Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

Mmmmh,mdau uctake kuja kusema Kiba kujulikana Afrika Mashariki ndo keshakuwa msanii wakimataifa hapa!Afrika Mashariki hata Berry black wanamjua.
Kama hutoweza kufafanua maana ya msanii wa kimataifa nyamaza maana simply utakuwa hujui unachoongea hahahahaaaa#samahani lakini
 
tatizo kang'ang'ania kiti kumbe kiti chenyewe sio chake waliomdanganya wamemkimbia pemben wanamcheka
Kiti chake na ndo maana kawagaragaza tuzo 5 mlipokutana uso kwa uso... Na baada ya yy kurudi kateka attention zenu mnafuatilia japo kiroho mbaya ila mnaskiza ngoma zake na video zake mnatazama hahahahaaaa
 
Mimi hiki kipande tu kimeshanichizisha tayari....
Haters mapovu mengi sana,no time to waste
Ngoja nienjoy Lupela mie
Lets enjoy it niffah me pale wiu wiu wiii wiu wi uuwi...huyu jamaa hafai aysee hahahahahaaaa imenimalizia sana chaji hii ngoma since yesterday aysee afu kuna maneno flan kama ya kiarabu hivii
 
Ushauri mchungu huu wachache watakuelewa yaani graph badala ya kupanda inashuka.
Wacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaa
 
Lets enjoy it niffah me pale wiu wiu wiii wiu wi uuwi...huyu jamaa hafai aysee hahahahahaaaa imenimalizia sana chaji hii ngoma since yesterday aysee afu kuna maneno flan kama ya kiarabu hivii
Uwiiiiii ikifika hiyo sehemu naserebuka kama sina akili nzuri!

Waite,marafiki zako...baba mama yako
Waaaaje...dah huyu jamaa nimemkataa,hafai kabisa.
 
Wacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaa
Hahahahahaaaaa mkuu umetisha sana,eti shangingi....lol
 
Alikiba ukisikiliza hawa nyumbu itafika mahali utashindwa kunya na chakula umekula mwenyewe kwa raha zako......kwani binadamu wanakosa la kusema basi!!!

Aaah bhana wee, shusha dude hilo watu tujisafie nafsi mwenye povu akajisuuze mto msimbazi! Arrghaaa!
Aangalie plan B
 
Vodacom wameharibu Diamond kuwa Balozi wao na Lupela kuwachiwa.Nazani Ali K tumbo joto kasongi ka Husen machozi.
Hawa COSOTA waharakishe hizi sheria zao ziwe enforceable, Kiba lazima ashitakiwe kwa piracy. Huwezi copy kitu cha mtu (intellectual property) na watu wakashabikia wizi.

Kwa wote wanaoshabikia waunganishwe kwenye kosa la kuiba mali isiyoshikika (intangible property). Partent and copy right board iangalie eneo hili.

Ni utani wa kweli majirani zangu.
 
Wacha wee hivi ukimwekea mamako shake ua bambam ya mond na Mwana ya alikiba atapenda ipi labda??...#samahani lakini jibu ni Mwana na ikitokea kataka shake ua bambam basi simply atakuwa SHANGINGI hahahahaaaaa
Poor thinking capacity, you are out of the topic. Throw it away.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom