Alichonifanyia mdogo wangu naumia

Alichonifanyia mdogo wangu naumia

Pole sana mkuu jua kuwa kuna ndugu vichomi na hii haiko kwako tuu bali imewatokea wengi na inaendelea kuwatokea. Unachoweza kufanya ni wewe kukaa na mumeo mkayajadili mambo haya kwa pamoja . Hakuna kitu kizuri kama kukaa wenyewe na kuyamaliza kwani kuaminiana ni jambo muhimu sana hasa kama unafanya biashara. Ktk biashara unakutana na watu mbali mbali sasa kama hamuaminiani biashara itakua ngumu. Ukisema uwashirikishe ndugu hapo utakua unatafuta migogoro mingine na yaweza sababisha kubomoa udugu wenu.
 
pole sana ila hapo kuna maswali ya kujiuliza
1. mazoea ya mdogo wako na mumeo yalianzaje hadi wakaweza kukaa pamoja na kuambiana hayo yote.
2. Ni kwa mazingira gani ambayo yanakufanya uwe karibu na wateja wako. Yawezekana ukawa karibu nao ila katika muonekano ambao si wa urafiki wa kawaida.
3. Mwenendo wa mumeo unauonaje. Je hapajabadilika kitu chochote.
4. Mahusiano baina yako na mumeo yakoje na pia mahusiano yako na mdogo wako yakoje
 
hehehe, utapata takeaway huku ila ubebe kadi ya kuswap lol.
usiogope maji tutakuvalisha boya all the time. mjini kujikaza bibie la sivyo utapitwa. una swimming costume, usije na dera (usihofie milonjo, kuna wanaotembelea toothpick ila wabishiii)
sina kidumu, ila na mie bongoyo nakuja.

Ila naogopaje maji sasa, nitajikaza tu lakini.

hehehe siamini shetani kazeeka kawa malaika. haya mama. vyombo vimepungua ila sabuni zimeisha. tunamngojea mkuu wa kaya wa huku akaombe msaada marikani
hahahahah!!!! mkwe mi staki kidumu, nipo na Katavi wangu twala maraha tu ya dunia. vipi vyombo unavyoosha havijaisha tu?
 
wewe mwenyewe umekili kuwa unamazoea na wanaume wanaokuja dukani kwako. hili nikosa sana kwa mke wamtu kuwa na mazoea na wateja wakiume mpaka wanaenda china na kumnunulia zawadi .Biashara ni kati ya mteja na mnunuzi , menyeduka anatoa mali mnunuzi anatoa pesa , sasa wewe imekuwa tofauti meja wako anakupa zawadi hapo kunakitu.badilika dada .mimi nimfanyabiashara ya duka kama wewe naijua vizuri sana
 
hehehe siamini shetani kazeeka kawa malaika. haya mama. vyombo vimepungua ila sabuni zimeisha. tunamngojea mkuu wa kaya wa huku akaombe msaada marikani

hehehehe!!! shetani wewe tu ndio umegoma kuwa malaika. mkwe kam baki bana nikupe japo miche miwili ya sabuni magadi ukamalizie hivyo vyombo.
 
usitazame kibanzi kwenye jicho la mwenzio mkuu. jiangalie na ww pia
 
Mi sioni big deal kuzoeana na wanaume, alitegemea dukani waje mbuzi au, na biashara ni kucheka na watu bila hivyo itakushinda. Huyo mumeo ndio inabidi awe anatatua matatizo kiuwanaume, maneno ya kuambiwa na akaweka kinyongo ni ujinga cause hana uhakika, na pia aache unafiki kwanini amesubiri mdogo wako ameondoka ndio anasema au alimwambia wakati wanaangana? Embu muulize mumeo acha ujinga atakuendesha kama kurudumu na usipoangalia siku si nyingi na hiyo biashara atakwambia uiache.



naamin hamjambo na mnaendelea vzr na kutusaidia ushaur sisi wenye matatz ya hapa na pale.

Ni miezi minne imepita toka nimchukuwe mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) kijijini baada ya yeye kufeli form four na kuzalisha mtoto nikaona nimchukue nije nae mjini kwenye biashara yetu angalau apate pesa za maziwa ya mtoto

basi tumeishi vizuri siku zote na juz ndiyo akaniaga anataka arudi nyumbani akamuone mwanae,nikamwambia hakuna tatizo jiandae nkamwandalia pesa za safari vzr bas akaondoka jana.
Baada ya kuondoka mume wangu akaniweka kwa mazungumzo nanukuu( mdogo wako kanieleza mambo ya kusikitisha umekuwa na mazoea mabaya na wanaume pale kwenye biashara wengne wanakuja kila siku,wengne wanaenda china wanakuletea zawadi unanidhalilidha,umekuwa malaya kwa kuzoeana na wanaume lukuki pale kazini na maneno meng sana)

ukweli n kuwa hayo aliyoeleza mengne ni kweli nimezoeana na hao watu ni wateja wetu wazuri lakn hakuna cha zaidi hata huyu mdogo wangu anaelewa ukweli kwani muda wote nipo nae kazini.
Nimemweleza mama yangu hajaamini kashangaa sana yani.
Nafikiria najiuliza au huyu mdogo wangu alitumwa na mama yake kuja kuniharibia ndoa au ni kipi nilichomkosea au kosa langu kumsaidia had sasa amekuwa nae mtu anaonekana?au. Ni kipi bado sielewi

mpaka sasa mume wangu ana kinyongo,
huyo mdogo wangu cjamuuliza kitu chochote
nafikiria nimwambie neno gani ajue jinsi amenikosea au ninyamaze?

Nishaurini wapendwa nifanye nini?
 
hehehe, utapata takeaway huku ila ubebe kadi ya kuswap lol.
usiogope maji tutakuvalisha boya all the time. mjini kujikaza bibie la sivyo utapitwa. una swimming costume, usije na dera (usihofie milonjo, kuna wanaotembelea toothpick ila wabishiii)


hehehe siamini shetani kazeeka kawa malaika. haya mama. vyombo vimepungua ila sabuni zimeisha. tunamngojea mkuu wa kaya wa huku akaombe msaada marikani

kwa mara ya kwanza nawaona meregend wa jamii forum wakichangia kwa pamoja.Big up sana wakuu. king'ast, husninyi na kongosho.I wish niwaone siku moja manake enzi naingia jf ilikuwa kila siku lazima mtokee hapa lol.
 
Naamin hamjambo na mnaendelea vzr na kutusaidia ushaur sisi wenye matatz ya hapa na pale.

ni miezi minne imepita toka nimchukuwe mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) kijijini baada ya yeye kufeli form four na kuzalisha mtoto nikaona nimchukue nije nae mjini kwenye biashara yetu angalau apate pesa za maziwa ya mtoto

basi tumeishi vizuri siku zote na juz ndiyo akaniaga anataka arudi nyumbani akamuone mwanae,nikamwambia hakuna tatizo jiandae nkamwandalia pesa za safari vzr bas akaondoka jana.
baada ya kuondoka mume wangu akaniweka kwa mazungumzo nanukuu( mdogo wako kanieleza mambo ya kusikitisha umekuwa na mazoea mabaya na wanaume pale kwenye biashara wengne wanakuja kila siku,wengne wanaenda china wanakuletea zawadi unanidhalilidha,umekuwa malaya kwa kuzoeana na wanaume lukuki pale kazini na maneno meng sana)

Ukweli n kuwa hayo aliyoeleza mengne ni kweli nimezoeana na hao watu ni wateja wetu wazuri lakn hakuna cha zaidi hata huyu mdogo wangu anaelewa ukweli kwani muda wote nipo nae kazini.
nimemweleza mama yangu hajaamini kashangaa sana yani.
nafikiria najiuliza au huyu mdogo wangu alitumwa na mama yake kuja kuniharibia ndoa au ni kipi nilichomkosea au kosa langu kumsaidia had sasa amekuwa nae mtu anaonekana?au. ni kipi bado sielewi

mpaka sasa mume wangu ana kinyongo,
Huyo mdogo wangu cjamuuliza kitu chochote
nafikiria nimwambie neno gani ajue jinsi amenikosea au ninyamaze?

nishaurini wapendwa nifanye nini?

Simama imara na utetee ndoa yako. Umemkaribisha nyoka ndani kwako ni hiari yako kumfukuza huyo mdogo wako aende akasote kijijini. Kwanza huo muda wa kuongea na mumeo maneno yote hayo kautoa wapi?

Ukitaka kumsaidia ndugu, msaidie huko huko aliko. Usimkaribishe kwenye biashara yako au nyumbani kwako...!! Bado hujachelewa. Sasa usipotabasamu kwenye biashara yako hao wateja watatoka wapi? Halafu mwambie mumeo aelewe kuwa mwanamke kutongozwa ''sunna''!!
 
siajelewa sijui kwakuwa mchana umepita deshi, ila sawa, tatueni matatizo yenu kifamili, usilete humu, maana dunia nzima imeshajua tayari.
 
Daah dada Mankaa usikatae kuhusu uhusiano wao, embu kaa fikiria huo ukaribu umetokea wapi mpaka mdogo wako awe na guts za kumwambia hayo maneno mumeo? Na kama hamna kinachoendelea kati yao the watch out something is cooking

na mi nimemshangaa anavuobisha.
hivi ckuhiz unaweza muamini mtu hivyo?
haya ajiulize alipata wapi muda wa kukaa na shem wake na kumpa maneno mpaka mumewe kayaamimi?
dada usikatae kihivyo cha msingi kaa na mumeo muuongee na umpe live hyo nduguyo.
pia muombe Mungu alinde ndoa yako
 
Last edited by a moderator:
Hapo nakataa kabisa hajakuwa karibu nae kiivyo nina uhakika asilimia 100

Lakini kuwa makini. Dalili ya mvua ni mawingu. Mdogo wako anakuzunguka kwa majungu, mwisho wake atamwekea mtego shemeji yake wavuliane nguo.
 
kwa mara ya kwanza nawaona meregend wa jamii forum wakichangia kwa pamoja.Big up sana wakuu. king'ast, husninyi na kongosho.I wish niwaone siku moja manake enzi naingia jf ilikuwa kila siku lazima mtokee hapa lol.

mkuu mbona tupo sana. usijali ipo siku tutatiana machoni.
 
Back
Top Bottom