OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
sasa mmasai wangu apa nikwambie nini jamani??
mie nikongelea kubemenda ntaongelea kitaalam na ukeli hakunaga kitu kama hicho clinically ila tu unyafuzi, magonjwa hasa ya kuambukiza kama kuhara, kukosekana kwa upendo na kujali kwa mtoto humpelekea kunyongea na hivyo kuwa mgonjwa kabisa.
usahilini wanasemaga watu sijui kitambaa cha shughuli sijui mama akifulie sijui majai yake amowgeshee mtoto huku akimkandia hiko kitambaa ni uzuzu tuuu hakuna ukweli wowote. Tena wengine humvisha mtoto mvuje kwenye kamba nyeusi wakisema ooh inamlinda na kubemendeka wengine humpakata mtoto katikati ya moto kisha kumyoosha viungo ili kumkinga lkn vyote ivoo ni uwongo.
kama wazazi msipokuwa wasafi, mkamjali kichanga, mkamlisha mlo mzuri usitegemee hata dhoofu. Mie siungagi mkono ili wazo la kubemenda ingawa sasa ukikaa mitaa ya gereji kila mzazi hasa wa kiswahili meaning watu wa pwani watakuambia mtoto kaveshwa mvuje ili asibemendeke.
Mambo si hayo sasa, hapa palihitajika hilo ndio mana nikachokoa ati