Hiki hapa Kikosi cha Timu ya Taifa 'Taifa Stars' kitakachokwenda Nchini Azerbaijan kwaajili ya Michezo ya FIFA Series 2024

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
Katika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi.

Credit Azam sports.

Swali langu: Mbona mpaka Sasa TFF bado hawajatoa tamko lolote kuhusu kocha wa Taifa stars wenye mdomo na asiyekua na mbinu katika kufundisha?
1710331386740.jpg
 
Katika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi.

Credit Azam sports.

Swali langu: Mbona mpaka Sasa TFF bado hawajatoa tamko lolote kuhusu kocha wa Taifa stars wenye mdomo na asiyekua na mbinu katika kufundisha?View attachment 2933473
Hayo mashindano yapoje?
 
Timu za Simba na Yanga zina Mechi muhimu tarehe 29-30 halafu mnachukua Wachezaji waende nje ya bara la Afrika Mechi tarehe 23&27 mnazitakia heri kweli hizi timu?
 
Mimi mwenyewe nashangaa, Taifa stars ina mechi tar 25/03 baada ya hapo wasafiri kutoka Azabaijan wafike tar 27, tar 29/30 timu zina mechi. Kwa vile ni wachache nadhani wangewaacha.
 
Katika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi.

Credit Azam sports.

Swali langu: Mbona mpaka Sasa TFF bado hawajatoa tamko lolote kuhusu kocha wa Taifa stars wenye mdomo na asiyekua na mbinu katika kufundisha?View attachment 2933473
kha dickson job hayumo,alahu akbar
 
Timu za Simba na Yanga zina Mechi muhimu tarehe 29-30 halafu mnachukua Wachezaji waende nje ya bara la Afrika Mechi tarehe 23&27 mnazitakia heri kweli hizi timu?
Sasa kama hilo shirikisho lenyewe limejaa wanasiasa na vilaza, unategemea nini?

Wangekuwa na akili, wangewaacha hao wachezaji wa simba na Yanga ili wajiandae na michezo yao ya robo fainali.

Kwanza kwenye hii nchi yetu, wachezaji karibia wote uwezo wao unalingana. Hivyo kusingekuwepo na pengo lolote lile hata kama hawatakuwepo baadhi yao.
 
Back
Top Bottom