Alichofanya Yahya Jammeh kijijini kwao

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
jamaa alizaliwa kijiji kinaitwa Kanilai chenye watu 4,000. alipoingia madarakani alifanya yafuatayo.

1. Alijenga Ikulu ya Rais.

2. Akajenga uwanja wa mieleka.

3. Akajenga hoteli ya kifahari

4. Akatengeneza na zoo huko kijijini.

Ni kawaida kwa viongozi wa Africa tusishangae yakitokea hapa bongo.
 
jamaa alizaliwa kijiji kinaitwa Kanilai chenye watu 4,000. alipochaguliwa alifanya yafuatayo.
1.alijenga ikulu ya Rais.

2.akajenga uwanja wa mieleka.

3.akajenga hotel ya kifahari

4. akatengeneza na zoo huko kijijini.
ni kawaida kwa viongozi wa Africa tusishangae yakitokea hapa bongo.
mbona haya kama ni majungu
 
Kajenga Ikulu kijijini kwake !!!!!!! ndio maana anang'ang'ania.
 
jamaa alizaliwa kijiji kinaitwa Kanilai chenye watu 4,000. alipochaguliwa alifanya yafuatayo.
1.alijenga ikulu ya Rais.

2.akajenga uwanja wa mieleka.

3.akajenga hotel ya kifahari

4. akatengeneza na zoo huko kijijini.
ni kawaida kwa viongozi wa Africa tusishangae yakitokea hapa bongo.
Ataviacha vyote muda si mrefu.
 
Nilisikia huyu hakuchagulia Bali aliingia kwa madarakani kwa kupindua hakukuwa na uchaguzi yaliomuingiza madarakani ni mapinduzi au nimemfananisha?
 
Kijiji cha kanilai Alipozaliwa Raisi wa Gambia
 

Attachments

  • 1484838162259.png
    1484838162259.png
    25.6 KB · Views: 52
Back
Top Bottom