sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
sasa inatuhusu nini. kutwa mpo kwenye huu uzi wa kiba wakati mondi ana uzi wake. au mnatafuta kiki huku
nipe sababu...usikimbie hoja..
sasa inatuhusu nini. kutwa mpo kwenye huu uzi wa kiba wakati mondi ana uzi wake. au mnatafuta kiki huku
Tuzo diamond kapata sawa lakini aache umamuma.....kulikuwa kuna haja gani yakuweka video ya jokate na kupiga picha akionesha dole la kati.
Unafikiri Diamond sio binaadamu hana roho
Ilikua inamuuma sana kuona upande wapili wameamua kupigia kura wapinzani wake kwenye kategori zake
Ile furaha alishindwa kujizuia kutupa dongo
Hapa ni vita ya kuumiza kisaikolojia, sema itagemea sasa aliyekerwa analipokeaje
kwani kilimanjaro ni nani kwa mfano this is fake a/c kwani hamuwezi kufungua nyinyi yani domo ni mtume kwenu hakosei
ukipuuzwa ni aibu sana.
Mwenzako mi ni turufu
si garasa
mwenye nyota ya umaarufu
si kupapasa
Tena jokeri la nguvu
Makarata oooh
Tena hodari wa nguvu si kwasakwasa
pipooooooooooz kaaaaaaama nawaona vile wakina mwafulani na kiongozi wao le kimbaz walivyo panick hahahaha
NEXT STOP
+ July 24, Moshi
+ August 1, Kenya Nairobi
+ August 8, Tanga
MTANYOOKA TU!!
Wapi walinda tembo kwa kujitolea??
Mtajuta kutufahamu hahahaha!!!!
Kumbe ilikua inamuuma, angekunywa panadol, angetuliza maumivu.
Inatosha basi khaaaa! Utalitembeza huku hilo livideo hadi basi.Watch "Donald & Diamond Platnumz - Wangu - Official Music Video" on YouTube - https://youtu.be/6raASOZgcN4
Burudika na hii
Inatosha basi khaaaa! Utalitembeza huku hilo livideo hadi basi.
Umeshaiweka mara moja tu inatosha, acha kutuchafulia uzi.
Huo muda ninao sasa? Si bora nikaangalie video ya Chekecha ya King Kiba.....Umeona kuna uchafu apo? Nipe maona basi c ushaichungulia chupa