Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

Huyu mzee ni tatizo sana huyu,kiongozi wa dini anajipendekeza kama hana uhakika wa kula,wakati analishwa na sadaka zetu.
Ukienda kanisani kama hujatoa sikuhizi wameanza kubagua au ukitoa kidogo,zee nafiki sana hili halifai kuongoza.
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.

Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu nzuri. Rejea bandiko lako hili, ulivyojinadi kuhusu wewe mwenyewe na ulichokiandika hapo juu!
 
Kanisa la dar es salaam linakimbiwa na waumini kwasababu ya huyu na bado huyo papa hajastuka tu huko Vatican alipo! Hebu mtastaafisheni huyu babu mtuletee yule wa biharamulo mwenye uraia tata!
Unafikiri papa ni mbowe ??
 
hili mbona linajulikana, wana chuki sana na uislam
nilivyosoma ulichocomment napata picha, ungekuwa na ushahidi wa ulichoandika ungekiwa hapa, pole, kwa upole tuu naomba uheshimu kiongozi wangu wa Imani.
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
Hata uandishi wako haufanani na upadri
 
nilivyosoma ulichocomment napata picha, ungekuwa na ushahidi wa ulichoandika ungekiwa hapa, pole, kwa upole tuu naomba uheshimu kiongozi wangu wa Imani.

we mbwiga nini? mm nimem qoute mtu aliyesema hayo maneno kwamba pengo na genge lake walikutana bagamoyo kujadili ishu wa waislam, labda ungemuomba yeye ushahid huo.
 
Kanisa la dar es salaam linakimbiwa na waumini kwasababu ya huyu na bado huyo papa hajastuka tu huko Vatican alipo! Hebu mtastaafisheni huyu babu mtuletee yule wa biharamulo mwenye uraia tata!

‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️
 
Nikikumbuka mwaka 2012 June siku alivotuita Maaskofu na Mapadri kule Avion Resort Bagamoyo kufika tunaambiwa tumeitwa kikao cha kupanga mikakati kuzuia Waislamu wasihesabiwe kwenye sensa kubabake.

Tangu siku hiyo nikamdharau sana.
Mapadri wanne kesho yake tukabwaga manyanga. Tukaachana kabisa na habari za Upadri.
Kwa io Pengo ambaye ni binadamu kakufanya uache u padre?
 
chadema bhna mnatukana hadi viongozi wenu wa dini alafu mnajiita chama cha demokrasia, how kiwe chama cha demokrasia wakati mnataka wote wawe na mawazo sawa?

Kwanza rekebisha, hakuna aliyemtukana.

Ishu ni kukemea maovu. Hakuna anayetaka watu wawe na mawazo sawa, never! Mwizi tunamkemea wote. Mbakaji tunamkemea wote, muuaji tunamkemea wote. Ukiona kiongozi wa dini anayafumbia macho haya, huyo ni shetani, kama Pengo
 
Back
Top Bottom