Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

Tusiongee sana yawezekana kuna sehem kabinywa
 
"Tanznians should work hard without complaining" we need to work with someone who receipt has and how rules and law.
 
Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.

He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.

“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said

My take: Kuna tatizo na huyu somewhere. Haoni la kyrekebisha kwa hiyo aliyemtetea

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
In 2 years he will reach the mandatory retirement age of Catholic Bishops of 75 years!
 
hapa ni kuanzisha mgomo wa kutokutoa sadaka hadi akili imkae sawa hayo anayaongea kwa sababu ana uhakika wa kula na kushiba kila siku
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
mpumbavu.kanisa haliwezi kuwa na mtu mpumbavu km ww.
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
.
Sikukuu hizi kwa maelezo ya Tadei Mushi aliwakutanisha maaskofu akiwapa mkakati wa kutomsema rais kwa mabaya yake ila wazungumzie uchumi na amani ya nchi.
Sasa sijui utazungumzia je amani ya nchi bila kumtaja mkuu wa nchi kwa matukio yaliyochukua kasi ya makada wa chama tawala kupata ujasiri wa kupora chaguzi ndogo kwa mapanga na bunduki za polisi na rais akiwa kimya kabisa.
Hata hivyo haya ya pengo hayana tofauti na ya Sedekia na manabii 400 kukubaliana kumtabiria mfalme mazuri tu. Akatokea nabii mmoja kwa jina la Mikaya yeye akalikataa shauri la kupanga na kumweleza mfalme yaliyo kweli kumhusu kutoka kwa Mungu japo yalikuwa ni shubiri kwa mfalme.
Kakobe kwa hii issue ya kina Pengo namfananisha na Mikaya.
 
i wonder why he cant urge himself about pple working without complaining in this presidence term!!
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
Acha uongo yy anawajibika kwa mapadri wake wa dar tu.. Hana uwezo was kumuita askofu yeyote was jimbo lingine nakumpa maelekezo
 
chadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?

Usikimbilie kuhukumu CHADEMA pasi na ushahidi ndugu mwana CCM
 
Chadema wamemshindwa jpm wamehamia Kwa pengo kweli mfa maji haishi kutapatapa
 
Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard.

He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining.

“The time has come for Tanzanians to work hard, day and night, to support President Magufuli’s efforts,” he said

My take: Kuna tatizo na huyu somewhere. Haoni la kyrekebisha kwa hiyo aliyemtetea

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app

Hili ni one of the bure people to ever be on the surface of the earth....

Imagine,Kakobe has outshined him left and right....he is not on his level...kakobe is working out this guy like a toy....

kakobe >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>Pengo

Give me Kakobe anyday of the week.
 
Back
Top Bottom