look at this Th Name atoto cut b Diva Beyonce nifah@unanitaka peterchoka i have screeshotted some of coment very interesting one
Kiba anakubalika hatareee
Last edited by a moderator:
look at this Th Name atoto cut b Diva Beyonce nifah@unanitaka peterchoka i have screeshotted some of coment very interesting one
unajiskiaje labda kuja kwenye uzi wa mtu mwingine kwa kusudi la kuanzisha vurugu lengo lako ni nini hasa kaka?
uzi ufungwe?
watu wapigwe ban?
au comments zifutwe?hakuna kitu kizuri km ustaarabu hukatazwi kuchangia kwenye nyuzi yoyote ila tafadhali jiheshimu bass
mana wengine tukianza mziki wetu hapaaaa...hamchelewi kuingiza wazazi wetu...!!
Mi ngoja niende kwenye uzi ule mwingine wa kiba watakuwa wameweka, kuna timu domo leo imejitolea bureeee kuweka takwimu kila mara.
Usifanye hivyo pls dear, atakuripoti hata huko utakula ban pia.
Halafu nikirudi rasmi nataka tuchonge sana pm mpenzi, nataka hizi habari za ban kwako zifike kikomo maana nakupendaga hujui tu.
Sasa ukipata ban nachukiaje? Pls jaribu kujicontrol hasira zako mwaya.
Hahaaaaaa!! Mbona siwaoni wazee wa takwimu jamani
Ukome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?
Kama kawaida yao, na hizo takwimu zao ndio hutumia kutetea kila kitu, kuna muda nachekaga, na ukiona tuuu wameanza kutoa takwimu ujue tu level of panik iko ikulu, najua pwilo hapo anawachokonoa tu, km nawaona wanavyotukana kimoyomoyo, hahaaaaa Kiba kimbizaaa hao kuku, alaaah lazima tuwale nyama maana hakuna namna.
Ooh!
Umenipa rahaaa!
Miss youuuu...unafiki mwisho tandaleeeeee! Mjini kila mtu cheketua!
mi naangalia kila baada ya nusu saaa nyc video from king
c umeona hadi wakenya wanashangaaa kuwa na kipaji kama cha kiba Tz halafu tunakipoteza bureee kwa bifu za kijinga
Sijaliona bana hilo ilibid tulifungulie thread, ukiona hivyo vitu please tupia hapa bana wadau tuone how king anakuwa appreciated.