Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Nadhani ni vizuri mngeandaa ambulance hapa maana it's not normal. Is hoooooooot.
Na wanajipitishaaaaa humu hatari, hahahaaaaa!!
Hayaaa chekecha cheketuaaaaa
Nadhani ni vizuri mngeandaa ambulance hapa maana it's not normal. Is hoooooooot.
Sijapaniki huo ndo ukweli niliokupa. Unapaniki hadi kuita watu wazima vibinti so shameee kabisa ongea ya maana.
unajua kibani habari nyingine nimeenda u tube nikaona nyimbo mpya ya mr blue na navio lakini jina wameandika cheketua ila video sio ni ya blue ile mpya wanataka wapate viewers kama siku ile walivyobadilisha code za tuzo
Eeeeeh .
We cute b
Una mpenzi ?
kuna binti mule kanivutia sana.
#chekechavideo
La maana lipi kwanza alonalo la kuongea?!!!
Hayaaaa chekecha cheketuaaaa
atoto umeona alichoandika mazigazi kumbe wakija huku wanafuata nyie sasa si waseme kama wanafuata ma princess
Umeongea point dear walivoona video za u tube wakatamani na video yake iwe ya kukata mauno vibaya hadharani. Nashukuru kiba alikua mjanja hakuweka hayo mauno ka ya khanga moko mana ni kinyume na maadili na hapo pa kuchekechua pasingeonyeshwa.
Hahahahhaha mi na swaumu wapi na wapi nipo hadi lushoto kwa frank napata mbuzi katoliki karibishwa sana
Yupi huyo nikuunganishe naye? teh teh
Hayaaa chekecha cheketuaaa
oya Abou Saydou unazingua ww
Naona wimbo wa chekecha cheketuaaaa umempanikisha huyo si bure.
Mie na chekecha cheketuaaa kwa kwenda mbele.
nikwambie kitu
Take a midle finger!
Hayaaa chekecha cheketuaaaaa
Vipi mdogo wangu ulikuwa unammendea?? cute b ana mpenzi kila jukwaa