Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

kwenye swala la video hawa ndorobo niachieni mimi nitawapa elimu ya bure.

Kwanza naomba niwahakikishie kitu kimoja, nawajuwa vizuri wasouth africa wao huwa wanapenda vyao tu na vijana wa kisasa na waliokwenda shule wanapenda umarekani kwa sababu wanaamini ni marekani tu ndio imeizidi south africa. Si ajabu ukienda sinema theather kijana wa kisouth africa akakuuliza hii movie imetengenezwa cape town? Unajuwa ni kwa nini? Wao wenyewe wanashindwa kutofautisha muonekano wa nchi yao na ulaya au marekani na wengi wao hawatembei na wala hawaijui kabisa nchi yao.

Mandhari ya video ya kiba itapata viewers wengi wasouth africa kwa sababu ya mandhari ya video na ile gari nyekundu iliyotumika ndio kama icon ya wasouth africa zile gari zinaitwa caravele ni gari ghari sana na wezi wa magari wanazitarget sana maana ndio daladala za kwenye location za weusi hasa south and west townships (soweto).

Kuna vitu mimi binafsi kwa maoni yangu vinahitaji exposure zaidi kuvijuwa otherwise mtu atakuwa anabwabwaja tu.

Nota bene: South africa inashika nafasi ya tatu kidunia kwenye film industry, hollywood ikiwa ndio kinara na ndio gharama zao ziko chini ndio maana si ajabu leo movie kufanyika ulaya lakini makampuni yakachukuliwa south africa maana ni same quality kwa pesa ndogo kuliko gharama za hollywood.

aiache hukokuko soweto sasa.., anaanza kutukumbusha movie za sarafina leo.

Kama aliwatageti wale mahouse grls na vibaka wanaoonekana hvyo ktk video its well and good. Awapelekee hyo video sasa.
 
Ha haaa luv..
Nilitegenea nione mtu akicheketuka sjaona...kwan kucheketuka ndio kucheza style ile??? Luv....
Nauliza tuuu

Shangaa hata wewe, twist inakua cheketua.
Hawa jamaa sijui wanabisha nin?
 
hujaielewa video kila kitu cha zamani lakini yeye wasasa, yana anakubalika mpka na wazee,..ambapo ingekua enzi zao wangeserebuka vile.....

Yaani hawa watu sijui wana shida gani, basi na wao waimbe alafu wafanye video wanavyotaka video iwe, wakubali tu kuwa hata hawajui wanachoongelea, hii video inawatafuna vibaya mnoooooo, maana mioyo yao inatambua the way ilivyo bora, the video of the year ati.
 
Uwiiiiiiiiii jamani nimeshindwa kuvumilia kwakweli! Sio kwa raha hizi alizonipa King Kiba kwa hii video tamu namna hii!
Hapa Iftari haipandi niko YouTube nairudia video kila mara kama mwendawazimu!
Iftari ya leo ni video ya my King Kiba....ayayayayaaaa.

Hao wapinzani wanaoiponda hii video wao ni akina nani kwa mfano? Sisi kama mashabiki wa King tumeipokea vizuri na tumefurahi saaaaana.
Watulie tu dawa iwaingie vizuri maana kila nikiingia YouTube viewers wanaongezeka kama mchanga wa bahari!
Miss you guys. ...nimeona sijitendei haki kama sitakuja kushare na nyie hii furaha yangu.

Kuwa na viwers wengi sio inshu..ila swala ni kwamba viwers wanakoment nini after that..??? M ni mmojq wapo wa viewer nimeongeza idad ya viewers ila nimekasirika kupoteza muda na mb kuangalia kitu kibovu...
Bora wanjera kuliko hiki kituko
 
Yaani hawa watu sijui wana shida gani, basi na wao waimbe alafu wafanye video wanavyotaka video iwe, wakubali tu kuwa hata hawajui wanachoongelea, hii video inawatafuna vibaya mnoooooo, maana mioyo yao inatambua the way ilivyo bora, the video of the year ati.

Video haina ubora kaka....ila ni mahaba yenu na kiba tuu ndio yanayowafanya hamfunguki akili....
Poleni kwa kukumbatia huu ujinga
 
aiache hukokuko soweto sasa.., anaanza kutukumbusha movie za sarafina leo.

Kama aliwatageti wale mahouse grls na vibaka wanaoonekana hvyo ktk video its well and good. Awapelekee hyo video sasa.

Wewe tutusa punguwani wahed leo hapa nitakupa darasa la bure, hapa umekosea njia hii ni field yangu ni sawa na umchokoze Lisu kwenye sheria.

Hapa kuna movie mpya inaandaliwa ila inatakiwa ionekane ilishootiwa miaka ya 1920 huko. Tutusa kama wewe huwezi kuyajuwa haya watu wenye akili na wanaotumia akili zao vyema ndio wanayafanya haya.

Thats why sikuwahi kufanya wala kuzileta idea hizi Tanzania miaka 15 iliyopita maana hata internet cafe zilikuwa hakuna zilikuea chache City center nisingeeleweka, simu watu bado walikuwa wanatumia mshindi na twanga pepeta bruetooth ulikuwa ni msamiati, wanaoijuwa google sidhani idadi yao ilikuwa wangapi.
 
aiache hukokuko soweto sasa.., anaanza kutukumbusha movie za sarafina leo.

Kama aliwatageti wale mahouse grls na vibaka wanaoonekana hvyo ktk video its well and good. Awapelekee hyo video sasa.

Ndiyo ushaletewa na unaitoleamajicho kila wakati, ikikuuma sana kunywa maji ya betri, ila kabla ya hiyo hebu ucheketue ya mwishomwisho sawa mtoto mzuri.
 
Ha haaa luv..
Nilitegenea nione mtu akicheketuka sjaona...kwan kucheketuka ndio kucheza style ile??? Luv....
Nauliza tuuu

Alafu umenikumbusha hata macho ya blue light sijayaona, na sijamuona kabisaaaa Kiba akiwa nyang'anyang'a, alafu hivi yale ndio maghorofa ya kariakooo??? Huyu Kiba huyu katudanganya eti eeeh alafu sasa akatuweza kwa booonge la video?
Nauliza tuuu..

Haya chekecha cheketuaaaaaa......
 
blogger am talking about this.
Hiyo treni ni mpya kabisa inashepiwa kizamani kwa akili zako ndogo huwezi kuyajuwa haya.
 
Attachments

  • 1435733131512.jpg
    1435733131512.jpg
    19.6 KB · Views: 73
Last edited by a moderator:
Alafu umenikumbusha hata macho ya blue light sijayaona, na sijamuona kabisaaaa Kiba akiwa nyang'anyang'a, alafu hivi yale ndio maghorofa ya kariakooo??? Huyu Kiba huyu katudanganya eti eeeh alafu sasa akatuweza kwa booonge la video?
Nauliza tuuu..

Haya chekecha cheketuaaaaaa......

kuna sehemu kasema "mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia " mi nimeangalia mara nyingi sana ila sijaona wivu unavyokimbia kosa lingine hilo 😀😀😀😀😀😀
 
hahahaha.... walipoona kile kipande cha chekecha japo watu hawakuona video yote wakadai video gani watu wanakata mauno mwanzo mwisho utafikiri vita... leo wameona yote wanasema hawajui kucheza....wengine wanasema oooh video kama ile angeshoot hanscana afu angeweka watu wakatike.... ikabidi niangalie hizo video wanazosema.... mmmmh video chafu kama zile ndo ufananishe na chekecha kweli watanzania wanapenda vitu vibaya.... video zenyewe wanazosifia zimeshootiwa low angel mwanzo mwisho afu chafu.... na hakuna kitu kinachoboa kama kutazama video low angle...watu hawajui hata video production ikoje ila ni kuweka ligi za ubishi... video mbaya... ok tuonyeshe nzuri.... ok wanasema ukiona watu wote wanakusifia basi huna effect name maneno yao ndo yanawaponza manager no sawa name kumuita mtu ------- wakati ni lijari sasa atamtia mimba mkeo na wanao ili kukufunza adabu.... ale chekecha
 
Kuwa na viwers wengi sio inshu..ila swala ni kwamba viwers wanakoment nini after that..??? M ni mmojq wapo wa viewer nimeongeza idad ya viewers ila nimekasirika kupoteza muda na mb kuangalia kitu kibovu...
Bora wanjera kuliko hiki kituko

Uwiiii chekeche cheketuaaaa ayaaa chekecha cheketuaaaaaaa
 
Yaani walitegemea magari ya kifahari na location expensive ila alichofanya meji alabi ni hatari, kachukua van moja model ya zamani na ile nyingine tulikuwa tunaita mgongo chura, pia kellys alifanya kazi nzuri kwenye kuvaa #vivakiba

Watu wanazani video ili iwe nzuri razima iwe na expensive facilities...! Idea ya kiba still bado ni nzuri sana coz hizo video ndio nyingi ukiangalia kwa wasanii wa South Africa. Mbona kina Uhuru wameshafanya hzo idea na zikawa Kali 2...
 
Ha haaa luv..
Nilitegenea nione mtu akicheketuka sjaona...kwan kucheketuka ndio kucheza style ile??? Luv....
Nauliza tuuu

Alafu lov unanikosea kikubwa sana.
Ndo nini unaleta fujo ukwen?
unashindwa kuwaheshimu ata shemeji zako?
Acha izo bhana si unajua siwezi kukulabulia maneno?
Basi stop it
 
wewe tutusa punguwani wahed leo hapa nitakupa darasa la bure, hapa umekosea njia hii ni field yangu ni sawa na umchokoze lisu kwenye sheria.

Hapa kuna movie mpya inaandaliwa ila inatakiwa ionekane ilishootiwa miaka ya 1920 huko. Tutusa kama wewe huwezi kuyajuwa haya watu wenye akili na wanaotumia akili zao vyema ndio wanayafanya haya.

Thats why sikuwahi kufanya wala kuzileta idea hizi tanzania miaka 15 iliyopita maana hata internet cafe zilikuwa hakuna zilikuea chache city center nisingeeleweka, simu watu bado walikuwa wanatumia mshindi na twanga pepeta bruetooth ulikuwa ni msamiati, wanaoijuwa google sidhani idadi yao ilikuwa wangapi.
nimekuzoea kuongea kwa mikwara na vitisho ilhali hoja unakua huna.
Ninakumbuka vizuri fasih niloisoma form three...

Jina la hadith, story au kitabu na picha ambayo ipo juu ya kava uwa kwa kifupi vinaonesha themes kwa nini kipo ndani.

If that is so! Nijibu sasa.

Jina ,chekecha cheketua na vimbwanga vinavyoonekana kuna uhusiano gani.

Ndio maana twasema, hata wale wahusika ktk video hataelewi walichokua wanafanya.0lakin la muhm zaid sidhani kama ilikua na script na kama ilikuwepo basi director hakuielewa.

Ukinijibu ki lofa nakupotezea mazima.
 
Video haina ubora kaka....ila ni mahaba yenu na kiba tuu ndio yanayowafanya hamfunguki akili....
Poleni kwa kukumbatia huu ujinga

Sijui umekula maharwage ya wapi weyee...huyo ni kaka kwa akili yako?
 
Hapo sijazungumzia mazingira ya video, masalusalu yameanikwa mtaani.,mauchafu uchafu, watu wenyewe wale ni kama ilikua ni asubuhi wametoka aamka hata mswaki bado.

Acheni upofu, ongeeni ukweli.
 
Back
Top Bottom