Alichofanyiwa huyu dada leo.....!!

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
612
1,000
Bhana bhana leo nilikuwa na mishe flani hivi Sinza madukani...sasa baada ya kufika nika chill sehemu namsubiria mwenyeji wangu

Dakika si nyingi ikaja LAND ROVER ikapaki pembeni kisha ikashuka pisi moja ya maana..nnaposema ya maana namaanisha ..sasa yule sista kashuka kwa madoido yote akaenda sehemu ya kubadili fedha za kigeni

DK 5 hazikuisha mle ndani nikaona dada anatolewa kwa kusukumwa kama kaiba vile..ikabidi tusogee karibu kujua tatizo ni nini

Kumbe dada wa watu aliachiwa Dola 500 na yule jamaa wa LAND ROVER ambazo zilikuwa ni FEKI,Kwa hiyo alikuwa kama anawalazimisha watu wa mle ndani wambadilishie fedha kwani aliamini hazina Ufeki wowote

Maskini dada wa watu katolewa ndani kwa kusukumwasukumwa na maneno makali..u sista du wote umemwisha..alikuwa kdg yupo pombe lakni kwa ile SITUATION Pombe yote imemruka,amebaki analia tu maskini hata ukimuuliza swali anabaki kujibu"mimi wa kufanyiwa hivi?"

Inavyoonekana Jamaa amekula nae bata usiku mzima then manzi akijua kapata mshiko wa maana akaishia kutapeliwa tu masikini, huku MZIGO ushaliwa

Wasamaria wema mkamsaidie bhana..mi nimemwacha hapo amekaa tu chini(kwenye ngazi za kupandia duka la Vunja bei) hata viatu hana,akili yote imemruka..kweli wanaume Konyo!!
 
Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
1,356
2,000

Jamaa itakuwa limekula hadi ndogo.
Mjini akili
 
Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
1,126
2,000
Chai hii haijachemka bado mbichi, Sinywi Mimi.
2778003_2770320_2754471_JamiiForums-1361292337.gif
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,661
2,000
Bhana bhana leo nilikuwa na mishe flani hivi Sinza madukani...sasa baada ya kufika nika chill sehemu namsubiria mwenyeji wangu

Dakika si nyingi ikaja LAND ROVER ikapaki pembeni kisha ikashuka pisi moja ya maana..nnaposema ya maana namaanisha ..sasa yule sista kashuka kwa madoido yote akaenda sehemu ya kubadili fedha za kigeni

DK 5 hazikuisha mle ndani nikaona dada anatolewa kwa kusukumwa kama kaiba vile..ikabidi tusogee karibu kujua tatizo ni nini

Kumbe dada wa watu aliachiwa Dola 500 na yule jamaa wa LAND ROVER ambazo zilikuwa ni FEKI,Kwa hiyo alikuwa kama anawalazimisha watu wa mle ndani wambadilishie fedha kwani aliamini hazina Ufeki wowote

Maskini dada wa watu katolewa ndani kwa kusukumwasukumwa na maneno makali..u sista du wote umemwisha..alikuwa kdg yupo pombe lakni kwa ile SITUATION Pombe yote imemruka,amebaki analia tu maskini hata ukimuuliza swali anabaki kujibu"mimi wa kufanyiwa hivi?"

Inavyoonekana Jamaa amekula nae bata usiku mzima then manzi akijua kapata mshiko wa maana akaishia kutapeliwa tu masikini, huku MZIGO ushaliwa

Wasamaria wema mkamsaidie bhana..mi nimemwacha hapo amekaa tu chini(kwenye ngazi za kupandia duka la Vunja bei) hata viatu hana,akili yote imemruka..kweli wanaume Konyo!!
Maskini daah....

Hakufanyiwa POA kabisa....

Mtu atoe "usingizi "usiku kucha halafu yaani awe ameambulia tu GAMBE NA MISOSI...🤣

Mjini Kuna mambo...full kuviziana 🤣🤣

Naye huenda ameshawapiga na KUWAFOKOA wastaarabu wengi tu ha ha ha
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,782
2,000
Ngoja kidogo, alishuka kwenye Landrover akaenda bureau de change it means jamaa alikua anamsubiri kwenye gari. Akaenda ndani, akatoka kwa kufukuzwa. Hivi Ina make sense kweli mtu nikupe hela fake then nakusubiri kabisa kwenye gari halafu unatoka kwa aibu halafu unarudi tena kwenye gari?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom