Alichofanyiwa huyu dada leo.....!!

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,449
2,000
Inabidi masista duu wapewe elimu jinsi ya kutambua fake dollars
... yap! Jeshi letu la polisi litoe elimu kwa makundi ya wananchi ambao wako hatarini kukutana na $ fake including dada zetu wa "night kali".
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,267
2,000
TETESI

Inasemekana huyo Manzi ni JF Member tena ID maarufu tu humu anijitapaga sana nisije pigwa BAN
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,366
2,000
Bhana bhana leo nilikuwa na mishe flani hivi Sinza madukani...sasa baada ya kufika nika chill sehemu namsubiria mwenyeji wangu

Dakika si nyingi ikaja LAND ROVER ikapaki pembeni kisha ikashuka pisi moja ya maana..nnaposema ya maana namaanisha ..sasa yule sista kashuka kwa madoido yote akaenda sehemu ya kubadili fedha za kigeni

DK 5 hazikuisha mle ndani nikaona dada anatolewa kwa kusukumwa kama kaiba vile..ikabidi tusogee karibu kujua tatizo ni nini

Kumbe dada wa watu aliachiwa Dola 500 na yule jamaa wa LAND ROVER ambazo zilikuwa ni FEKI,Kwa hiyo alikuwa kama anawalazimisha watu wa mle ndani wambadilishie fedha kwani aliamini hazina Ufeki wowote

Maskini dada wa watu katolewa ndani kwa kusukumwasukumwa na maneno makali..u sista du wote umemwisha..alikuwa kdg yupo pombe lakni kwa ile SITUATION Pombe yote imemruka,amebaki analia tu maskini hata ukimuuliza swali anabaki kujibu"mimi wa kufanyiwa hivi?"

Inavyoonekana Jamaa amekula nae bata usiku mzima then manzi akijua kapata mshiko wa maana akaishia kutapeliwa tu masikini, huku MZIGO ushaliwa

Wasamaria wema mkamsaidie bhana..mi nimemwacha hapo amekaa tu chini(kwenye ngazi za kupandia duka la Vunja bei) hata viatu hana,akili yote imemruka..kweli wanaume Konyo!!
Hapo ni wafu kwa wafu.haijawahi kuwa salama hata siku moja
 
Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,915

Baada ya maduka yote ya kubadili fedha kufungwa kuna vichochoro kibao vya siri vya kibadili fedha ambavyo sio halali, so hio ndio pona yake mana hawana pa kumshitaki nao ni wahafu tu wanabadili fedha kimagendo, la sivyo saiz angekua ananyea debe.
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,369
2,000
Niliwahi kumbana na kadhia hii ya fedha fake.....unatakiwa kuwa mpole na kufuata maelekezo ya mtu wa kaunta maana anakuepusha na jela.........

Mimi niliambiwa tu kiongozi mbona haya ni makaratasi.......nikazikusanya nikachomoka kimya kimya hata wa nyuma yangu hakujua.......
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,773
2,000
Hivi hiyo kitaalamu mnaokula masikhara mnaitaje?

Mbinu gani imetumika?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom