Alikiba Still the Best, Kibaa Oyeeeeeee!
Kucheza cheza jukwaani
Team DavidoKiba Hamjambo?
hiyo davido hakuwepo alikua mr flavour
Man of the night 🔥🔥🔥
Msiba mkubwa sana unakuja pande hii masaa machache yajayo.
Mmemsikia kakaenu pamoja na chairman wake?? Baddest.... 🔥🔥🔥
Seems people are thirsty here grab you're glass
HahahaaAa aya anza kunywa sasa..vipi nitilie sukari mbona unameza sura umekunja ivyo?
Ngumu kumezaaa ila lazma uelewe mwanamuziki bora Afrika ni Davido.
N
Na we elewa best live act Africa nzima n ICON WA TANZANIA MHESHIMWA DIAMOND PLATINUMZ
Mfa maji wweeeee
Hii suti aliovaa diamond leo n hatari sn mnaweza nisaidia sehemu alionunua nami nikanunue