playboy baabu
Member
- Feb 4, 2016
- 83
- 12
Hahahahaaaa kiba atawaua kwan msanii hapa bongo ni kiba tuuwakat diamond yupo outspace alikiba yupo airport
Hahahahaaaa kiba atawaua kwan msanii hapa bongo ni kiba tuuwakat diamond yupo outspace alikiba yupo airport
Hahahahaaaa kimataifa itachukua ile kaswida yenu ya utanipenda huhuuuuuukweli kwa wimbo huu ndio ategemee kupata tuzo za kimataifa?
Wacha weee...nafurah mnavyopapalika king atawaua me nasemaMhh... Sijui labda waje wa kina pwilo .
Mi nilishamshauri kiba akavue dagaa tu. Yani ndo wimbo huu alioutafutia kiki ya Rubi.!?
Sad.
Uimbaji au mdundo ?...sorry nsaidieHusen Machozi kuja hapa, kiba kakopi "Im addicted".
Wacha weee..... Hahahaaaaaaa kiba utaua watu mwaka huuK
Kazi anayo kwa kweli, anaimba kaswida ama ni nini?
Hussein machoz mwenyewe anajua who is KibaWacha Maneno ya uchochezi mkuu
Hahahahh.!!Wimbo si m'baya sana kajitahidi akiendelea na kasi hii muda si mrefu (japo ni kopi ) Shilole atasubiri sana.
Kumbe mnamfuatilia Safi sana huyo ndo King Mzee R.Kelly anaelewa utakuwa wwHahaha beat Coming home Nameless. Sound Addicted by Hussein Machozi kimba kwishaa"
wakuu K 4 REAL anatisha hii ngoma ni noumaaaa usichezee moto wa K 4 REAL ata monds anaujua ndo maana amekaa kimyaaaa. kiba anatishaaaaaa
ahahahah...wewe acha unazi hapa hakuna kama kiba hapa bongo watapita wengi lakini always KING IS A KING. K 4 REAL
ndani ya bongo na east africa...kiba ni mfalme hakuna kama yeye bongo msanii pekee aliyetoka na R.KELLY ndani ya bongo na east africa, no one like him.
kwani kipi ni HAKI kucopy..?Uimbaji au mdundo ?...sorry nsaidie
Mimi hiki kipande tu kimeshanichizisha tayari....Alikiba ukisikiliza hawa nyumbu itafika mahali utashindwa kunya na chakula umekula mwenyewe kwa raha zako......kwani binadamu wanakosa la kusema basi!!!
Aaah bhana wee, shusha dude hilo watu tujisafie nafsi mwenye povu akajisuuze mto msimbazi! Arrghaaa!
Yaah kuna vitu vipo wazi ndo maana wenzetu wakasema call spade the spade kiuhalisia na kimtizamo wa mashabiki wake ambao wana tegemea makubwa kutoka kwake.Anajikuta ana mlima mrefu wa kupanda kusingekuwa na tatizo kama asingekuwepo diamond ingekuwa sawa ila uwepo huo ndo tatizo kwamba huyu akitoa kitu kizuri basi na yule atoe kimsingi ningefurahi kuwa na wana muziki wengi kama ilivyo nigeria but wana safari ndefu na Waache kujidanganya.Umeonae yani kumbe mashabiki cc ndo tunasababisha vitu poor!!!!
Hizi sifa ndizo zinazomshusha maana, namsifia kwenye mtandao mauzo anafanya mwingeni, Kiba aambiwe kweli ili arekebishe. Mlilinganisha Nana na cheketua, Utanipenda na single ya mwisho Ally, nimesahau jina lake. Ila jibu liko mitaani kila unapopita wimbo wa Diamond unapigwa zaidi.wewe acha unazi hapa hakuna kama kiba hapa bongo watapita wengi lakini always KING IS A KING. K 4 REAL
Maneno yako yana ukweli ambao watu hawaupendi.Yaah kuna vitu vipo wazi ndo maana wenzetu wakasema call spade the spade kiuhalisia na kimtizamo wa mashabiki wake ambao wana tegemea makubwa kutoka kwake.Anajikuta ana mlima mrefu wa kupanda kusingekuwa na tatizo kama asingekuwepo diamond ingekuwa sawa ila uwepo huo ndo tatizo kwamba huyu akitoa kitu kizuri basi na yule atoe kimsingi ningefurahi kuwa na wana muziki wengi kama ilivyo nigeria but wana safari ndefu na Waache kujidanganya.
Maskhara ya ngumi haya!![]()
baby hivi unawaimbia tembo au unaniimbia mimi?
Kwanini usifanye kama baba T