Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Haya sasa bikira wa kisukuma naye kajibu kuhusu ile video ya Jojo akiselebuka kitorondo.
Kumbe wazee wa kukurupuka wamecopy kutoka kwa boss wao domo? Maana domo kakurupuka hadi aibu.
Hii screen shot niliinyaka alivyoipost...thou baadae kidogo kaedit kumshauri domo.
 
Attachments

  • 1437317798914.jpg
    1437317798914.jpg
    65.5 KB · Views: 99
Haya sasa bikira wa kisukuma naye kajibu kuhusu ile video ya Jojo akiselebuka kitorondo.
Kumbe wazee wa kukurupuka wamecopy kutoka kwa boss wao domo? Maana domo kakurupuka hadi aibu.
Hii screen shot niliinyaka alivyoipost...thou baadae kidogo kaedit kumshauri domo.
Hawa wanaume suruali wanaopenda kuzalilisha wanawake sijui wanajionaga wamefika sana, kwanini hyo video hawakutoa siku zote iwe Leo. Do go bado ana hasira za KTMA na hivi joketi ndo kazoeana na kiba basi ikawa shida.
Hata huyo bikra wa kisukuma ni mpuuzi sana. Joketi ndo ajifunze na yeye.
 
Bikira wa kisukuma hana tofauti na Le Mutuz ndio maana walikua marafiki wakaja kukosana kwenye mambo ya deals zao.
Nasema ni sawa na Le Mutuz kwa maana ya kujikomba komba, walivyokua huko walikokuwa akaona Jojo anacheza kitorondo akamrekodi fasta kisha akamtumia domo fasta (ndio kujikomba kwenyewe huko).

Kuhusu domo leo kadhihirisha uswahili wake, na ndio maana simpendi kwelikweli.
Katika maisha yangu hua nakwepa sana kudate na wanaume waswahili kwa maana ya kukwepa upuuzi kama huu aliomfanyia Jokate.
Mwanaume wa ukweli (Gentleman) hawezi kufanya vile.
 
Hahaha eti team Kiba hamsomeki kama Mgombea wa Ukawa...watu wana maneno aisee!!

Msinishambulie sipo team yeyote ile. Be blessed
 
Ss mimi na ww nani boya? Ushawahi kuniona kwenye huo Uzi? Kamalizie kwanza sekondari mkuu...

mtu mwenyewe wa kuja JF mboyoyo miiingi. Siko kwenye hizo mambo zenu sema unachojisikia. I'm out

we boya tu sasa ulifata nini kwenye huu uzi. we wa siku nyingi humu umepata nini. unaleta mambo ya kinafiki hapa. tena log out boya wewe
 
Ki ukweli sisi team "king kiba" ndani kabisa ya mioyo yetu tunampenda Dangote na kazi yake nzuri kabisa aifanyayo ila ndio vile tena kuishi bila Unafki hatuwezi!!
Na Jokate ameonyesha hasa tulivyo!!

Tutanyooka tu mwaka huu!!
 
Hahaha eti team Kiba hamsomeki kama Mgombea wa Ukawa...watu wana maneno aisee!!

Msinishambulie sipo team yeyote ile. Be blessed

Muone vile ulitaka tusomeke ili iwaje?
Mlangu uleee nenda jukwaa la siasa huku utapigwa tuu maana hamna namna.
Eti bro Th Name kwani unataka mchumba? Eti huyu dada kani pm amesema anakutaka.
 
Last edited by a moderator:
Unajua ww jamaa hujielewi sana

Kwani kiba alishiriki kwenye tuzo za mtv ?
Mpaka useme dai katufanya kitu kibaya

Ashiriki? ana vigezo gani vyakushiriki MTV? Hana huo uwezo tu...mwache asubiri tuzo za pombe ya Kilimanjaro tu
 
Tangu lini wanukao mikojo waka date watu wanaoeleweka bana....sasa wewe menyewe bado kujiswafisha hujui ...eti wataka jentomani? hahahah

Eti na wewe wadhani una hadhi ya kuwa na dangote....kiruuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Hahahahah dangote naye gentleman??? Hahahah oh please saizi yake ni lile gumegume lake, na sasa hata akitaka kuliacha hawezi, mana anaogopa aibu, kishajulikana ni mchafuaji asiye na ustaarab wa kusitiri ya chumbani
 
pwilo huyo Nuhu na Shishi achana nao ni machizi usiwaamini kihivyo maana si ajabu ukawa ndio wimbo wao mpya wanatafuta kick tu.

Habari njema ni kwamba mimi na mdogo wangu Abou Saydou tupo na King wetu Kiba kuna habari njema zinakuja subirini tukimaliza nitazileta zote hapa kwa marefu na mapana.
Bila kusahau King wetu anatujua wote huku (Kiba fans) na anatukubali saaaana.
Nimefurahije leo? Ndio maana tuko busy meeen....

Habari njema. Zileteni jamaniii
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli sisi team "king kiba" ndani kabisa ya mioyo yetu tunampenda Dangote na kazi yake nzuri kabisa aifanyayo ila ndio vile tena kuishi bila Unafki hatuwezi!!
Na Jokate ameonyesha hasa tulivyo!!

Tutanyooka tu mwaka huu!!

Hahahaaa team kiba wa kuchonga? Nyie mmezoea ufekero tuu hahahaaa.
Id fake ya davido mkajidai ndio yeye kwi kwi kwiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom