sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Fumbo mfumbulie mjinga 😀😀😀😀 caption this by le meneja babu tale
Watanyooka tuu mwaka huu
Fumbo mfumbulie mjinga 😀😀😀😀 caption this by le meneja babu tale
Kifesi lazma aumie mana ulaji kwa boss unapungua hahaaaa na bado hata wakitafta pa kupumulia hasira ndo wana haribu zaidi watulize mishono huko. Tuzo za Killi ziliwauma kumoyo na bado na roho zao za ushetani kujiona wao wana mkataba na Mungu.Umeona kifesi alivyosema leo instagram? Aisee leo ndio nimejua kama domo na timu zake waliumia kiasi gani kutokana na zile tuzo za KTMA.
Anadai mwezi mzima hawana raha kila wakiingia insta ni mwendo wa kukashifiwa na kutiwa aibu tu.
Watanyooka tuu mwaka huu
Mbona povu jingi sana mzee, mtanyooka nyie mliopiga kura na bado akawapiga dole kati hahahahaha
Afu wewe apo nakutafutaaaa, hebu njoo kule tupange mipango ya kwenda kumpokea fundiii bin laden...
Bado hujanyooka wewe?? Dawa yako inachemka
Kwani we ulinyooka ktma??
Fumbo mfumbulie mjinga 😀😀😀😀 caption this by le meneja babu tale
Babu tale alishaona domo anawakimbiza hata nyie wachache mliompigia kura na bado mkapigwa dole. Hahahahahhahaha safi domo safi piga madole wote, mana hakuna namna
Babu tale alishaona domo anawakimbiza hata nyie wachache mliompigia kura na bado mkapigwa dole. Hahahahahhahaha safi domo safi piga madole wote, mana hakuna namna
Me ktma nilimaindi et bwana tembo ndo mtumbizaji bora tz :what: kwa show Gan n alipiga wapi
Ulitaka ashinde bwana nyani? Tulia wewe najua zile sindano [Tuzo] ziliingia barabara ndio maana leo watu wamekiri hadharani.
Kutokujiamini ni ugonjwa mubaya sana eeeeeh pamoja na tuzo LA kukatana viuno ka kina shilole hamjiamini. Kuja ku post huku mambo ya chai jaba won't change anything in our mind mnapoteza tu nguvu, sie tushahamua aisee kwa kiba ndo tumetia nanga. Mnatia huruma katafteni wana saikolojia. Miandiko tu inaonyesha hamna amani na hamujiamini.
You need to get a life. #KibaKeepHurtingThem
Mkuu pale kwa zile fitna haikuwezekana kuwanyoosha..lakin jana..mkakaaaaa tuliii
Teh Teh...habari yako nifah? Hivi mtani wangu atoto umemuona wapi namtafuta mwezi sasa hata simu yake haipokelewi au katekwa?Wewe waache tuwanyooshe na hizo hizo ID zao mpya.
Kwani hujui mziki wetu ulivyo mnene? Hadi wabadili id ndio wajaribu kuucheza.
"Unavyobilinga bayoyo hivyo mi ndo nataka taka taka..."
Uwiiiiiii huu wimbo ulivyo mtamu na ile sauti ya King Kiba ndio ananitia wazimu kabisaaa...
Usijali ma, utaikuta tu inshaallah kikubwa uzima.
Unadhani kwanini hatujiamini??