pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,563
- 14,632
Hahaaaaaa teh teh teh
diva how are u my ccter mzima?
Hahaaaaaa teh teh teh
Am fine@pwilo how about you.diva how are u my ccter mzima?
Ay ni wazi kua kwa kiasi kikubwa aliandaa misingi na kufungua njia ya mziki wa bongo kuvuka mipaka, na ataendelea kuheshimika kwa hilo, hata diamond mwenyewe anatambua hilo(refer post ya mondi instagram siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa ay)...lakini kwa kiba hapana. Kiba alikua na nafasi nzuri sana ya kutusua kipindi kile, mpaka akapata project na kina r kelly, lakini akabweteka na hakua na njaa ya mafanikio, matokeo yake kila siku anabaki kua kama underground....
Am fine@pwilo how about you.
mkuu umeangalia lakini ule wimbo wa one8 (hands across the world) kila msanii kashika bendera ya nchi yake akiwemo kiba wa kwanza kuimba go n see it!
Sikatai unachosema mkuu, ila angalia kilichofuata kwa kiba baada ya ile project, ambayo kwa mtazamo wangu ilikua ni njia ya wazi kwa kiba kutusua kimataifa na kutorudi nyuma tena...hapo ndo nnapoona kua kiba hakua na njaa kivile ya mafanikio, na ni kama alibweteka flani hivi. Angalia diamond alipofkia hatua ya kupiga collabo na davido yuko level gani sahivi. Jamaa alipopata mwanya hakufanya makosa, mpaka sasa kafika alopofika. Hiyo ndo njaa ya mafanikio nnayoisema...
sawa mkuu nimekupata ila sio kwamba kiba alibwetaka hapana coz alikuwa na mikataba yao (one8 project n rockstar 4000 present ) ndo mana kuna label yao xo ni mipango tu ambayo kiba hakutaka kuweka wazi kwa nn alifanya hivyo 3 years hiatus from music ila tutafika tu panapotakiwa !
mkuu umeangalia lakini ule wimbo wa one8 (hands across the world) kila msanii kashika bendera ya nchi yake akiwemo kiba wa kwanza kuimba go n see it!
Mic you toome too now am happy to some extent coz of ur presence here miss u Diva Beyonce
Mkuu hio sio ishu ni kitu kidogo saana.. Ndio maana mtv hawamfahamu kiba mpaka leo, trace ndio kwanza wameanza kumjua na chekecha last month... Watu wanashindwa kutofautisha kuiwakilisha nchi, kukuza sanaa na kufanya project na msanii wa kimataifa...
Huyo Ay unaomzungumzia ndio baba aliotutobolea huko, (na jide japo si kama ay)... ila kwa kibakuli hakuna kitu hapo huwezi zungumzia misic life kwa wimbo 1, ambao si wako, haujakupeleka popote, na ni project tu(airtel) wala sio collaboration kusema hata impe tuzo... Mtaishia kuota...
KAPIGENI KURAAAAAA KWA CHIBU DANGOTE LEO NI SIKU YA MWISHO AMMA NINI.. AFU IJUMAA TUSUBIRI ILE COLLABLE YETU ALIYOSHIRIKISHWA CHIBU
Kiba ni msanii mzuri(ingawa sio mbunifu kivilee), na itakua vyema akifika panapostahili kwa faida ya mziki wa bongo, na east africa kwa ujumla, ingawa bado namuona mzembe kwa kushindwa kukomalia mwanya aliopata kipindi kile. Diamond alipopata tu nafasi ya kupiga collabo na mtu mzima davido safari yake kimataifa ikaanza rasmi, na mpaka sasa anawakilisha vyema...
mkuu mi nakuaminia kumbe una ushabiki maandazi aliyekwambia kufanya collabo na wanigeria ndo kujulika ni nani hivi shetta dimpozi c wamefanya mbona hawasongi mbele kama domo promo pia inahitajika dai ana promo nyingu sana za mziki !
mkuu mi nakuaminia kumbe una ushabiki maandazi aliyekwambia kufanya collabo na wanigeria ndo kujulika ni nani hivi shetta dimpozi c wamefanya mbona hawasongi mbele kama domo promo pia inahitajika dai ana promo nyingu sana za mziki !
Na promota wake mkuu JK ndio anaondoka hivyooooo.
Mkuu sijasema mondi alikua hajulikani kabla ya kupiga collabo na davido, nnachosema ni kua major breakthrough ilikua ni baada ya lile collabo...angalia maneno yake kwa ay hapa chinioyaaa chibu hajaanza tu na davido...
Mkuu unapozungumzia kimataifa kitu kizuri ni kizuri tu, promo inakusaidia tu kuwateka zaidi mashabiki... Kwa sababu hata hao wanigeria wanaoshirikishwa na wakina shette hawafanyi vizuri kimataifa kama Diamond..... International collable inakuongezea tu wigo wa mashabiki nothing else, ila kama kazi nzuri ni nzuri tu lazima itusue kama my number one origina kupata tuzo 3 channel o, au mdogo mdogo kupata IRAWAMA marekani kuishinda aye wakati wenzetu wana promo zaid
Hilo halina tatizo lolote hapo, JK ni mjanja sana anaconneçtions na watu muhimu haihitaji kuendelea kuwa madarakani kumsaidia mpeperusha bendera...
Mwaka jana alimpa connection diamond kwa manager wa trey songs ambapo mkwaju wataenda kushoot marekani mwezi wa 9.. Ukiachana na hili hata ay mbona alimpa connactiona kwa godafather na davido... na si connection pekee zinazomsaidia chibu ni kuichukulia kazi seriously na kujituma hivo tu..
Mic you too
Na promota wake mkuu JK ndio anaondoka hivyooooo.
Salamu kwa bibie nifah zimefika kabisa worry out.Teh teh MTV wa intaneshno recognized na wa wish all the best you tujiandae kudorishiwa au kunywa juice ya ukwaju.nisalimie kina nifah ramadhani inaisha hii mwambie tumemmic saana Diva Beyonce ngoja tusubiri tuzo za mtv cjui tutakimbia wapi???,