wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 872
Wimbo mzuri sema una kelele sana.
Wimbo una dakika 2.49 ila kiitikio kimeimbwa dakika 1.30, sekunde 20 za mdundo kabla ya kuimba na sekunde zilizobaki ndio verse.
Neno Lupe Lupe limetamkwa zaidi ya mara 60.
Ukiusikiliza utadhani unasilikiliza addicted wa Machozi
Asante Kiba, ila jipange walau ufikikie level za Baraka Da Prince
Umeongea neno verse kidogo sana karudia rudia tu lupela, no massage