Alichonifanyia ni sahihi?

Alichonifanyia ni sahihi?

unafikiri nae angekula wapi wewe kula mambo yako tembea
 
kapuya + mungai + mulugo = wametuharibia sana watoto
 
Ngoja leo tusolve kitaalamu kama nilivyofunzwa shule.

Mtoto umri = miezi 4
Uhanga wa sex = Miezi Saba
Mara ya mwisho ku-do = Akiwa na mimba ya miezi 7

Hivi tunafind x ama k? Rudia swali dada
Unaibiwa mchana kweupeee yaani huoni huo ni uongo?? Mtoto miezi minne ampeleke kwa Baba yake?? Ok fine na mbona anakudanganya eti hajado for seven month??? Huoni kuwa anaogopa kumbemenda mwanae ambae anaishi nae na si kwamba yuko kwa Baba yake??? Vitu vingine viko wazi kabisa

Kubemenda mtoto ni mulnutrition. Zaamani kwa sababu hakukuwa na njia za uzazi wa mpango na chakula kilikuwa hafifu (na wababa nguvu za kiume lukuki na hawana michepuko, sio hizi ndoa zenu za kisasa sex mara tatu kwa mwezi), wamama walitishiwa kubemenda ili kuepuka kubeba mimba fasta fasta na kuchoshwa na mume ashindwe kunyonyesha mtoto usiku. Kule kwao mama yangu kwa wabarbaig walifundishwa kuwa hadi mtoto aanze kunyonya kidole gumba cha mguu wake (na ukiangalia ni around mwezi wa 8 wa umri), hapo ndio mnazinduana upya. Ulkiangalia kwa ukaribu walau mtoto wa pili atafuata huyo mwingine akiwa na mwaka na nusu. Sijuhhhi umeerrrrewaaa?:angry:
cute datty shukrani kwa jibu lako!!!

Ngoja tusikie wengine wanasemaje Kongosho, snowhite, King'asti, gfsonwin, Ennie na wengine hebu nijuzeni tafwadhali
 
Wiki mbili tatu zilizopita nilianzisha uhusiano na binti ambaye nilimtamani kama sio kumpenda.

Moyo wangu ulivutiwa na umbo lake na baada ya kuongea naye kidogo nikajisemea rohoni huyu ndio atakula matunda ya kazi yangu.

Nilikuwa najiuliza huyu binti mzuri hivi waharibifu hawajamuona? labda nilipangiwa mimi kuwa naye nk.

Siku moja akaniambia yeye ana mtoto mdogo ambaye amemkabidhi aliyezaa naye, nikaanza kuwa na maswali iweje amkabidhi mtoto kwa baba angali mdogo wa miezi minne tu?

Kadri siku zinavyoenda nimekuwa nam finance vizuri tu kiasi kwamba hata kwao wamemshtukia,wanamuuliza mbona unapendeza hivo siku hizi na yeye anawajibu ni kawaida tu! Kwa kweli nam feel moyoni.

Sasa jana kaninyima usingizi, kaniambia hana uhakika kama nampenda kweli, anasema sisi wanaume ni waongo sana.

Eti kuna mwanaume alimsaliti na hivyo ameachana kabisa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote.

Mpaka sasa ana miezi saba hajafanya mapenzi, akijisikia hamu huimaliza kwa kuangalia picha za xxx.

Ninachojiuliza kwanini hakuniambia siku zote hizo mpaka ananiambia hivi leo wakati mimi nimejitoa kwa hali na mali kumjali?

Sasa wenye mauzoefu niambieni nifanyeje ili niufungue moyo wake uliojeruhiwa.


Achana naye tafuta huyu hapo chini ndio Mpango mzima!

 
ujakutana na mwanamke kwa mda gani???inaonekana una ugumu ila unasingizia pesa ulizofinance!!!..kuna kitu umeficha
 
Kwa kuwa Amekuwa muwazi kwako endelea kumchunguza, kukuuliza kama unampenda sio kosa anachotaka ni commitment.
 
Knachokuumiza wewe ni gharama ulzotumia tu???bas it's a failed investment....
 
Mapenzi na pesa ni "IMANI POTOFU"
 
Naweza nikamtetea kuwa yupo sahihi na statement yake, kama vile wewe unavosikia maumivu na uchungu ukitendwa vivo hivyo alisikia alivoachwa na huyo aliyempa mimba na kumtelekeza, hivo kwa maumivu yale akajiwekea msimamo kuwa wanaume ni kinyonga, mtafurahi leo lakini yakishatoka matokeo ya ile furaha muloifurahia anakuruka. Ko kwa ushauri mkutane then mhoji vizuri na umueleze ukweli kuwa unampenda, i hope atakuelewa.
 
cute datty shukrani kwa jibu lako!!!

Ngoja tusikie wengine wanasemaje Kongosho, snowhite, King'asti, gfsonwin, Ennie na wengine hebu nijuzeni tafwadhali
sasa mmasai wangu apa nikwambie nini jamani??
mie nikongelea kubemenda ntaongelea kitaalam na ukeli hakunaga kitu kama hicho clinically ila tu unyafuzi, magonjwa hasa ya kuambukiza kama kuhara, kukosekana kwa upendo na kujali kwa mtoto humpelekea kunyongea na hivyo kuwa mgonjwa kabisa.

usahilini wanasemaga watu sijui kitambaa cha shughuli sijui mama akifulie sijui majai yake amowgeshee mtoto huku akimkandia hiko kitambaa ni uzuzu tuuu hakuna ukweli wowote. Tena wengine humvisha mtoto mvuje kwenye kamba nyeusi wakisema ooh inamlinda na kubemendeka wengine humpakata mtoto katikati ya moto kisha kumyoosha viungo ili kumkinga lkn vyote ivoo ni uwongo.

kama wazazi msipokuwa wasafi, mkamjali kichanga, mkamlisha mlo mzuri usitegemee hata dhoofu. Mie siungagi mkono ili wazo la kubemenda ingawa sasa ukikaa mitaa ya gereji kila mzazi hasa wa kiswahili meaning watu wa pwani watakuambia mtoto kaveshwa mvuje ili asibemendeke.
 
uyodada yukosawa,coz badoanakidonda so endeleakumuoneshaunavompenda nakumjali kwavitendo i hope atakuelewa2.usiogope badomapema.
 
Back
Top Bottom