Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

Chadema wamemshindwa jpm wamehamia Kwa pengo kweli mfa maji haishi kutapatapa
Sidhani kama kuna aliyeshindwa, dikiteita ana namna yake ya ku deal naye. Unataka awaue kama alivyofanya Idd Amin? Time will come.. Amin alikuwa haamini kuwa kuna siku ataikimbia Uganda!
Alitukuzwa kama huyu kwa kuogopa kuuawa.
He killed around 500,000 Ugandans!
 
Sidhani kama kuna aliyeshindwa, dikiteita ana namna yake ya ku deal naye. Unataka awaue kama alivyofanya Idd Amin? Time will come.. Amin alikuwa haamini kuwa kuna siku ataikimbia Uganda!
Alitukuzwa kama huyu kwa kuogopa kuuawa.
He killed around 500,000 Ugandans!
Dua la kuku
 
Alichohubiri Pengo hakina shida, swali ni moja tu kwake ni kweli haoni yanayoendelea nchini?! Au ni lile fungu la Biblia kuwa rushwa hupofusha macho!
 
chadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?
Demokrasia ni kuunga mkono kila kitu? Labda hili neno lina maana nyingi!!
 
Mimi ni msabato mambo ya RC siyajui kiundani hebu niambieni hivi utaratibu wa Askofu kustaafishwa ukoje?? Waumini wa jimbo hawawezi saini waraka flan na kuweka saini zao na Vatican wakamstaafisha Askofu??? Au hadi Aamue mwenyewe??? Halafu hakuna utaratibu wa kubadilishana Askofu?? Mfano jimbo kama Dar Likamuomba Niwemugizi aje Dar??? Coz jimbo lenye changamoto kama Dar linapaswa kuwa na Askofu Intelligent kidogo
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
 
Mkuu we bora ukae kimya tu. Kama uliweza kuachia utumishi wa mungu ktk daraja la upadre Kwa sababu ya binadamu pengo ktk taasisi ya kidini ambayo siyo yake na hana umiliki nayo, sidhani kama una akili na ujasiri wa kutetea maslahi ya binadamu wenzio kama taifa.
 
nikweli kuna mazuri ya kuungwa mkono lakini kama Pengo hasemi na mabaya ya huyo anayemsema anahitaji kuombewa na yeye pia
 
df2864bdd870246e13fc368a18c1ff3c.jpg
 
Back
Top Bottom