Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

c umeona huyo kilimbamula kaja na wenge lake hakuna aliemjibu kasepa ndo inavyotakiwa tungemjibu angepata kichwa #tuwapotezeeeni

Very true hafu nimeona lemutuz kampost Kiba anajua kingereza kuliko domo Instagram kwenye page flani katoa kwenye blog. Huyu huwa simwelewi huyu lekibokozi.
 
Very true hafu nimeona lemutuz kampost Kiba anajua kingereza kuliko domo Instagram kwenye page flani katoa kwenye blog. Huyu huwa simwelewi huyu lekibokozi.

hili zee nafiki sana mara kiba mara diamond kama gasho
 
Attachments

  • 1435863844933.jpg
    1435863844933.jpg
    29.9 KB · Views: 83
Very true hafu nimeona lemutuz kampost Kiba anajua kingereza kuliko domo Instagram kwenye page flani katoa kwenye blog. Huyu huwa simwelewi huyu lekibokozi.

ni kweli c hata ile nyimbo aliyoimba na r kelly kathibitisha hilo kaflow mbaya kizungu #KINGKIBA
 
Tabia ya kupandana kichwani kisoro soro haivumiliki kabisa ka pichu kuzoea ...... Inapobidi lazma niseme sio jitu from nowhere linaniparamiaa tyuuuu.
Huyo jamaa ndo zake kuparamia hukua hata nakosa mwayego.

Ni inferiority tu zinawatesa.
 
Teh teh teh King zaa as long as you can tena wanao wazuri balaa. Usio ka wale wanaoshikwa masikio na kua baba walezi huku mayai yote wakilia chips.
Hahaaaa haloo ya baba mlezi a.k.a mshika pembe

Hahahaaaa!!! Kwani kuna mtu anamlelea wale watoto? Kama hizo pesa alitaka ahongwe yeye si aseme tu, hivi hawa watu kumbe wivu sio kwa sisi tu kumbe hadi kwa king!!!

Wamuache azae kizazi anacho, naye kama anataka ile chata aseme tu sio unahorojoka tu.

Kimbiza kimbiza(in nicki wa piliz voice)
 
Very true hafu nimeona lemutuz kampost Kiba anajua kingereza kuliko domo Instagram kwenye page flani katoa kwenye blog. Huyu huwa simwelewi huyu lekibokozi.

Yule ni bendera fuata upepo, anakwenda upepo ulipo, si walisemaga king hajui kiinglish jamani!!! Leo tena ghafla anakijua! Mabwaaku!
 
Ucku mwema tukumbuke kusali trace Africa 10 nambo moja dangote
 
Attachments

  • 1435869393202.jpg
    1435869393202.jpg
    32.8 KB · Views: 94
  • 1435869409051.jpg
    1435869409051.jpg
    34.1 KB · Views: 93
Tukumbuke kusali
 
Attachments

  • 1435870690549.jpg
    1435870690549.jpg
    27.6 KB · Views: 102
Back
Top Bottom