Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

Mi naona nayo hii ni kiki. Kiba hawezi akawa mjinga kiasi hiki.
 
Wimbo mzuri sema una kelele sana.
Wimbo una dakika 2.49 ila kiitikio kimeimbwa dakika 1.30, sekunde 20 za mdundo kabla ya kuimba na sekunde zilizobaki ndio verse.
Neno Lupe Lupe limetamkwa zaidi ya mara 60.
Ukiusikiliza utadhani unasilikiliza addicted wa Machozi

Asante Kiba, ila jipange walau ufikikie level za Baraka Da Prince

 
Kwi kwi kwi, ewe Muumba wetu muondolee bahati ya fisi huyo kijana. Ana damu ya kunguni kwa kweli.
 
Wimbo mzuri;sauti na mapigo yako poa,mahadhi tofauti,good!.
 
Duh kiroho safi mkuu una chuki na jamaa mpaka nahisi kuna kitu mbaya aliwahi kukufanya,kama wewe ni KE sio kesi ni kawaida yenu ila kama ni ME fanya kujichunguza upya kuna tatizo mahali fulani.
Nah hard feelings tho'
Hahahahahaaa you made my day,thanks.
 
Pamoja na udhaifu wa Alikiba kamwe sidhani kama anaweza toa wimbo wenye production mbovu kama hiyo...Naamini sio huo...
Ngoja tuone lakini producer wake anasema sio huo
uploadfromtaptalk1454588377693.png
 
Wimbo mzuri;sauti na mapigo yako poa,mahadhi tofauti,good!.
Maneno yako yanatoka rohoni? Huu wimbo amepoteza kabisa. Hana consistance, kibao kikali kama Mwana Dar nakiri kuwa audio yake nimeikubali sanaaaaaa. Wimbo Cheketua ulishuka kulinganisha na Mwana, lakini huu wa Lupelo ameharibu kabisaaaaa.

Ushauri, anatakiwa awekeze sana kwenye video ili azibe pengo la audio mbovu.

Kiba ni msanii mkubwa, nakiri kuwa nyimbo zake zote ninazo na huwa napiga kwenye gari. Namtakia mafanikio mema ili tuwe na manguli wawili na wengine zaidi kimataifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom