Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Tuzo zimeisha mzee. AMKA. Davido ni best male

Tuzo haziishagi kwetu kuna zingne za international tunagombania cjui ni state huko mpigieni davido tuu we ain't cre.. zimeisha kwenu za mlima na kwa mpango ule wa video ya cheketua kupigwa kapuni trace mtv hahah hata next year mbona mtaisoma number. No international mtabaki local adi mtubu kwa chibu
 
Mzee acha kukurupuka nazungumzia tuzo za MTV, kwa hizo nyodo zenu ndiyo tutaendelea pigia kura watu wanaoheshimu mashabiki, kiba hana shida na nyie, umeshamsikia akimdiss yeyote?? Kazi kwenu kila mnachofanya lazima muogope kivuli cha kiba.
 
Asante mamy...nilisimamia shoo adi wakakimbia wote wakaniacha mwenyewe kwenye uzi wao wa kutulambisha ndimu.
Alafu unaonaje mamy nilivyowapa mapigo ya kisaikolojia taraatibu bila matusi yaani no to ban.
Nikawayumbisha wakaanza oooh sijui nini wakaanza kuleta personal issue ili niumie lakini wapiiii fimbo zipo pale pale...
Akaja mwingine oooh si unaona wenzako hawakusaport sijui nini bla blaaa hahahaaaa nikashangaa sana maana nipo mmoja nimewatoa jasho ivyo vipi tungekuwa wote....
Nikawaambia tulieni ili ni jeshi la mtu mmoja sio nyie mkichambwa mnaitana through pm sijui mnakuja wote kwa pamoja sasa mimi siiti mtu mimi ndio kiranja wa zamu leo nipo nalinda tembo hahahaaaaa

Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu nimekukubali cute b wetu.

Hapo kwa personal attack nilishangaa sana almanusra niingilie ila nikasubiri majibu yako ambayo yaliusuuza moyo wangu hadi nikatulia tu.
Nashukuru sasa umeshawajua mbinu yao ya kuingiza personal issues kama wakiona wanashindwa,na kizuri zaidi umekua gwiji sasa maana no matusi hadi wanakaa wenyewe.
Huo ndio mpango mzima, mambo ya ban kwetu yawe historia sasa.

Hahahaaaaa, kiranja wa zamu umelinda tembo kwa ustadi wa hali ya juu hadi majangili yote yamenywea.
 
Last edited by a moderator:

Thank you my nifah....
Jana ilikuwa siku ya furaha sana kwangu yaan...
Na vile ban ndo basi tena mbona walikomaa.... nawapiga huku nachekaa hahahaaa lol wish siku ijirudie yaani.
Sikutaman kulala jana ila nilihakikisha wote wamelala wasije wakaiba ndovu nilivyoona ulinzi upo vyema ndio nikalalaa.
 
Last edited by a moderator:
Tuzo haziishagi kwetu kuna zingne za international tunagombania cjui ni state huko mpigieni davido tuu we ain't cre.. zimeisha kwenu za mlima na kwa mpango ule wa video ya cheketua kupigwa kapuni trace mtv hahah hata next year mbona mtaisoma number. No international mtabaki local adi mtubu kwa chibu

Nimesoma between the lines,
Nimesikitishwa sana.Sijawahi kuguswa na post zenu,leo umenisononesha! Uminisikitisha sana.Ivi kweli ndio mawazo yako?
Unamwombea mwenzio asiendelee, unamwombea mwenzio abaki chini tu?
Unasema tutaisoma number? Kwani hivi ni vita? Sio wewe uliekua unasema unanatamani wanamziki wote wapande juu?
Kweli unasema mpaka tutubu kwa Chibu?
1.Je Chibu ni nani? Ni Mungu au baba wa mafanikio yote?
2.Una maanisha kung'ara na kupanda ni haki yake pekee??
3.Anatawala Fikra za kila mtu??
Napenda mziki wa domo ila he is not my favourite.Namwomba Mungu akuone na kauli yako, yeye pekee anapaswa kutubiwa
Kama Mungu aishivyo na anayasikia maombi ya waja wake, Inshallah atawakumbuka na wanyonge.!
Amin.
 
Nachukua nafasi hii, kumpa pole kubwa Jokate, mwanamke mwenzangu.Pole sana kwa mfadhaiko unaopata.
Aisee, sikuwa nampenda Wema mimi, ila siku izi namwonea huruma sana.
Kuna watu maishani wanakuletea msononeko ambao unakaa na kujuta kwanini uliwahi kuwa sehemu ya maisha yao.
Zari sina shida naye, actually namkubali sana ila Mungu ajaalie baya lisitokee.
 
leo insta kuna raa mziwanda vs shilole jokate vs daimond platnumz
 
Attachments

  • 1437313183271.jpg
    1437313183271.jpg
    83.8 KB · Views: 87
  • 1437313207245.jpg
    1437313207245.jpg
    41.7 KB · Views: 88
Last edited by a moderator:
hahaaa mlinzi nipo hapa
 
Attachments

  • 1437313372787.jpg
    1437313372787.jpg
    70.7 KB · Views: 85
Nimesoma between the lines,
Nimesikitishwa sana.Sijawahi kuguswa na post zenu,leo umenisononesha! Uminisikitisha sana.Ivi kweli ndio mawazo yako?
Unamwombea mwenzio asiendelee, unamwombea mwenzio abaki chini tu?
Unasema tutaisoma number? Kwani hivi ni vita? Sio wewe uliekua unasema unanatamani wanamziki wote wapande juu?
Kweli unasema mpaka tutubu kwa Chibu?
1.Je Chibu ni nani? Ni Mungu au baba wa mafanikio yote?
2.Una maanisha kung'ara na kupanda ni haki yake pekee??
3.Anatawala Fikra za kila mtu??
Napenda mziki wa domo ila he is not my favourite.Namwomba Mungu akuone na kauli yako, yeye pekee anapaswa kutubiwa
Kama Mungu aishivyo na anayasikia maombi ya waja wake, Inshallah atawakumbuka na wanyonge.!
Amin.

Don't take it too p" amna anayemwombea mabaya msanii ambaye akitoka nje au mziki wake ukikua ataiwakilisha nchi vzr ad sasa kiba anawakilisha Vzr East Africa bigUp Africa bdo hiz tuzo za chibu ni changamoto tu akaze afanye mziki wake. Am just a fan usisikitike sna lkn kuropokwa kwangu haswaa kwa zile kampeni za vote for Davido Mr Flavor ndio zimenifanya nitapike hayo. U guyz u should do wat u thk it's ryt to do for the ske of the Nation nasio kampeni za ajabu. Kama unavote for davido or nani huko sio adi kupiga kampeni ilituboa sna. Lkn Mungu yuko upande wetu Yday tumefurah. I hop nawe ulilua mmoja ya watu waliofurah e.
 
pwilo huyo Nuhu na Shishi achana nao ni machizi usiwaamini kihivyo maana si ajabu ukawa ndio wimbo wao mpya wanatafuta kick tu.

Habari njema ni kwamba mimi na mdogo wangu Abou Saydou tupo na King wetu Kiba kuna habari njema zinakuja subirini tukimaliza nitazileta zote hapa kwa marefu na mapana.
Bila kusahau King wetu anatujua wote huku (Kiba fans) na anatukubali saaaana.
Nimefurahije leo? Ndio maana tuko busy meeen....
 
Afadhali, tunasubir habari njema kila la heri MTU USIYE NA MAKUU, KIBA
 
Last edited by a moderator:
this is a fan aotside the country Tz see it today instagram is battle btn jokatemwegelo n diamondplatnumz lets see who will win it
Hatari sana do go hashauriki huyu shabiki hashauriki aisee. Ushauri wa haters huwa ni constructive sometimes. Ngoja niende insta kucheki vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Mamamamamaaaaa yaani namfikiria huyu domo sielew.
Ujue mimi nilijua jokate kafanya hivyo after tuzo kumbe ni mudaa...
Huyu domo ni mjinga sana ndo wale wanaume ambao ukidate nao mkiachana kama ana picha zako anaanza kuzisambaza.
Nilijua kukosa elimu sio kushindwa kuishi na watu ila kwa hili jokate na wengine wajifunze
Sasa hapo si ujumbe wako kwa mashabiki wote kuanzia kina Wema walivomtosa Ktma,tuzo za watu. Hahaaaa ujumbe muache wivu jamani yeye kashinda. Ana vituko vya kijinga sana sana. Kuna wa kuonea wivu sasa Davido asemeje kabarikiwa kila kitu na hana huo ujinga.
Kweli wanawake wajifunze hii miwanaume mingine bure kabisa. Nadhani JoJo anatujutraaa.
 
Back
Top Bottom