Alichonifanyia mdogo wangu naumia

Alichonifanyia mdogo wangu naumia

Naamin hamjambo na
mnaendelea vzr na kutusaidia ushaur sisi wenye matatz ya hapa na pale.

ni miezi minne imepita toka nimchukuwe mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo)
kijijini baada ya yeye kufeli form four na kuzalisha mtoto nikaona
nimchukue nije nae mjini kwenye biashara yetu angalau apate pesa za
maziwa ya mtoto

basi tumeishi vizuri siku zote na juz ndiyo akaniaga anataka arudi
nyumbani akamuone mwanae,nikamwambia hakuna tatizo jiandae nkamwandalia
pesa za safari vzr bas akaondoka jana.
baada ya kuondoka mume wangu akaniweka kwa mazungumzo nanukuu( mdogo
wako kanieleza mambo ya kusikitisha umekuwa na mazoea mabaya na wanaume
pale kwenye biashara wengne wanakuja kila siku,wengne wanaenda china
wanakuletea zawadi unanidhalilidha,umekuwa malaya kwa kuzoeana na
wanaume lukuki pale kazini na maneno meng sana)

Ukweli n kuwa hayo aliyoeleza mengne ni kweli nimezoeana na hao watu ni
wateja wetu wazuri lakn hakuna cha zaidi hata huyu mdogo wangu anaelewa
ukweli kwani muda wote nipo nae kazini.
nimemweleza mama yangu hajaamini kashangaa sana yani.
nafikiria najiuliza au huyu mdogo wangu alitumwa na mama yake kuja
kuniharibia ndoa au ni kipi nilichomkosea au kosa langu kumsaidia had
sasa amekuwa nae mtu anaonekana?au. ni kipi bado sielewi

mpaka sasa mume wangu ana kinyongo,
Huyo mdogo wangu cjamuuliza kitu chochote
nafikiria nimwambie neno gani ajue jinsi amenikosea au ninyamaze?

nishaurini wapendwa nifanye nini?

Wakisha ingia mjini ndio shida!wanajifanya wanajuaa sana!huna sababu ya kunyamaza mweleze ajue kosa lake ila asirudi tena hapo nyumbani!jitahidi kutengeneza kwa hubby mara nyingi kwenye ukweli uongo hujitenga!pole mwaya
 
Haumiliki kabastola lakini?

BACK TO TOPIC;


Ila kama wewe hautakuwa na record yoyote ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume basi kwangu napata wasi wasi wa mmeo kushindwa kuamini maelezo yako, Swadakta ila kila mwanaume huwa ananamna ya kuzikiliza na kuamua kwenye matukio kama haya, hapo nisiseme sanaaa!

Nguvu ya wewe kukaa kimya ni kubwa sana na inamaana kuliko hata wewe kuchukua maamuzi ya kumwambia.
Iko hivi huwezi jua ye alisema hayo kwa lengo gani labda ilikuwa akukosanishe na mmeo hapo pia nisipige domo sana.
Kwa mtu yeyote anayekusema kwa baya ambalo haukulitenda basi nia yake haiwezi kuwa njema.
Unachotakiwa kufanya hapa sio kumwambia huyo binti inawezeka yakazuka mengine hata ndoa yako ikaingia hati hati, wewe komaa kumwaminisha mmeo ili ajue hakuna ukweli kwenye hilo.
Utakapo amua kumwambia huyo binti ataona kama tayari kapata ushindi na lengo lake la kukuharibia limetimia.
Pengine yawezekana katika hao wanaume ulio jenga nao mazoea kuna mmoja anamtaka hapo sasa lazima wivu uhusike kama kawaida nyie wanawake mlivyo.
Hivyo inaweza kuwa sababu ya yeye kuhisi anaibiwa, wanaume nao kwa fiksi si unawajua.
Mfano:
mwanaume;ujue me nakupenda wewe
Mdogo wako;mbona huwa unamazoea na dada na mpaka mnapigiana simu
mwanaume;Aaaah yule ananitaka mwenyewe mi sina hata mpango nae.
(Hizo zote ni fiksi unategemea nini kitatokea hapo, hapo jamaa kasema ili apate mzigo tu na wewe hauna mahusiano nae)

Ila yote kwa yote;
Ukweli unaujua wewe mwenyewe moyoni kuhusiana na tuhuma za huyo mdogo wako.....
 
Pole mpendwa binadamu ndio walivyo wengi unasaidia mwisho unakua mbaya wewe,siwezi kumlaumu sana mume kwakukaasirika lakini hata ingekua wewe ungekasirika na kama unavyojua maneno ya kuambiwa hasa na mtu wako wakaribu yanauma sana,kaachini na mumeo mueleze akuelewe,na kuhusu huyo kivuruga una haki yakusema humtaki na asije nyumbani kwako tena hakuna cha mume ataona kweli wala uwongo,huwezi kukaa na nyoka,mpigie mamake mzazi huyo bint simu umueleze yote na umeambie kua kama ulifanya kosa kumchukua basi akusamehe na huto rudia tena,nakuanzia sasa ajipange kivyake,kuna binadamu wengine wamekosa haya na niwashenzi wa fadhila...zidisha mapenzi kwa mumeo na mwenyezi mungu atakusaidia kwani hukua na nia mbaya na yeye......
 
Ndugu wana vituko we mueleweshe mumeoo atakuelewaa then ishi mwenyewee huyo mdogo wako tupa kule
 
Kama sio kweli hufanyi hayo yanayomkera mumeo muulize huyo mdogo wako maana yawezekana mumeo anaweweseka tu, lakini kama ni kweli unarusha roho na wateja wako, basi jirekebishe, acha kulaumu watu!
 
Ni ile ya kusema kama unanipenda mimi nitukanie dada yako;
.............. mmm shemeji we acha tu,
dada mwenyewe ni ma llla yaaaa nilikuwa nashindwa kuku ku aa mbiya mmmh...........


Umeshapinduliwa hapo.Huyu mdogo wako alikuwa 'karibu' sana na mme wako ndiyo maan akampakia maneno mengi kirahisi hivyo

Mzee Tupatupa
 
Naamin hamjambo na mnaendelea vzr na kutusaidia ushaur sisi wenye matatz ya hapa na pale.

ni miezi minne imepita toka nimchukuwe mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) kijijini baada ya yeye kufeli form four na kuzalisha mtoto nikaona nimchukue nije nae mjini kwenye biashara yetu angalau apate pesa za maziwa ya mtoto

basi tumeishi vizuri siku zote na juz ndiyo akaniaga anataka arudi nyumbani akamuone mwanae,nikamwambia hakuna tatizo jiandae nkamwandalia pesa za safari vzr bas akaondoka jana.
baada ya kuondoka mume wangu akaniweka kwa mazungumzo nanukuu( mdogo wako kanieleza mambo ya kusikitisha umekuwa na mazoea mabaya na wanaume pale kwenye biashara wengne wanakuja kila siku,wengne wanaenda china wanakuletea zawadi unanidhalilidha,umekuwa malaya kwa kuzoeana na wanaume lukuki pale kazini na maneno meng sana)

Ukweli n kuwa hayo aliyoeleza mengne ni kweli nimezoeana na hao watu ni wateja wetu wazuri lakn hakuna cha zaidi hata huyu mdogo wangu anaelewa ukweli kwani muda wote nipo nae kazini.
nimemweleza mama yangu hajaamini kashangaa sana yani.
nafikiria najiuliza au huyu mdogo wangu alitumwa na mama yake kuja kuniharibia ndoa au ni kipi nilichomkosea au kosa langu kumsaidia had sasa amekuwa nae mtu anaonekana?au. ni kipi bado sielewi

mpaka sasa mume wangu ana kinyongo,
Huyo mdogo wangu cjamuuliza kitu chochote
nafikiria nimwambie neno gani ajue jinsi amenikosea au ninyamaze?

nishaurini wapendwa nifanye nini?

Jamani ndiyo mjifunze wala hajakosea... japoangekwambia ila hatujui kama alijaribu ukakaza shingo... ukisha kuwa ni mke wa mtu lazima uwe na staha na kama sikosei niliambiwa na mchungaji kama kuna kheri ya zawadi umpatiayo mwanamke wa mtu basi bora ipitie kwa mwenza ili kuhakikisha huna malengo mengine ss kama hao wanakuletea hadi zawadi kuna nn hapo?? Na kama hukuwa na lengo baya mbona ulimficha mumeo all along??? Anyway ushauri wangu jifunze kuwa mke wa mtu nio just another girl ambaye anazoeleka wala kuzawadiwa kila mtu ajiskiapo.. hakuna zawadi ya bure wanakupanga wakakupangue kitandani...
 
sina kidumu, ila na mie bongoyo nakuja.

Ila naogopaje maji sasa, nitajikaza tu lakini.

yaani ukiwa na wakwe watoto wa mujini tabu sana, badala ya kufundishwa kutulizana naambiwa nitafte kidumu. mwanae akianza kutapika kwa nyuma asitafte mchawi.
 
mazoea na ndoa yako!!!? Kuwa makini Mankaa ,weka mbali kabisaaa.
 
Last edited by a moderator:
huyo msichana kurudi kwangu haipo nae anafahamu lakin nachofikiria ni jinsi ya yeye kujua how i feel kwa kitendo alichofanya

Mim siamini moja kwa moja kuwa yeye kasema hayo, kwani mmeo hawezi kuwa na hisia za wivu then akasingizia mdgo wako ili kuonyesha kuwa source yake ni sahihi? Kuwa makini dont rush into ant conclusion my dear
 
kwanza muulize huyo mumeo kapata wapi nafasi ya kuongea na mdogo wako kukuteta.. tena ikiwezekana wote wawili wawepo .... pia kingine ongea na mama wa huyo binti mwambieaongee na mwanawe jamani nyie acheni kwa ndugu si sawanni basi tu ndo ujamaa wetu huu..... hatua zote hizo mshirikishe mmumeo ila si hekima san alichofanya mumeo ..
 
,jamaa ikiwa hakuamini basi anapiga mdogo wako .....
 
Ndugu ni sumu.Mwambie arudi alikotoka,atajifunza adabu mwisho wa siku.Bora mchawi kuliko mtu mwongo na mchonganishi.Uchawi waweza kuukemea ila uongo na uzandiki ni sumu mbaya.
 
kama ni kweli unapokea pokea vizawadi kutoka china kwa vidume, kumbuka hakuna cha bure kwa kidume, ukitaka kula lazima uliwe ( kauli ya mkulu). Tatizo hakuna kama kamueleza ukweli na ukimfukuza nakushughulikia kaa nae kama ulivyoamua kumleta eboo!!!.
 
Pole sana bi dada. Unanikumbusha ule usemi wa "Kikulacho ki nguoni mwako"
 
Back
Top Bottom