dowload n listen it new song from young king #kebekebe
Aminia.. mbona king hajapigia promo hii, kama simesikia ipo out siku kadhaa zimepita hivii..
dowload n listen it new song from young king #kebekebe
si unaona tatizo lipo kwako... Mi ninajielewa sio shabiki maandaz, kunatatizo llolote kwenye nilichoandika?..
Sio kila mda mtu yupo kishari.. watu tunamioyo ya almasi, nivile tu nakereka na some stuffs it does not mean i am the way you think i am.. We may be arguing but deep within my heart i can hear whispers of diamond as a winner at the same time nikitamani King awepo pande zile.. Sina roho mbaya kihiiivo
Tatizo lipo kwangu YES.
Nakerekwa na watu type yako.
Yes unafiki tu, huwezi ukawa unawaprovoke watu makusudi kabsa at the end of the day unataka uonekane clean.
Wewe ni shabiki kitumbua na NO huna mapenzi mema na Kiba.
Hayo mengine sijui.
Aminia.. mbona king hajapigia promo hii, kama simesikia ipo out siku kadhaa zimepita hivii..
kila mtu kivyake hiyo ye mwenyewe video yake tu haipigii promo itakua hiyo ya mwenzake he is arrogant to some extent
Mkuu ni vipi?..unayo habari single ya MWANA ya ALIKIBA ilikuwa kwenye TOP-20 ya iTunes kupitia playlist yao ya "HOT MUSIC CHARTS",ilikuwa katika nafasi ya kwanza katika wiki ya kwanza mwezi june kisha ikashika nafasi ya pili kwa wiki mbili mfululizo zilizofata then hii leo ipo katika nafasi ya 25 katika TOP-40 za iTunes kwa wiki ya sita sasa check hapa...
http://www.hotmusiccharts.com/ke/itunes
Msanii anafaidika na nini?
Km nafahamu hawa 😀😀
Collabo ama nene" African biggest artist r now in Durban SA. Utaki kunya boga
si unaona tatizo lipo kwako... Mi ninajielewa sio shabiki maandaz, kunatatizo llolote kwenye nilichoandika?..
Sio kila mda mtu yupo kishari.. watu tunamioyo ya almasi, nivile tu nakereka na some stuffs it does not mean i am the way you think i am.. We may be arguing but deep within my heart i can hear whispers of diamond as a winner at the same time nikitamani King awepo pande zile.. Sina roho mbaya kihiiivo
Hello Kiba Fans...ladies and gentlemen, nimewasije?
Napita tu jamani, tutaanza kuwa pamoja tena kama zamani soon.
Hello Kiba Fans...ladies and gentlemen, nimewasije?
Napita tu jamani, tutaanza kuwa pamoja tena kama zamani soon.
#WasionipendaWajiandaeMbayaWaoAnarudi
Sijui nikutakie Eid Mubarak? Au ngoja tufanye kesho..ama nini?
#MissYouMoreYoung
Yes tufanye kesho bado naendelea