OK ok ok..
1st. Wote tunajua kuwa kiba anafight awe msanii wa kimataifa na tunamuombea kheri kwenye hilo so ameona afanye wimbo electronic ili apate attention ya kimataifa ila alochokosea ni kwamba nyimbo za mahadhi ya electronic zinapendwa zaidi nnchi za magharibi na si afrika, na ili uliupenye soko la magharibi kwanza unatakiwa uwe na base nzuri afrika! So hapo naona ‘king’ amechemka au waliomshauri walipotoka..
2nd. Kiba ni msanii mkubwa sana hapa Bongo sikutegemea afanye kosa kama hili wimbo huu kwa 70% umefanana kabisa na wimbo wa Hussein machozi ”am ddicted to you”!! Tunaweza tukabisha, tukavua Nguo na kugaragara kwa ubishi wa mahaba, lakini ukweli ni huo wimbo huu ni kama amesamlpe ‘addicted to you’!! Angefanya kosa hili underground ningeelewa lakini kiba??? Jamani, what happened???
3rd. Kiba hatakiwi kulazimisha kutengeneza ‘club bangers’, aina yake ya uimbaji inafaa nyimbo flani hivi za Ujumbe wa kusikiliza kwa utulivu mfano nyimbo ya mwana!! Sasa hii kasumba ya nayeye anataka awe na club banger inampoteza na ndicho kilichomcost kwenye cheketua!!
Mwisho! Namshauri kiba atoe nyimbo nyingine fasta kuepuka damage ya itakayoletwa na hii nyimbo maana kwa promo iliyopewa hii nyimbo kwa kweli niko very disappointed.!!
c'mon kiba you can do better than this, alafu usitake kushindana na wenzako ambao wameshavuka tayari jaribu kujifunza kutoka kwao!!