Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hii video imenivutia kwa vitu vingi sana. kwanza lile dance, pili kingkiba yupo simple sana kwenye mavazi amependeza sana. tatu wale mabinti ni noma

Kweli kabisa mkuu. Ujue kiba ata kwenye maisha yake ya kawaida anavaaga simple tuu na anatokelezea.
Wale mabint ni wepesi sana na wapo kiafrika zaidi.
Kwa kweli video ipo poa si umeona haters wameshatulia?
 
The difference between genius and stupidity is: genius has its limits- Albert Einstein.

Hahahaaaaa!! Na kweli ni "its limit", wakiitwa genous nawe utapeleka hilo bichwa lako! Labda genous wa kuparamia na kukurupuka na kujipendekeza!
 
Hahahaaaa sio kila jukwaa tuu ni kila nyuzii hahahahqaaa

Yaani nimekushindwa kabisaaaa na viol ushambemenda sijui ukamtupa wapi, sahizi ana stress mwafulani ana nafuu
 
Kweli kabisa mkuu. Ujue kiba ata kwenye maisha yake ya kawaida anavaaga simple tuu na anatokelezea.
Wale mabint ni wepesi sana na wapo kiafrika zaidi.
Kwa kweli video ipo poa si umeona haters wameshatulia?

yule anacheza mbele ya duka ni noma amevaa nguo za blue hivi mweusi fulani hivi. bonge la video kwanza halichoshi kabisa. alikiba yupo simple sana hana makuu kabisa
 
Kweli kabisa mkuu. Ujue kiba ata kwenye maisha yake ya kawaida anavaaga simple tuu na anatokelezea.
Wale mabint ni wepesi sana na wapo kiafrika zaidi.
Kwa kweli video ipo poa si umeona haters wameshatulia?

unaambiwaje kiba hta kumkuta kapiga picha kwenye gari lake ni nadra saanaa hapendi show off
 
Mkuu tumefanyajee? Mbona mimi saivi nina adabu?
Yaan umetaja wanaume wote ke mimi mwenyew aya bhana.

unajua hao team domo wanafanya kusudi kuwachokoza nimekukuta maeneo fulani ila sio amazing unatoa doz doz toa wasubiri waje hapa usiwafate sawaaaa cut b
 
Last edited by a moderator:
Akuuu kwa mdogo wangu lazima nikuzibie, usijenibemendea mdogo, mdogo mwenyewe ndio huyo tu wa pekee, abou mdogo wangu usidanganyike!

Sidanganyiki

Kwanza kasema kiuno chake kimeundwa na misumari ya jahazi
Atanichoma bila malipo
 
Last edited by a moderator:
unajua hao team domo wanafanya kusudi kuwachokoza nimekukuta maeneo fulani ila sio amazing unatoa doz doz toa wasubiri waje hapa usiwafate sawaaaa cut b

Sio mimi jamanii.
Leo aliyekuwa anagawa dozi ni Matola
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom