Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

: Zamani ukiwa nje ya nchi ilikuwa shida kidogo kuelewesha mtu natokea Tanzania labda useme mt. kilimanjaro

Sikuhizi aaaaaah ICON tunae ukisema Diamondplatnumz unapigwa na bia moja watu weweeeeeeeeee hail to the king of Afropop and best performer all over the continent

Ni upopoma kuamini diamond ndio best performer Africa hii

Halafu inaonekana nyie mandezi mlimpigia kura katika kipengele kimoja tu ?

Mimi nikiwa nje ya nchi nasema ni Mtanzania then naonesha bendera ya taifa langu

Award it's a person thing not a country thing siwezi kujivunia bwamdogo
 
😎😎😎😎😎
 
Shuuuuuuuudu lote hilo ni stress, spit it out all usijeishia kujitundika

Wcb oyooooooooooooo wapi team kimbaaa, eti vote for flavour hahahah

wamekaaaaaa

Nijitundike for a person thing ? Inanihusu nini

Wewe ndio mtoa shuuudu ebu soma title ya thread then compare na maneno yako
Ukimaliza jiulize upo timamu kuandika mambo ya dai kwenye Uzi Wa Kiba
 
abou sydou
mkuu acha kuasume eti ninatoa bendera hahahaha ndio maana kiba handelei kutokana na kuzungukwa na watu aina yako...

Diamond platnumz ndio habari ya Africa.. sahivi inabidi tupande dau mpaka 120 m kwa show bugati ileeeee
 
Last edited by a moderator:
Nijitundike for a person thing ? Inanihusu nini

Wewe ndio mtoa shuuudu ebu soma title ya thread then compare na maneno yako
Ukimaliza jiulize upo timamu kuandika mambo ya dai kwenye Uzi Wa Kiba

nilicho ki quote kilikuwa kinamuhusu nani??

kama unachukia vaa miwano usione gere gere wasafi hatuna gere you just dont get it...

wozaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hahahahaha jomba mbona unapaniki hadi unaonyedha hadharani hahahaha poleni ndio chibu huyu bwana mtu mbaaaaaaaya sana hamta msahau kabisa alichowafanya jana

hahahahaha inakuwaje mkuu tunaorganise kwenda kumpokea Rais wetu nikukabidhi pikipiki moja?? maana kuepusha congestion tunataka tutumie zaidi pikipiki na wengine watakuwa ado ado eti wakuu Shardcole pwilo mnatufaa sana hapa na baby ake cute b

Unajua ww jamaa hujielewi sana

Kwani kiba alishiriki kwenye tuzo za mtv ?
Mpaka useme dai katufanya kitu kibaya
 
Last edited by a moderator:
Unajua ww jamaa hujielewi sana

Kwani kiba alishiriki kwenye tuzo za mtv ?
Mpaka useme dai katufanya kitu kibaya

ingia insta mumuone mkewenu anavyoyarudi

Mtanyooka tu.. na bado

kuhusu kiba hawamfahamu so nikisema hata kwenye list ya kuchagua nominees alipigwa chini nampaisha..
 
cute b nishakumis tayari vipi umeenda kupumzika kidogo, maana jana ilikuwa zaidi ya kupanick...
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1437290722.461244.jpg
 
ingia insta mumuone mkewenu anavyoyarudi

Mtanyooka tu.. na bado

kuhusu kiba hawamfahamu so nikisema hata kwenye list ya kuchagua nominees alipigwa chini nampaisha..

Khaakhaaa mbona dai anaimba mwanadsm mwanzo mwisho

Najaribu kuattach video nafeli
 
abou sydou
mkuu acha kuasume eti ninatoa bendera hahahaha ndio maana kiba handelei kutokana na kuzungukwa na watu aina yako...

Diamond platnumz ndio habari ya Africa.. sahivi inabidi tupande dau mpaka 120 m kwa show bugati ileeeee

Mkuu inatakiwa iwe 500m

hawataki..walale mbeleeee
 
Last edited by a moderator:
achani ujinga wakutujazia pages hapa mnakuwa washaambaaa kiasi hicho nendeni kwenye thread yake kule na mtuondoleee ujinga wenu hapa in king house
 
achani ujinga wakutujazia pages hapa mnakuwa washaambaaa kiasi hicho nendeni kwenye thread yake kule na mtuondoleee ujinga wenu hapa in king house

LE MAFURIKOZ HAHAHA

I love it you know..
 
Back
Top Bottom