Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

Duu nimekuwa dissapointed tena na Kiba duu bado siamini kama hii ndio ngoma aliyo kwenda kurekodi! Nyimbo ina makosa mengi sana tena sana... ! Nyimbo ina makelele sana ...pia ni ya kiwango kidogo sana!Pia melody ni ya wimbo wa Hussein Machozi!

Mwanzo nilimtetea nikidhani sio wimbo halisi lakini baada ya kuusikiliza kule mkito nimeshangazwa sana tena sana.....
 
Duu nimekuwa dissapointed tena na Kiba duu bado siamini kama hii ndio ngoma aliyo kwenda kurekodi! Nyimbo ina makosa mengi sana tena sana... ! Nyimbo ina makelele sana ...pia ni ya kiwango kidogo sana!

Mwanzo nilimtetea nikizani sio wimbo halisi lakini baada ya kuusikiliza kule mkito nimeshangazwa sana tena sana.....
Halafu mimi baada ya kuona inakuwa Connected na mambo ya Tembo nilifikiri ni wimbo wa Kampeni.Kumbe ni mambo ya kujibustia
 
Team DNA MNA kazi Sana haya ngojeni na video nayo ili mmalize siku vizuri
 
Kaka nakupongeza kwa kuwa na roho ngumu. Unafaa kuwa mwanajeshi katika mapambano ya kugombea mpaka na Malawi.

Nasema kauli ndogo tu, "ngoma mbovu"
Ukiilinganisha na ipi bwana mkubwa....ngoma gani ya Ali kiba unayoikubali tuanzie hapo kwanza
 
Naikubali Mwana na zote kurudi nyuma. Ali Kiba alikuwa fundi, kwa sasa sijui ni umri au ndo kipaji kinamaliza uhai wake.
 
cf1b12e9c5209ad9c433fa25f0bf8bbe.jpg

Tembo baada yakusikia lupela official on mkito ni ile ile iliyoleak jana teh teh
 
Kwa wimbo alotoa Ali K akustahili kabisa msanii mkongwe kwa Game kama yeye.Afu baadae muanze kulalama mtv Base kwa kawimbo wa Hussein Machozi.
Labda Ikitokea akihojiwa Ali K na wachambuzi Wa muziki.Akiulizwa mbona ngoma linafanana na Ngoma la Hussein Machozi?
Ali K atajibu nini?
 
Hii trend ya kutoa ngoma kila leo kama Ndomo imemshinda kiba.. Ubunifu wake haumtoshi kufanya anachotaka kukifanya ili awe kama Ndomo... Mwenzake kila akitoa kitu kinavutia... Sasa kiba anatoa ngoma ka hii kweli!???. Kuanzia cheketua Video kiba akaanza zingua, mpaka hapa anaendelea kuzingua tu..
Bora awe tu kama zamani anajipanga akitoa kitu kinakuwa chenyewe
 
Wimbo mzuri sema una kelele sana.
Wimbo una dakika 2.49 ila kiitikio kimeimbwa dakika 1.30, sekunde 20 za mdundo kabla ya kuimba na sekunde zilizobaki ndio verse.
Neno Lupe Lupe limetamkwa zaidi ya mara 60.
Ukiusikiliza utadhani unasilikiliza addicted wa Machozi

Asante Kiba, ila jipange walau ufikikie level za Baraka Da Prince


Dah kweli mkuuu
 
Kaka nakupongeza kwa kuwa na roho ngumu. Unafaa kuwa mwanajeshi katika mapambano ya kugombea mpaka na Malawi.

Nasema kauli ndogo tu, "ngoma mbovu"
Sawa sijakataa mtazamo wko huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom