Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ha ha ha Matola unaongea nini wewe? Ustake kutetea vitu vya ajabu ajabu kubalini ukweli ile video ali k kaichemka.

anyway inaweza isiwe kosa lake moja kwa moja but ni kosa la director kw sabab yaweza kua kiba alitoa idea nzuri ya video ila director kashindwa kumeet vile viwango vya hiyo idea.

kosa kubwa pia la Kiba labda ni kupokea video na kurealease hata km video haku ipenda hpa ieleweke kwamba sina uhakika km kweli Kiba haku penda ubra wa video.

kama kweli alikua anataka video iwe na materials za kizamani ni sawa kabisa but kwa nini yeye avae suti /mavazi za kisasa? (suti,kofia,jinzi,raba,moka sweta,miwani nk) vyote vile havi muonyeshi katika hali ya uzamani.

kama ni kutaka mandhari ya kizamani cheki video ya "H-art the band wimbo wa nikikutazama" very simple video but ina vutia kuiangalia sana tena sana na ina muonekano bora wa kizamani zamani.

Tukubali ukweli cheketua kachemka labda yaweza kua director kamuangusha ila katika kumbukumbu yangu Kiba hajawahi kufanya video kali hata mwaka mmoja.labda ya mwana kidooogoooo.

Hili gazeti lote kwa waelewa wa hapa JF wanajuwa moyoni unavyoumia. Pole sana mimi sina muda wa porojo wala huna huwezo hata chembe wa kudebate na mimi lolote kuhusu film industry hujui kitu.

Mimi nimeshiriki kutengeneza movie (siyo bongo movie) za viwango vya Hollywood sembese hii video ya music? mbumbumbu kama wewe utanieleza nini?

Tena kwa wale wasiojuwa hicho kiduka kilichowekwa spika hapo nje ni cha kutengeneza maalum kwa ajili ya shooting baada ya shooting mnabomoa na kuliacha eneo la watu kama mlivyolikuta.

Kuset up location kama hiyo ni kazi ya siku moja tu maana kazi yote hufanyika work shop hapo kwenye location ni kuyaunganisha tu maplywood na kupaka rangi na decorate.

Usiingize chuki zako za kishamba kwenye proffesional za watu, nishe usingizini hata saa nane usiku hunidanganyi kitu kuhusu film industry.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu naona unaendeleza matusi na dharau so far wewe wa long behave basi kama unavyohubiri .
 
hujaielewa video kila kitu cha zamani lakini yeye wasasa, yana anakubalika mpka na wazee,..ambapo ingekua enzi zao wangeserebuka vile.....
 
Matola Shardcole unanitaka hao watu msiwajibu jamani hawajielewi ile siku kiba aliweka kipande insta wakasema video mbaya sasa mtu hujaiona video yote unajudge waaacheni jamani labda kama mtu ni teamkiba halafu akaiponda video hapo sawa mjibuni maana ni mwenzetu hao wana fiki waacheni sawa nifah cut b Diva Beyonce Avemaria Genoveros Abou Saydou Mdakuzi madam s
 
Wewe hujui kitu leo sasa wacha nikuingize darasani japo kwa uchache ili mkome kuponda proffesional za watu wanaotumia akili badala ya tumbo kufikiri.

Hapa nakuwekea upset film location kidogo nikuondowe tongotongo.

Tunapokuja kwenye mambo proffesional kick ur asss out.

Majengo yote matatu unayoyaona hakuna nyumba halisi ya kuishi baada ya tangazo au movie mnabomoa location mnarudisha mabaki workshop.
 
Attachments

  • 1435730540249.jpg
    1435730540249.jpg
    17.1 KB · Views: 85
  • 1435730560499.jpg
    1435730560499.jpg
    20.7 KB · Views: 87
  • 1435730571588.jpg
    1435730571588.jpg
    21.1 KB · Views: 87
Matola Shardcole unanitaka hao watu msiwajibu jamani hawajielewi ile siku kiba aliweka kipande insta wakasema video mbaya sasa mtu hujaiona video yote unajudge waaacheni jamani labda kama mtu ni teamkiba halafu akaiponda video hapo sawa mjibuni maana ni mwenzetu hao wana fiki waacheni sawa nifah cut b Diva Beyonce Avemaria Genoveros Abou Saydou Mdakuzi madam s

Mkuu pwilo hawa jirani zetu wa ajabu sana, eti wanasema bora Audio kuliko video, mara bora mwana video kuliko chekecha video na wakati wanasahau kuwa wao ndio waliponda video ya mwana, pia wanasahau wao ndiyo walioponda chekecha Audio hahahhaha

Kweli kiba ni Atomic bomb

#Rockstar4000presents
 
Last edited by a moderator:
hujaielewa video kila kitu cha zamani lakini yeye wasasa, yana anakubalika mpka na wazee,..ambapo ingekua enzi zao wangeserebuka vile.....

mkuuu usiwajibu plz najua itakua ngumu ila tujiwekeeni utaratibu wa kuwapuuza mbona hii habari hawajaifungulia uzii ( mkuu mwanaspot ndo waliandika hivyo juzi wao kila kitu cha kiba wanafungua uzi alipofanya daladala tour wakamuita konda wao ndo wanatuletea habari za kiba lakini kwa nn wanaleta mbaya nzuri kama hizi hawaleti hao ni wana fiki tuwapotezeeni
 
Yaani habari ya mujini ni chekecha tuu. Wachuki mnalo mwaka huu.
Hii wiki nzima yote tunachekechua hutaki chambia maji ya betriii.
Chekechaaaaa.

Morning guys.
 
Attachments

  • 1435731001458.jpg
    1435731001458.jpg
    28.3 KB · Views: 80
Mkuu pwilo hawa jirani zetu wa ajabu sana, eti wanasema bora Audio kuliko video, mara bora mwana video kuliko chekecha video na wakati wanasahau kuwa wao ndio waliponda video ya mwana, pia wanasahau wao ndiyo walioponda chekecha Audio hahahhaha

Kweli kiba ni Atomic bomb

#Rockstar4000presents

ndo maana nimekwambia hao ni wanafiki tuwapotezeeeni wanatufanya tunamjaduli domo wakati ana uzi wake achaneni nao (nafurahi sana kuwa shabiki wa kiba maana kuna watu wanataka wawe teamkiba ila kadi zimeisha wataingiaje)
 
Attachments

  • 1435731162542.jpg
    1435731162542.jpg
    36 KB · Views: 77
Last edited by a moderator:
Mkuu pwilo hawa jirani zetu wa ajabu sana, eti wanasema bora Audio kuliko video, mara bora mwana video kuliko chekecha video na wakati wanasahau kuwa wao ndio waliponda video ya mwana, pia wanasahau wao ndiyo walioponda chekecha Audio hahahhaha

Kweli kiba ni Atomic bomb

#Rockstar4000presents

Kwenye swala la video hawa ndorobo niachieni mimi nitawapa elimu ya bure.

Kwanza naomba niwahakikishie kitu kimoja, nawajuwa vizuri Wasouth Africa wao huwa wanapenda vyao tu na vijana wa kisasa na waliokwenda shule wanapenda Umarekani kwa sababu wanaamini ni Marekani tu ndio imeizidi South Africa. Si ajabu ukienda sinema theather kijana wa Kisouth Africa akakuuliza hii movie imetengenezwa Cape town? Unajuwa ni kwa nini? Wao wenyewe wanashindwa kutofautisha muonekano wa nchi yao na ulaya au Marekani na wengi wao hawatembei na wala hawaijui kabisa nchi yao.

Mandhari ya video ya Kiba itapata viewers wengi Wasouth Africa kwa sababu ya mandhari ya video na ile gari nyekundu iliyotumika ndio kama Icon ya Wasouth Africa zile gari zinaitwa Caravele ni gari ghari sana na wezi wa magari wanazitarget sana maana ndio daladala za kwenye location za weusi hasa South and West Townships (Soweto).

Kuna vitu mimi binafsi kwa maoni yangu vinahitaji exposure zaidi kuvijuwa otherwise mtu atakuwa anabwabwaja tu.

Nota bene: South Africa inashika nafasi ya tatu kidunia kwenye film industry, Hollywood ikiwa ndio kinara na ndio gharama zao ziko chini ndio maana si ajabu leo movie kufanyika Ulaya lakini makampuni yakachukuliwa South Africa maana ni same quality kwa pesa ndogo kuliko gharama za hollywood.
 
Last edited by a moderator:
Watu na mahaba yetu kwa kiba bhaaana.
Kama mimi sisikii wala sioni yaan
 
Kwenye swala la video hawa ndorobo niachieni mimi nitawapa elimu ya bure.

Kwanza naomba niwahakikishie kitu kimoja, nawajuwa vizuri Wasouth Africa wao huwa wanapenda vyao tu na vijana wa kisasa na waliokwenda shule wanapenda Umarekani kwa sababu wanaamini ni Marekani tu ndio imeizidi South Africa.

Mandhari ya video ya Kiba itapata viewers wengi Wasouth Africa kwa sababu ya mandhari ya video na ile gari nyekundu iliyotumika ndio kama Icon ya Wasouth Africa zile gari zinaitwa Caravele ni gari ghari sana na wezi wa magari wanazitarget sana maana ndio daladala za kwenye location za weusi hasa South and West Townships (Soweto).

Kuna vitu mimi binafsi kwa maoni yangu vinahitaji exposure zaidi kuvijuwa otherwise mtu atakuwa anabwabwaja tu.

Nota bene: South Africa inashika nafasi ya tatu kidunia kwenye film industry, Hollywood ikiwa ndio kinara na ndio gharama zao ziko chini ndio maana si ajabu leo movie kufanyika Ulaya lakini makampuni yakachukuliwa South Africa maana ni same quality kwa pesa ndogo kuliko gharama za hollywood.

Word! Asante mkuu endelea kutoa elimu ya uraia mpaka waelewe.
 
Mkuu pwilo hawa jirani zetu wa ajabu sana, eti wanasema bora Audio kuliko video, mara bora mwana video kuliko chekecha video na wakati wanasahau kuwa wao ndio waliponda video ya mwana, pia wanasahau wao ndiyo walioponda chekecha Audio hahahhaha

Kweli kiba ni Atomic bomb

#Rockstar4000presents

Acha kusifia ujinga bhanaa kama video ni mbovu ni mbovu tuuu hata mnge fanyaje kiba haez toa video nzurii..
Kazi kujifariji kwa ujinga jinga tuu
 
Last edited by a moderator:
Yaani habari ya mujini ni chekecha tuu. Wachuki mnalo mwaka huu.
Hii wiki nzima yote tunachekechua hutaki chambia maji ya betriii.
Chekechaaaaa.

Morning guys.

Ha haaa luv..
Nilitegenea nione mtu akicheketuka sjaona...kwan kucheketuka ndio kucheza style ile??? Luv....
Nauliza tuuu
 
Word! Asante mkuu endelea kutoa elimu ya uraia mpaka waelewe.

Mkuu wala haiitaji degree kujuwa kwamba unapokwenda Ulaya zawadi ya kumpekea mzungu siyo Iphone 5 bali ni vinyango batiki shanga mashuka ya kimasai ndala za mgogo and likes.

Nina video nataka kuipandika hapa nashindwa leo tutaelewana kwa mifano hai.
 
Back
Top Bottom