cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,143
- 1,839
hv uyu pengo ana nafasi gan kwenye balaza la maaskofu? au yeye ndio mkuu wa ma askofu tanzania? huwa sijajua bado nafas yake ila naona ni askofu mwenye nguvu kuliko ma askofu wote, sasa yeye ndio askofu mkuu? kwa anayejua nafas yake anijuze plz