Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

yule anacheza mbele ya duka ni noma amevaa nguo za blue hivi mweusi fulani hivi. bonge la video kwanza halichoshi kabisa. alikiba yupo simple sana hana makuu kabisa

Kweli mkuu yule dada ni shidaa .
 
Akuuu kwa mdogo wangu lazima nikuzibie, usijenibemendea mdogo, mdogo mwenyewe ndio huyo tu wa pekee, abou mdogo wangu usidanganyike!

Jamani kwani mimi nitambembenda abou?
Hahahaaaaa waache watoto wadogo waje kwangu msiwazuieeeee
 
Last edited by a moderator:
unaambiwaje kiba hta kumkuta kapiga picha kwenye gari lake ni nadra saanaa hapendi show off

Akiwa anaelekea gym
 
Attachments

  • 1435773946594.jpg
    1435773946594.jpg
    37.3 KB · Views: 77
Hahahaaaaa!! Na kweli ni "its limit", wakiitwa genous nawe utapeleka hilo bichwa lako! Labda genous wa kuparamia na kukurupuka na kujipendekeza!

Kwa mfano unaposema kujipendekeza unaweza kuniambia kwa kitu gani ambacho ni very unique unacho ambacho Mimi sina hahahahah l( labda mbunye na kichwa kichwa kiazi)

Siwezi kujipendeka kwa MTU dizaini yako uko too shallow , narrow thinking capacity , small- time ,uko too balanced hahahah , may be too ugly crone b.tch hhahahahh
Too
Labda muda huu pia una- post from ambiance streets hahahahh .

So far siwezi kujipendekeza kwa anonymous coz sikujui ( may be unaweza kuwq jini) so kwa nijipendekeze kwa jini hahahahahh

Wewe kujuana na watu wawili watatu humu ndani ndo unakupandisha mabega juu na kifua mbele hahahh #JFsiyababako

In terms of anonymity humu JF naweza kujipendeza labda kwa Invisible nisipigwe ban hahahahah

Mazafantazzz huna quality kiivyo mbaya zaidi nipo JF kabla yako( cheki join date)

Ukikasirika sanaaa endelea kuchetuka mpaka unye boga hahahahahah

So sad!!!

Hahahahahahahah

Ova and out.
 
Last edited by a moderator:
Ule wimbo wa kiba kimasomaso alio toaga n mwana uliishia wapi
 
Ndoroboooo!!! Vibi binti biashara imedoda nini!!! Mbona yanakutoka sana?? hakuna wa kumuuzia humu dada peleka hiyo shombo yako kwa wehu wenzio hukoooo!!!

Hayaaaa chakecha cheketuaaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Me nangojea video ya kimasomaso by kiba cjui inatoka lini
 
Attachments

  • 1435774635469.jpg
    1435774635469.jpg
    40.8 KB · Views: 66
Back
Top Bottom