame, Ujinga, nk
OK kama chuki ni kwasababu ya dini ya kiislam kwanini hizo sehemu za ulaya hasa ujerumani na ufaransa wanachukiwa sana na walichinjwa sana kipindi cha vita ya pili ya dunia na hakuna uislam huko ??? ,
 
Hapo middle east sababu wanachukuliwa kuwa wamevamia maeneo ya watu japo enzi na enzi zilizopita ilikuwa sehemu yao

Mambo ni mengi na sababu ni nyingi japo mm sizijui zaidi

Mambo ya kushetan kila jamii inayo tu hata huku kwetu tunageuza watu misukule na tunaua albino mbona fresh tuu

Wivu tu wa watu mm siwachukii wayahudi wala jamii yoyote
Ok ukiacha middle east,mbona sehemu hizo hapo nimezitaja nako pia wanachukiwa sana inamaana kote huko watu wana waonea WIVU wao tu?
 
OK kama chuki ni kwasababu ya dini ya kiislam kwanini hizo sehemu za ulaya hasa ujerumani na ufaransa wanachukiwa sana na walichinjwa sana kipindi cha vita ya pili ya dunia na hakuna uislam huko ??? ,

Kulingana na Swali lako,

Ipo imani kua Chuki dhidi ya Wayahudi ni mpango wa kinabii wa Mungu, ili wayahudi wote warudi haraka katika nchi yao ya ahadi kama walivyofanya 1948 wakajitangazia Uhuru,wakapata kibali,waarbu wakapigana vita wakapigwa vibaya sana.1967. kwakua mwisho umekaribia, Ili Kristo akija awakute wote hapo.

Na kama nilivyoeleza awali, unabii katika Uislamu una imani kua Wanatakiwa wawaue wayahudi wote na wawaondoe kwenye uso wa dunia. Waamini wanatamani kua sehemu ya mkakati kutimiza unabii Huo ili wavune thawabu kwa allah kupitia vita ya kuchinja wayahudi wote ulimwenguni na kuwamaliza pamoja na mnyama Nguruwe.

Kwahiyo ni swala la kutekelza misheni ya allah.
Na mara kadhaa wakigombana na Israel hufanya fujo kubwa wakiwa na matumaini, ndio saa imefika, lakini mara zote vita yao imekua haifiki mbali.

Kule Ujerumani, Jews wengi walikua ndio wameshika Nguvu kubwa ya kiuchumi. Adolf Hitler Akiwa madarakani alisaidia ku hamsha mvuke wa chuki dhidi yao kua wame control uchumi na sababu ya wajerumani wengi kua maskini. Na zaidi sana, ukisoma historia, utaona enzi ya Hitler, ujerumani iliingia mafungamano ya ushirikiano na waarabu waislamu ili kuwaangamiza wayahudi nchini humo. Waarabu wa hapopalestinaa walimpendahitlersana

France kumekua na ongezeko kubwa la waislamu wahamiaji kutokea arabuni na afrika kaskazini. Hawa kwa ajenda zao wako tayari kuwasingizia lolote wayahudi kwasababu chuki yao ina misingi ya kidini kuliko kitu kingine. Na taifa lingine wanachukia ni USA.

Kwa ujumla wayahudi walikua wengi sana maeneo ya Ulaya magharibi na USA kuliko urusi walikokua wakibaguliwa. Na ndio maana wamefanya mambo makubwa sana, ikiwemo kua na Taifa Huru, Jerusalem kua mji Mkuu, kua na nguvu katika siasa za America.

Na hizi Nchi za ulaya mgharibi zina sheria kali dhidi ya anti-semitics.
 
>Hakuna mpango wowote wa Kinabii wa Mungu kuhusu chuki dhidi ya wayahudi,i mean kama ni mpango wa kinabii wa Mungu ni lazima ungeandikwa katika biblia tukafanya reference hapa sasa sijui wewe umeutoa wapi huo unabii au ni hisia zako tu umeamua kusema hivyo.

>Sidhani kama katika uislam kuna mahala imeandikwa wawaue wayahudi na Nguruwe kama ipo hiyo sehem naomba uirejee hapa sura na kitabu chake ili tuwe na uhakika zaidi

>Ok kama ujerumani waliwaua kisa wameshikilia nguvu za uchumi na ufaransa wanawachukia sababu wahamiaji wa kiiislam ni wengi sana sasahivi ,Vipi kuhusu Uingereza,spain,urusi,poland,hungary miaka ile ya zamani???

Mzizi wa chuki dhidi ya wayahudi sio Dini,wala Maendeleo bali ni tabia zao za UNYONYAJI ndio maana kila mahala wanapokwenda wanachukiwa,ona wanavyoua wapalestina,wasiria kila kukicha,middle east hawana rafiki hata mmoja kabla hujawatetea jiulize kwanini wao tu na sio jamii nyingine.
 
>Hakuna mpango wowote wa Kinabii wa Mungu kuhusu chuki dhidi ya wayahudi,i mean kama ni mpango wa kinabii wa Mungu ni lazima ungeandikwa katika biblia tukafanya reference hapa sasa sijui wewe umeutoa wapi huo unabii au ni hisia zako tu umeamua kusema hivyo
>Sidhani kama katika uislam kuna mahala imeandikwa wawaue wayahudi na Nguruwe kama ipo hiyo sehem naomba uirejee hapa sura na kitabu chake ili tuwe na uhakika zaidi
>Ok kama ujerumani waliwaua kisa wameshikilia nguvu za uchumi na ufaransa wanawachukia sababu wahamiaji wa kiiislam ni wengi sana sasahivi ,Vipi kuhusu Uingereza,spain,urusi,poland,hungary miaka ile ya zamani???

Mzizi wa chuki dhidi ya wayahudi sio Dini,wala Maendeleo bali ni tabia zao za UNYONYAJI ndio maana kila mahala wanapokwenda wanachukiwa,ona wanavyoua wapalestina,wasiria kila kukicha,middle east hawana rafiki hata mmoja kabla hujawatetea jiulize kwanini wao tu na sio jamii nyingine
Sasa kuna maendeleo bila unyonyaji?? Wanyonyaji ndo wenye maendeleo

Hio ndo sababu ya kuchukiwa
 
>Hakuna mpango wowote wa Kinabii wa Mungu kuhusu chuki dhidi ya wayahudi,i mean kama ni mpango wa kinabii wa Mungu ni lazima ungeandikwa katika biblia tukafanya reference hapa sasa sijui wewe umeutoa wapi huo unabii au ni hisia zako tu umeamua kusema hivyo

>Sidhani kama katika uislam kuna mahala imeandikwa wawaue wayahudi na Nguruwe kama ipo hiyo sehem naomba uirejee hapa sura na kitabu chake ili tuwe na uhakika zaidi

>Ok kama ujerumani waliwaua kisa wameshikilia nguvu za uchumi na ufaransa wanawachukia sababu wahamiaji wa kiiislam ni wengi sana sasahivi ,Vipi kuhusu Uingereza,spain,urusi,poland,hungary miaka ile ya zamani???
kila eneo unalotaja lina sababu tofauti. Uk ndio iliwapa mandate ya wao kukalia Eneo la Palestine. Kama ubaguzi ungekua na Nguvu kiasi hicho wasingepewa. Na kama wamepewa basi ni Mpango wa Mungu. Na kama ni mpango wake hoja zingine hazina msingi. Maana wako Imara pamoja na uchache wao

Mzizi wa chuki dhidi ya wayahudi sio Dini,wala Maendeleo bali ni tabia zao za UNYONYAJI ndio maana kila mahala wanapokwenda wanachukiwa,ona wanavyoua wapalestina,wasiria kila kukicha,middle east hawana rafiki hata mmoja kabla hujawatetea jiulize kwanini wao tu na sio jamii nyingine

Yaani Umekataa hoja zangu havi. Ukaja na hoja za kitoto kwelikweli

Hauna Ushahidi wowote wa unyonyaji huko Ulaya. Na hata maana ya neno "Unyonyaji" hauelewi.

Huko Ulaya, wazungu wamegeuka kua Wapalestina na wasyria wanauwawa na wayahudi?.

Kwa taarifa yako, Adui wa M Palestine ni kikundi cha Hamas kinachotawala hapo Gaza. Soma kitabu cha waasisi wa Hamas. Pia soma Katiba ya Hamas ambapo ajenda kuu ni kufuta taifa la Israel pale middle East.

cover.jpeg
 
kila eneo unalotaja lina sababu tofauti. Uk ndio iliwapa mandate ya wao kukalia Eneo la Palestine. Kama ubaguzi ungekua na Nguvu kiasi hicho wasingepewa. Na kama wamepewa basi ni Mpango wa Mungu. Na kama ni mpango wake hoja zingine hazina msingi. Maana wako Imara pamoja na uchache wao
>Out from nowhere umerukia na kusema "Ni mpango wa Mungu" UK kuwapa mandate wayahudi kukalia palestine kwanini isiwe mpango wa Mungu wapalestina kukaa pale? Wapi umeambiwa ni mpango wa Mungu? ume-refer nini hasa hadi ukaja na conclusion kuwa ni mpango wa Mungu??

Yaani Umekataa hoja zangu havi. Ukaja na hoja za kitoto kwelikweli
Hauna Ushahidi wowote wa unyonyaji huko Ulaya. Na hata maana ya neno "Unyonyaji" hauelewi.
Huko Ulaya, wazungu wamegeuka kua Wapalestina na wasyria wanauwawa na wayahudi?.

>Ushahidi naweza nisikupe hapa mimi narejea sababu za watu wanaowachukia wayahudi wanasema wayahudi ni ma Parasite(wanyonyaji),Hitler na kundi lake walisema hivyo unaweza fuatilia hotuba zake na chama chao cha Nazi hadi wakawaua 6+Million,Vladmir Lenin na wenzake walifanya mapinduzi ya Bolshevick na baadaye kuwatimua wayahudi kwa sababu zile zile,Uingereza,spain,italy koote wanatoa sababu moja za kuwatimua wayahudi miaka ya nyuma ANTI-SEMITISM inakua kwa kasi sana nchi za ulaya sasahv na sababu kubwa ya hii chuki dhidi ya wayahudi ni ile ile ya miaka nenda miaka rudi "WANYONYAJI" ndiomaana CHUKI dhidi yao inakua na haiishi!

Kwa taarifa yako, Adui wa M Palestine ni kikundi cha Hamas kinachotawala hapo Gaza. Soma kitabu cha waasisi wa Hamas. Pia soma Katiba ya Hamas ambapo ajenda kuu ni kufuta taifa la Israel pale middle East.
>Ndio yale yale ya CCM kuwachonganisha Chadema na kuwaambia adui yenu mkubwa ni Mbowe! kwahiyo wewe ulitaka wapalestina wakae tu hivi wakati ardhi yao inaporwa? wengine waliokata tamaa wametulia wenye moyo wa ujasiri wanapigana ndio hao akina HAMAS na wengine ni kawaida kwa binadamu kupigania unaloliamini
 
Kwa sababu wanaakili na hawashobokei tamaduni za watu wengine, wamekaa ulaya almost millennium lakin hawajaacha tamaduni zao

Wazungu wanataka mufuate tamaduni zao Jews huo mda hawana, ndo maana hats waarubu wanachukiwa na wazungu Kwa sababu hawako tayari kuacha tamaduni zao
Ss kama waarabu wanachukiwa kwa kupenda tamaduni zao kwa nn wayahudi wao hawachukiwi kwakukumbatia tamaduni zao ?!
 
Leta ushahidi mkuu juu ya hizi PUMBA
Chuki dhidi ya Wayahudi kwa hapo Middle east inatokana na Dini ya Uislamu. Uislamu unaamini kuna siku itafika waislamu watawaua wayahudi wote duniani pamoja na nguruwe. Kwahiyo hii kwao ni ishara ya Ushindi. Hawawezi kuacha kuwachukia. Nje ya dini, wanaelewana vizuri sana. Soma na tafiti.

Wahindi wanabaguliwa vizuri sana hasa hapo UK. Nafikiri ungejiuliza vipi kuhusu mtu mweusi naye anatatizo gani? Maana yeye kila baya lilimshukia. Utumwa, Ubaguzi wa rangi, Ukoloni, Vita, umaskini, magonjwa, Njaa, Ukame, Ujinga, nk
Chuki dhidi ya Wayahudi kwa hapo Middle east inatokana na Dini ya Uislamu. Uislamu unaamini kuna siku itafika waislamu watawaua wayahudi wote duniani pamoja na nguruwe. Kwahiyo hii kwao ni ishara ya Ushindi. Hawawezi kuacha kuwachukia.
 
>Out from nowhere umerukia na kusema "Ni mpango wa Mungu" UK kuwapa mandate wayahudi kukalia palestine kwanini isiwe mpango wa Mungu wapalestina kukaa pale? Wapi umeambiwa ni mpango wa Mungu? ume-refer nini hasa hadi ukaja na conclusion kuwa ni mpango wa Mungu??
Sababu za Jews kurudi pale ni kua Jerusalem ni sehemu takatifu na ya kihistoria kwao. Kwahiyo ni sababu za kiimani. Wamefanya kitu kwaajili ya Dini yao, wakiamini Mungu aliwapangia waishi pale tangu zama za Nabii Moses. Since 1948, It worked perfectly!

Wapalestina wana weza ku co-exist na wayahudi ingawa external influence from their fellow arabs countries make the situation difficult to them.

>Ushahidi naweza nisikupe hapa mimi NAREJEA SABABU za watu wanaowachukia wayahudi wanasema wayahudi ni ma Parasite(wanyonyaji)
PARASITE my foot?

1. HITLER NA KUNDI LAKE WALISEMA HIVYO

Unaweza fuatilia hotuba zake na chama chao cha NAZI hadi wakawaua 6+Million,

2. VLADIMIR LENIN na wenzake walifanya mapinduzi ya Bolshevick na baadaye kuwatimua wayahudi kwa sababu zile zile, Uingereza, Spain, Italy koote wanatoa sababu moja za kuwatimua wayahudi miaka ya nyuma ANTI-SEMITISM inakua kwa kasi sana nchi za ulaya sasa hv na sababu kubwa ya hii chuki dhidi ya wayahudi ni ile ile ya miaka nenda miaka rudi "WANYONYAJI" ndio maana CHUKI dhidi yao inakua na haiishi!

These Notorious Dictators ndio unawatumia kama ushahidi kwako. You gotta be kidding.
KamA Ungekua umezaliwa zama zao bila shaka Ungekubali porojo zao.

Huko Russia ilikua wanajiendehsa kwa kufuata Ideology za akina Marxisms ambazo zilichukia kila aina ya Dini ikiwemo Judaism.

Lakini kama utatazama Nafasi ya Judaism, utaishia ku overlook Dini zingine.
In short Kuna masuala ya Kisiasa kuhusu Wayahudi ndani ya Russia wakati wa Lennin.

Kama kuna watu duniani, wameongelewa maneno mabaya basi blacks wanaongoza.
Labda hatuna rekodi au hatutaki kujishughulisha.

I am against any irrational hate speech from any Human being.

Kuna watu maarufu wamewaita Raising Heads. Na wakadai Ukiota Mwanamke Mweusi ni dalili ya Ugonjwa unaokuja.

Ukitazama Hotuba ya bwana Francis Botha wa South Africa utaelewa mtu mweusi anavyochukuliwa.
Kila zama ya hii Dunia, MTU mweusi amekua aki play the following major role ya mtu Mtumwa na mnyonge
na maskini.

Na kama kweli hasingiziwi mbona hakufanikiwa?.
Hate speech zinaongoza kutolewa na watu ambao ni psychopath kama akina Hitler. kwasababu wamebeba Ajenda nyuma ya hizo Chuki.
Hitler aliua Vilema. Mauaji aliyoyafanya yanamwonyesha kua hakua mtu Timamu. Unataja chama cha NAZI?
HII mifano yako imejaa matobo sana kajipange. You are smart than these..

>Ndio yale yale ya CCM kuwachonganisha Chadema na kuwaambia adui yenu mkubwa ni Mbowe! kwahiyo wewe ulitaka wapalestina wakae tu hivi wakati ardhi yao inaporwa? wengine waliokata tamaa wametulia wenye moyo wa ujasiri wanapigana ndio hao akina HAMAS na wengine ni kawaida kwa binadamu kupigania unaloliamini
Hapa Nimekupa hicho kitabu ukisome. Inaonyesha haujui lolote kihusu mamlaka ya wapalestina na Jiografia ya pale.

Chama bora kwa maslahi ya wapalestina ni PLO tu. Hiki ndio chama chenye utulivu na dira. HAMAS ni chama cha Kigaidi kinachofadhiliwa na Iran kimemiliki eneo la ukanda wa Gaza.

ETI ARDHI YAO..
 
Sababu za Jews kurudi pale ni kua Jerusalem ni sehemu takatifu na ya kihistoria kwao. Kwahiyo ni sababu za kiimani. Wamefanya kitu kwaajili ya Dini yao, wakiamini Mungu aliwapangia waishi pale tangu zama za Nabii Moses. Since 1948, It worked perfectly!
>Then kama ni dini yao ndio imewaambia hivyo warudi then ni dini yao pekeyao siyo dini ya wapalestina au waarabu,na by the way mwanzo ulisema ni mpango wa Mungu sasahivi umebadirisha umeandika ni Dini yao,hata hiyo dini yao nikikuuliza wapi katika dini yao imeandikwa warudi huna reference hata moja isipokuwa unaongozwa na hisia tu ,unahisi Dini yao tu imesema warudi pale just HISIA!

Wapalestina wana weza ku co-exist na wayahudi ingawa external influence from their fellow arabs countries make the situation difficult to them.
>The same way kwa wayahudi wanaweza ku co exist na wapalestina isipokuwa external influence kutoka kwa the fellow allies of Israel make the situation difficult to them!

PARASITE my foot?
These Notorious Dictators ndio unawatumia kama ushahidi kwako. You gotta be kidding.
KamA Ungekua umezaliwa zama zao bila shaka Ungekubali porojo zao.
Huko Russia ilikua wanajiendehsa kwa kufuata Ideology za akina Marxisms ambazo zilichukia kila aina ya Dini ikiwemo Judaism.
Lakini kama utatazama Nafasi ya Judaism, utaishia ku overlook Dini zingine.
In short Kuna masuala ya Kisiasa kuhusu Wayahudi ndani ya Russia wakati wa Lennin.
Kama kuna watu duniani, wameongelewa maneno mabaya basi blacks wanaongoza.
Labda hatuna rekodi au hatutaki kujishughulisha.
I am against any irrational hate speech from any Human being.
>So mataifa yoote waliyowatimua wayahudi walikuwa na Viongozi Madikteta! we utakuwa unatania
 
Ndio shida ya hao wayahudi fake ,Norman kawaeleza ukweli walichomfanya hadi leo hana hata chuo kimoja kinaweza kumuajiri marekani Kama Lecturer,mazionist wana tabia ya parasite,ni wanyonyaji kama kupe,wakiingia kwenye taifa husika wanakamata taasisi zoote nyeti na njia za uchumi halafu wanakuwa wanaamua wao nini kifanyike,ndio maana koote walikowahi kwenda kukaa mwisho wa siku walikuja kuuwawa na wengine kukimbia imetokea miaka na miaka,
>Misri 1208 BC
>Palestine/Israel 70 AD
>Ufaransa 1182
>Uingereza 1290 (Edict of Expulsion )
>Spain mwaka 1492 (Alhambra Decree )
>Russia mwaka 1891
>Halafu ikafuata ile Kubwa lao sasa baada ya kuona woote walikuwa wanawafukuza halafu baada ya miaka kadhaa wanarudi tena jamaa likaamua kuwaangamiza woote kwenye matanuri ya GAS! Huko Ujerumani na POLAND kwenye ile miaka ya NAZI GERMANY ndio hii wanaiita HOLOCAUST
Sasa swali la kujiuliza kwanini wao tu na sio Wengine?ukimsikiliza Norman katika mahojiano yake mengi yeye kafokasi kwenye chanzo cha hayo yoote sio kwa watu wanao wachukia bali kwa wao wenyewe wayahudi,nikama ukiona nzi wanakufuata usianze kuwapulizia dawa kwanza jiangalie wewe mwenyewe huwenda una uchafu,
Chanzo cha yoote hayo na kuchukiwa wayahudi ni tabia zao za Kujiona wao ni binadamu halali zaidi Duniani kuliko binadamu wengine,wayahudi wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha imani kinaitwa TARMUD,na ndio huko wanafanya makafara na mapatano na shetani kwa lengo la kupewa uwezo wa kucontrol biashara na njia mbalimbali za uchumi na wamefanikiwa kwenye hilo
baada ya wayahudi wengi kukimbilia marekani baada ya vita ya pili ya dunia nako huko marekani jamaa wanamiliki biashara na taasisi zoote nyeti za taifa hilo,mabenki yoote makubwa makubwa yao,biashara za madini yoote ya thamani wanaimiliki wao,matajiri woote wakubwa wengi ni wayahudi wao ndio wanaamua nani awe raisi wa marekani na nani asiwe,wana control marekani,uk,ujerumani,ufaransa na mataifa mengine ya ulaya kupitia mfumo wa Federal reserve bank (unaweza kuusoma vizuri kupitia you tube) Ndiomaana chuki dhidi yao huwa inakua siku hadi siku
Sasahivi ulaya chuki dhidi ya wayahudi (ANTI SEMITISM) imeongezeka sana hadi kufikia point wanaanza kukimbia tena ulaya kurudi israeli na huko pia muda si mrefu kutawaka moto si unasikia mgogoro na Iran unavyofukuta.
Umeongelea vitu vizito ambavyo vinapaswa vyenyewe pia kufungulia mada. Kwa mfano unaposema wanamiliki vyanzo vikubwa vya biashara, wanatoa makafara kwa she Tani, wanaamini dunia ni ya kwao kupipitia kitabu chap: zote hizi ni mada zinazopaswa kuwa na supportive references. So jipange mkuu na sio kugusagusa kama ulivyofanya coz inaonekana kama uko so biased with Judism.
 
>Then kama ni dini yao ndio imewaambia hivyo warudi then ni dini yao pekeyao siyo dini ya wapalestina au waarabu,na by the way mwanzo ulisema ni mpango wa Mungu sasahivi umebadirisha umeandika ni Dini yao,hata hiyo dini yao nikikuuliza wapi katika dini yao imeandikwa warudi huna reference hata moja isipokuwa unaongozwa na hisia tu ,unahisi Dini yao tu imesema warudi pale just HISIA
Blah blah.

>The same way kwa wayahudi wanaweza ku co exist na wapalestina isipokuwa external influence kutoka kwa the fellow allies of Israel make the situation difficult to them!
Unajiongelea tu.
Umekosa hoja, sasa una jaribu kuonyesha chuki zako kwa Jewz.

Kwa taarifa yako Wapalestina wanafanya Kazi katika nchi ya Uyahudi.

>So mataifa yoote waliyowatimua wayahudi walikuwa na Viongozi Madikteta! we utakuwa unatania
WOTE ndio kitu gani?
Acha Hisia.

Kule nchini Russian yupo raia tajiri maarufu bilionea Abromavich ambaye ni Myahudi na yupo katika system ya Russia na akina Putin, anachimba mafuta huko.

Taifa la Israel linashiriki mechi za Ulaya. Bilionea Abromavich anamiliki timu ya chelsea hapo UK

Kusahau Wayahudi waliopigania Taifa la AMerica mpaka likapata Uhuru chini ya Mwingereza.

Kuna waamerika wengi ambao ni Bloodline ya Jews.

Vyuo vikuu bora na vikubwa nchini US. Yale University nk

Wanasayansi wanaoheshimika sana duniani walioshiriki kuunda Taifa la Israel na chuo kikuu pale Israel akina Albert Einstein, na wengineo wengi.

Bila kuwasahau Wanasayansi na askari wa Kiyahudi walioisaidia UK ikaishinda Ottoman Empire wakipigana sambamba na jeshi la UK na mwasayansi wa kiyahudi aliyeunda unga wa vilipuzi zamani hizo ili kulisaidia jeshi la Great Britain

Kuna Idadi ya Nobel Prices walizopewa wayahudi katika fani mbalimbali za kisayansi, kitabibu nk.. Waarabu wote duniani hawafikishi hata robo. Bado utasema Wayahudi wanabaguliwa.

Na kuhusu Swala la Unyonyaji ni Hofu zako zinatokana na "Jewphobia".

Kwahizo baseless arguments ulizokwisha sema mpaka sasa. Nachoweza kusema Wayahudi ni watu wenye Akili sana. Mti wenye Matunda haukosi kutupiwa mawe.
 
we wayahudi sijui ni mashemeji zako your too blind to Jews
 
Umeongelea vitu vizito ambavyo vinapaswa vyenyewe pia kufungulia mada. Kwa mfano unaposema wanamiliki vyanzo vikubwa vya biashara, wanatoa makafara kwa she Tani, wanaamini dunia ni ya kwao kupipitia kitabu chap: zote hizi ni mada zinazopaswa kuwa na supportive references. So jipange mkuu na sio kugusagusa kama ulivyofanya coz inaonekana kama uko so biased with Judism.

Kwa hoja Jamaa inaonyesha mwanamazingaombwe sana. Maana ukimsoma unaweza kudhani anajua kitu anazungumza kumbe anabwabwaja tu ilimradi sumu imtoke. Mwilini. Wewe umemgundua huko mwishoni. Kwasababu umegundua hana Ushahidi wa madai yake, ni Mihemuko tu.

Vitu alivyozungumza vimekosa
Uzito kwasababu amejaza Uwongo Mkubwa sana ndani yake. Ambao akimweleza mtu asiyejua anaweza kuamini kichwakichwa.

Kwa Mfano tukiacha hizo vita zingine, anaonyesha upeo finyu kuhusiana na sababu ya Vita ya Mwaka sabini (Ano Domino) iliyosababisha Hekalu Kuchomwa Moto.

Na Huyo Norman kwenye HardTalk anakwepa kujibu Maswali anayo ulizwa hasa Kuhusiana na Maadui wa Israel. Halafu anasifiwa kua anasema Ukweli. Ukweli upi?. Huu ni mzaha
 
Back
Top Bottom