Mkuu nikusaidie
Jokate alikuwa anafanya kazi chanñel o na Iceprince kipindi kimoja
Shetta kapigiwa pande na diamond
Dimpoz kapigiwa pande na AY
Lakini ukae ukijuwa collaboration sio kila kitu, coz J martins, Kcee, na Iceprince hujawaona wote mtv
Afu unajuwa mo music na barakah da prince wanalipwa kiasi gani kwa show??? ndio ufananisha na kiba???
Mond ni non stop katoka kufanyama wandaaaz tar 24, tuna show kilimanjaro kiingilio minimum 30000 hadi 200000 huo ndio ubabe sasa
Niwakumbushe Kesho nominations za Afrimma zinatoka, kwa hili naweka uteam pembeni i expect kumuona kiba kwenye best East Africa category hata nomination tu itamtoshà
STAY TUNED