unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
Ki ukweli sisi team "king kiba" ndani kabisa ya mioyo yetu tunampenda Dangote na kazi yake nzuri kabisa aifanyayo ila ndio vile tena kuishi bila Unafki hatuwezi!!
Na Jokate ameonyesha hasa tulivyo!!
Tutanyooka tu mwaka huu!!
Mnafiki ni wewe unayejifanya kondoo huku ukiwa chui, na wewe si msemaji wa mashabiki wa kiba. Hatuna unafiki kama wewe, na tunampa pongezi domo kwa kupata tuzo ya kukatia wanaume wenzie viuno jukwaaani hahahahahahaha hakuna cha video bora, wala nyimbo bora hahahahhaha. Full kukata mauno. King kiba for life