Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

see it Diva Beyonce baadae dada mi naenda insta cwez bishana na wajinga wasiojielewa team domo
Sawa pwilo ndo tatizo la mswahili sikuona haja ya Ku post huo ujinga ili iweje. Na babu tale nalo lina post ujinga. Mashabiki hawaletewi shombo hvo. Nadhani ana hasira na Joketi kisa yuko close na kiba. This is insanity aisee to highest level and stupidity. Si amu face kiba mwenyewe.
Joketi atajutraa kudate standard seven aisee#EducationIsSex.
 
Last edited by a moderator:

Mmmh kumbe ndo ivyo.
Kweli domo ana mambo ya kijinga

this is a fan aotside the country Tz see it today instagram is battle btn jokatemwegelo n diamondplatnumz lets see who will win it
 
Attachments

  • 1437307530704.jpg
    1437307530704.jpg
    45 KB · Views: 88
Last edited by a moderator:
see it Diva Beyonce baadae dada mi naenda insta cwez bishana na wajinga wasiojielewa team domo

Khaaaa! Kweli mjaa asili haachi asili (uswahili).Ngoja niende insta mie nikajisomee micomments nicheke.
 
Last edited by a moderator:
Sawa pwilo ndo tatizo la mswahili sikuona haja ya Ku post huo ujinga ili iweje. Na babu tale nalo lina post ujinga. Mashabiki hawaletewi shombo hvo. Nadhani ana hasira na Joketi kisa yuko close na kiba. This is insanity aisee to highest level and stupidity. Si amu face kiba mwenyewe.
Joketi atajutraa kudate standard seven aisee#EducationIsSex.

Mamamamamaaaaa yaani namfikiria huyu domo sielew.
Ujue mimi nilijua jokate kafanya hivyo after tuzo kumbe ni mudaa...
Huyu domo ni mjinga sana ndo wale wanaume ambao ukidate nao mkiachana kama ana picha zako anaanza kuzisambaza.
Nilijua kukosa elimu sio kushindwa kuishi na watu ila kwa hili jokate na wengine wajifunze
 
Halafu nitakua mnafiki kama nisipokupa gwala cute b, hakika wewe ni jeshi la mtu mmoja kama ulivyosema.
Umenipa raha kuanzia jana ndio maana niko kimya tu, laiti ungeniona ninavyocheka....umejua kuwapasua majirani kwa hasira maana uko peke yako na wao kibaaaaoooo ila umeisimamia show hadi mwisho!:thumbup::thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Poor mentality tu waliyo nayo na kujielewa. Wao wamezoea negativity Mpaka basi na uadui ka vitani. Hahaaaa number kwenye timu kabisa ya waswahili Swahili hvo aisee with poor reason and argument. Over my dead body aisee.

Wanachukuliaga ushabiki ni bifu hahahahaaa muda wote wamejipanga kwa vita.
 
niaje pwilo naona timu fulani wanaleta fujo sana humu. hawana points kabisa

moja kati ya post ambazo mashabiki hawajui wanamaanisha nn #jokate vs daimond platnumz in insta lets see who will win
 
Attachments

  • 1437308891877.jpg
    1437308891877.jpg
    23.5 KB · Views: 107
Last edited by a moderator:
Halafu nitakua mnafiki kama nisipokupa gwala cute b, hakika wewe ni jeshi la mtu mmoja kama ulivyosema.
Umenipa raha kuanzia jana ndio maana niko kimya tu, laiti ungeniona ninavyocheka....umejua kuwapasua majirani kwa hasira maana uko peke yako na wao kibaaaaoooo ila umeisimamia show hadi mwisho!:thumbup::thumbup:

Asante mamy...nilisimamia shoo adi wakakimbia wote wakaniacha mwenyewe kwenye uzi wao wa kutulambisha ndimu.
Alafu unaonaje mamy nilivyowapa mapigo ya kisaikolojia taraatibu bila matusi yaani no to ban.
Nikawayumbisha wakaanza oooh sijui nini wakaanza kuleta personal issue ili niumie lakini wapiiii fimbo zipo pale pale...
Akaja mwingine oooh si unaona wenzako hawakusaport sijui nini bla blaaa hahahaaaa nikashangaa sana maana nipo mmoja nimewatoa jasho ivyo vipi tungekuwa wote....
Nikawaambia tulieni ili ni jeshi la mtu mmoja sio nyie mkichambwa mnaitana through pm sijui mnakuja wote kwa pamoja sasa mimi siiti mtu mimi ndio kiranja wa zamu leo nipo nalinda tembo hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
moja kati ya post ambazo mashabiki hawajui wanamaanisha nn #jokate vs daimond platnumz in insta lets see who will win

unajua mashabiki wa teammondi hawajielewi pamoja na yule wanaemshabikia. wanaropoka tu ndo wanaongoza kwa matusi
 
Oyaaa hiv kiba yuko kwenye top ten yoyote trace mtv au hata soundcity? Na ile cheketua mana nivideo nomaga sana et wakuu
 
Back
Top Bottom