Alichonifanyia mdogo wangu naumia

Alichonifanyia mdogo wangu naumia

mumeo arudipo home mvalie khanga iloweshe na maji iwe chepe chepe, akishindwa kuwika mara 3 kwa tukio moja mwambie una matatizo gani, mbona enz zile ulikuwa fit? atakuwa mpole, penyeza mada

Mdogo wako atakuwa na Jambo zito moyoni (kuwa mtulivu ipo siku utalitambua)
Lovebird huu ushauri wako ni wa 'nguvu za giza" hakyamama.....like..seriously? na akiwika tatu mara tatu itakuwaje?:tonguez:
 
Last edited by a moderator:
Ok ushamueleza mama yako mpe muda azungumze na mdogo wake juu ya mwanae! !!!!
Ongea na mumeo si mpenzi wako huyo unamshawishi mpaka anavua we ushindwe kumueleza ukweli(kamaupo) khaaaaaa au mlioana kwa lazima mteli sure tuu!!!!!

Huyo chakubimbi mpasue live na akome hapo kwako na akikuona aishie salamu tu!!!!!!


Kuna njia mbili tu hapa harsh or polite chagua moja angalia maoni ya watu on implementation!!!!
 
walianzia wapi mpaka kukufikia wewe na wateja wako?
walikuwa wakidiscus wakiwa wapi,nyumbani? sebuleni?
 
Ni wa kike wapendwa
Pole Manka lakini ngoja ikwambie kitu! Inakuwaje mdogo wako wa kike amwambie shemeji yake maneno hayo yawe kweli au uongo? Yaani walikuwa wapi wao wawili tu waanze kuongelea vitu hivyo? Usijekuta wana mahusiano hao!!!!

Nakushauri usimuulize kwanza huyo ndugu yako, kama anarudi msubirie aje then uanze kufanya uchunguzi. Im sure utapata jibu as to why alifikia hatua hiyo ya kumueleza mumeo hizo habari.
 
naamin hamjambo na mnaendelea vzr na kutusaidia ushaur sisi wenye matatz ya hapa na pale.

Ni miezi minne imepita toka nimchukuwe mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) kijijini baada ya yeye kufeli form four na kuzalisha mtoto nikaona nimchukue nije nae mjini kwenye biashara yetu angalau apate pesa za maziwa ya mtoto

basi tumeishi vizuri siku zote na juz ndiyo akaniaga anataka arudi nyumbani akamuone mwanae,nikamwambia hakuna tatizo jiandae nkamwandalia pesa za safari vzr bas akaondoka jana.
Baada ya kuondoka mume wangu akaniweka kwa mazungumzo nanukuu( mdogo wako kanieleza mambo ya kusikitisha umekuwa na mazoea mabaya na wanaume pale kwenye biashara wengne wanakuja kila siku,wengne wanaenda china wanakuletea zawadi unanidhalilidha,umekuwa malaya kwa kuzoeana na wanaume lukuki pale kazini na maneno meng sana)

ukweli n kuwa hayo aliyoeleza mengne ni kweli nimezoeana na hao watu ni wateja wetu wazuri lakn hakuna cha zaidi hata huyu mdogo wangu anaelewa ukweli kwani muda wote nipo nae kazini.
Nimemweleza mama yangu hajaamini kashangaa sana yani.
Nafikiria najiuliza au huyu mdogo wangu alitumwa na mama yake kuja kuniharibia ndoa au ni kipi nilichomkosea au kosa langu kumsaidia had sasa amekuwa nae mtu anaonekana?au. Ni kipi bado sielewi

mpaka sasa mume wangu ana kinyongo,
huyo mdogo wangu cjamuuliza kitu chochote
nafikiria nimwambie neno gani ajue jinsi amenikosea au ninyamaze?

Nishaurini wapendwa nifanye nini?
mimi kuna mtoto wa dada yangu sitaki wala akanyage kwangu tena ,alikuja kusoma tuition tu kufika nyumbani kabla hata ya 24hr hakuweza sema zuri lolote aliongea maneno wewe kiasi kwamba kama mume wangu angeyasikia !!alafu january inafika linaomba ada yakuanza form 1 ,angepata mavi yake hata kaa aje kwangu tena!
 
hehehe nimevuviwa na roho wa bwana, lol.
mie kiukweli huwa napenda sana kuchora watu. mi naweza kujua mnatongozana na "paw, nikamuwashia moto paw na ww nisikuulize wala kukununia. nakuchekea nione unavyopanic ndo raha yangu (bhange nibangue 😛ound🙂.
I do confrontations na very very few people, wale ambao siko tayari kuwapoteza bila a fight. wengine wote nawasoma tu, nikiwaelewa natengeneza utaratibu wa kuwanyoosha bila rula
Kumbe una moyo aisee, paw kama mchungaji nini?

Mie ningemchana live live, kisa cha kunifukuzisha kwa zombie? Ukute mie hapo moyoni sili silali ila ni ukichaa wangu tu
 
Ha ha ha ha, nitakuj uninyooshe bila rula aisee

Mie nina kinyongo sana na ndugu akinitenda, mtu baki wala, naweza kumchora. Ila ndugu lazima asikie kutoka kwangu.

Endelea kuvuviwa labda utaniambukiza.

hehehe nimevuviwa na roho wa bwana, lol.
mie kiukweli huwa napenda sana kuchora watu. mi naweza kujua mnatongozana na "paw, nikamuwashia moto paw na ww nisikuulize wala kukununia. nakuchekea nione unavyopanic ndo raha yangu (bhange nibangue 😛ound🙂.
I do confrontations na very very few people, wale ambao siko tayari kuwapoteza bila a fight. wengine wote nawasoma tu, nikiwaelewa natengeneza utaratibu wa kuwanyoosha bila rula
 
dah!!!

kweli penye miti, ujue mvua inanyesha!!!
 
Dunia ina mambo kwa kweli huyo hana maana mwambie ajue mimi binafsi naumia nikikaa kimya nakuchana then nakupotezea..
 
huyo msichana kurudi kwangu haipo nae anafahamu lakin nachofikiria ni jinsi ya yeye kujua how i feel kwa kitendo alichofanya

Kwa yeye kutokurudi bado hatajua kwa nini harudi? Au muda wake wa kurudi kwa mamake ulikuwa umetimia?
 
Hapo nakataa kabisa hajakuwa karibu nae kiivyo nina uhakika asilimia 100


Gari lolote ili lianze safari lazima engine iwashwe kwanza, hata kwa kusukuma. Shauri yako.
 
Tatizo nini si kasema kweli. Acha kupokea vizawadi unajirahisisha. Jirekebishe tatizo si wewe?

Mkuu umenena vyema,hata iweje mwanaume kamwe hatakubali mke wake apewe zawad na wanaume wengne,kataa vzawad vtakuharbia ndoa.Hata mdogo wako akiondoka mmeo atapata taarfa tu zako na vzawad unavyopewa.Weka ndoa yako rehan kwa vzawad hvyo.STOP
 
Tatizo nini si kasema kweli. Acha kupokea vizawadi unajirahisisha. Jirekebishe tatizo si wewe?

Ukweli unauma lakini hiyo ndio hali halisi! Mke wa mtu unapokeaje zawadi toka kwa mwanaume? Na mwanaume paka afikie hatua yakukuletea zawadi Inamaana umejirahisisha kwake!

Huyo dogo kakusaidia' maana saiz utajitambua! Vizawadi zawadi vya nini mke wa mtu? Zawadi akuletee mumeo. Halafu kufanya biashara sio dhamana yakuwachekea chekea watu! Weka bidhaa nzuri na zakipekee watakuja wenyewe tu!
 
hebu acha na wewe mkwe, ukoje? kwanza ulishapata kidumu twende wknd bongoyo?:hug:
duh!!! hebu mpe makavu huyo mdogo wako tena ikibidi asirudi mjini.

hehehe mie kama ndugu ndo kabisaaa. hanikeri.
huwezi chagua ndugu bwana, nakujua mamdogo mbea wala hutaskia yangu, najua flani mabomu ndo nikimuona tu naanza kulia shida:A S 27:
Ha ha ha ha, nitakuj uninyooshe bila rula aisee

Mie nina kinyongo sana na ndugu akinitenda, mtu baki wala, naweza kumchora. Ila ndugu lazima asikie kutoka kwangu.

Endelea kuvuviwa labda utaniambukiza.
 
Jifanye unaomba msamaha mumeo alafu ghafla na wewe mbadilikie mmeo, kwa uso wa mbuzi muulize na mlaumu kweli, mwambie na yeye ana uhusiono na mdogo wako, kwa ukaribu upi wameweza kupiga hizo story nyeti???....mmeo naye utaona anaanza kuwa mdogo taratibu ...ila dont try it kama ana mfumo dume sana..usije ambulia vibao..

Kwa mdogo wako tayari ashajua, mama yenu atakuwa ashamwambia....huyo mwendee hewani tu na ikibidi mwambie a- testify kwa mmeo na aondoe kauli zake na kuomba msamaha...(yaani akusafishe!!!!). Muhimu ni ndoa ya amani...umbea hata vijiweni upo...
 
pole sn, msamehe na usahau yaliyotokea, endelea kumthibitishia mumeo kuwa huna "tabia chafu". acha tabia yakuzoeana na wanaume wengine, we ushaolewa acha tamaaaa.
 
this is the so called shukrani ya punda mateke.ila huyo mme wako nae mtu wa kupaniki sanan yaani ukae dukani alafu ushindwe kuweka mazoea na wateja inawezekanaje watu wanaweka mzooea jf na watu ambao hata hatujuani nao zaidi ya avatar zao tu ishindikane nyie mnaonana face to face ????
 
Back
Top Bottom