Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Huo muda ninao sasa? Si bora nikaangalie video ya Chekecha ya King Kiba.....
Ndio maana nikakuambia acha kutuchafulia uzi kama mtu akitaka kuangalia ataitafuta huko YouTube.

Haha ndo wale mnachek alaf mnakausha sio mbaya utakutana nayo tu hata kwenye Tv. Hakwepeki huyu kjana ila da unamoyo yani Rais anatoa vdeo huna ata kiraruraru aka kimbelembele cha kenda kuiwah kuiona we noma.
 
Hiyo tv huo muda wa kuangalia naupatia wapi? Anakwepeka vizuri tu maana sio pumzi huyo.
Mimi noma kwelikweli, tena nina msimamo ajabu siyumbishwi mie...
#NimeamuaKubakiNjiaKuu
#KingKibaAtosha
 
We mwache tu, jitu puuzi puuzi tu
Sasa ivi status itabadilika kutoka lidingi mpaka lishangingi.
Mtoto wa kiume unajichetua kama shangingi la ujiji Kigoma.
Kudorishia na kuleta mashauzi yasio na kichwa wala mkia.
Haya tuzo wamepata, pongezi tumetoa, wameponda, Sasa anataka nini cha zaidi?
Nasemaje team sihamii!
Kwa msaada wa shanga, misky na wanja aendelee kuniquote taarab na ushuzi.
Mxiiu!
Tuzo yenyewe ya kituo cha television inaringishiwa hiyo....
Ni sawa na Rich Mavoko apate tuzo kutoka ITV halafu aringe
Hahahaaaa
Hata hivyo tuwape muda tu wapunguze stress maana tuzo 7 ndani ya mwezi mmoja alizopata King zimewapa watu stress sana.
 
Inatosha basi khaaaa! Utalitembeza huku hilo livideo hadi basi.
Umeshaiweka mara moja tu inatosha, acha kutuchafulia uzi.
Mi hata sijaliangalia hlo li video. Na unatuchafulia Uzi nashangaa zinaachwa bila kutolewa.
 
Hahahaaaaa kumbe tupo wengi eeh? Mwenzangu mimi hata sina muda wa kuliangalia sio leo wala kesho.
Yani mi hata nimepta ka siuoni vile hahaaaaa acha wa post wakichoka wataachwa. You know ka role model wao ndo standard seven aisee. Na akili zao zinafanana utoto mwingi mwingi. Hata wanashindwa kutumia akili ya kuzaliwa.
 
nifah vp kuhusu ulichokisema jana mpenz

Haaaaaaa! Ndugu unataka nipewe talaka na shemejio? Bado nampenda sana sitaki kumpoteza plz....

Kuhusu kile nilichokisema jana najipanga nikiandike kwa uzuri, naona wengi mnaulizia ngoja nimalize ninachokifanya kisha niingie chimbo nikirudi naja na madini.
 
Last edited by a moderator:
Lol...mimi sio mbishi ila nina msimamo mkali katika kile ninachokiamini.
Kama huo ndio ubishi wenyewe basi.

Huo ndio ubish sasa ila em jaribu kuchek thn utoe maoni yko tunahitaj sana maoni yenu team K u knw haha" fanya kama umekosea vle tu yn itx vry nice song for u ladies"
en thn am out mana ntazidi kuchafua tu huku...
 
Hahahaaaaa kumbe tupo wengi eeh? Mwenzangu mimi hata sina muda wa kuliangalia sio leo wala kesho.

Mi hata sijaliangalia hlo li video. Na unatuchafulia Uzi nashangaa zinaachwa bila kutolewa.

Tuzo yenyewe ya kituo cha television inaringishiwa hiyo....
Ni sawa na Rich Mavoko apate tuzo kutoka ITV halafu aringe
Hahahaaaa
Hata hivyo tuwape muda tu wapunguze stress maana tuzo 7 ndani ya mwezi mmoja alizopata King zimewapa watu stress sana.

Jamaa kafunikwa ,yaani katika collabo mbovu ni hii bora hata ile ya Waje ilikuwa mbovu kiasi.

Nadhan its about time Diamond ajifunze specialization, siyo kila kitu cha kufanya vingine vitamfanya azid kupoteza heshima aliojijengea.

Ule wimbo angeimba Mtu kama Barnaba,Marlow hv , Ben Paul au Damian Soul ungekuwa kitu kingine bt siyo Diamond katoka kabisa out na anaonekana kuwa anakuwa out.

Am his fan bt for this song no
 
Huo ndio ubish sasa ila em jaribu kuchek thn utoe maoni yko tunahitaj sana maoni yenu team K u knw haha" fanya kama umekosea vle tu yn itx vry nice song for u ladies"
en thn am out mana ntazidi kuchafua tu huku...
Acha kupiga mayowe wewe, halafu mbona unalazimisha sana tuangalie?
Ushaona kitu kibovu ndio maana unakipigia debe eeh?
Kizuri chajitembeza hakihitaji promo, mbona sisi hatukuwalazimishia chekecha?
 
hii tuzo imewapa cha kuongea jamaa, bosi wao karudi na mipasho teh! teh! teh!
 
Back
Top Bottom