Uwiiiiiiiiii jamani nimeshindwa kuvumilia kwakweli! Sio kwa raha hizi alizonipa King Kiba kwa hii video tamu namna hii!
Hapa Iftari haipandi niko YouTube nairudia video kila mara kama mwendawazimu!
Iftari ya leo ni video ya my King Kiba....ayayayayaaaa.
Hao wapinzani wanaoiponda hii video wao ni akina nani kwa mfano? Sisi kama mashabiki wa King tumeipokea vizuri na tumefurahi saaaaana.
Watulie tu dawa iwaingie vizuri maana kila nikiingia YouTube viewers wanaongezeka kama mchanga wa bahari!
Miss you guys. ...nimeona sijitendei haki kama sitakuja kushare na nyie hii furaha yangu.
I miss you sis darling. ..juzi nipita hapa kimyakimya ulinifurahisha sana kwa yale madini uliyoyatema hapa.
Nilikupendaje sasa? Uwiiiiiii ilikua kidogo tu nilog in nije nikupe gwala...just know that ulinikosha mnooooo!
Hakuna aliyelazimishwa kumshabikia/kumpenda Kiba.Kama mtu anaona disappointments tu kwanini asijikate kivyake?
Huu ni unafiki sasa, mnanikera sana nyie watu.
Tuacheni sisi die hard fans wake, hatutaki mamluki.

Miss you more my cute b.Nakuonaga na hua unanifurahisha sana, wewe ni kiboko yao mama.Karibu mamy lol i mic yuu mooo
nifah mic u campain manager #teamkiba
i missed ur actions my nifah
I miss you sis darling. ..juzi nipita hapa kimyakimya ulinifurahisha sana kwa yale madini uliyoyatema hapa.
Nilikupendaje sasa? Uwiiiiiii ilikua kidogo tu nilog in nije nikupe gwala...just know that ulinikosha mnooooo!
Hakuna aliyelazimishwa kumshabikia/kumpenda Kiba.Kama mtu anaona disappointments tu kwanini asijikate kivyake?
Huu ni unafiki sasa, mnanikera sana nyie watu.
Tuacheni sisi die hard fans wake, hatutaki mamluki.
I miss you sis darling. ..juzi nipita hapa kimyakimya ulinifurahisha sana kwa yale madini uliyoyatema hapa.
Nilikupendaje sasa? Uwiiiiiii ilikua kidogo tu nilog in nije nikupe gwala...just know that ulinikosha mnooooo!
Hakuna aliyelazimishwa kumshabikia/kumpenda Kiba.Kama mtu anaona disappointments tu kwanini asijikate kivyake?
Huu ni unafiki sasa, mnanikera sana nyie watu.
Tuacheni sisi die hard fans wake, hatutaki mamluki.
nifah karibu tena my sister. tuburidike na chekecha videoUwiiiiiiiiii jamani nimeshindwa kuvumilia kwakweli! Sio kwa raha hizi alizonipa King Kiba kwa hii video tamu namna hii!
Hapa Iftari haipandi niko YouTube nairudia video kila mara kama mwendawazimu!
Iftari ya leo ni video ya my King Kiba....ayayayayaaaa.
Hao wapinzani wanaoiponda hii video wao ni akina nani kwa mfano? Sisi kama mashabiki wa King tumeipokea vizuri na tumefurahi saaaaana.
Watulie tu dawa iwaingie vizuri maana kila nikiingia YouTube viewers wanaongezeka kama mchanga wa bahari!
Miss you guys. ...nimeona sijitendei haki kama sitakuja kushare na nyie hii furaha yangu.
Hahahaaaaa yaani nifah yaani ungeacha hii video ya mwaka ipite bila kutia neno wallah nisingekuelewa, hao walikuwa wanasubiri waone maghorofa ya k.koo sasa hawajayaona wameumia maana hata k.koo hawaijui walitka kuosha macho, the video idea is veryyyyy facinating, kitu old school flani amazing yaani duuuh King kaniweza hatari.
Naanzaje sasa jamani? Ujue hadi navunja agano langu la kuingia humu ujue nimeshikwa kwelikweli.
Kiba kaua jamani, hasa pale anakocheza na yule mdada mwenye tight na kipensi cha blue bahari...
Yalaaaaa ngoja nisiseme sana maana huyu King anataka kuniharibia ibada yangu, sio kwa MATUSI yale mazuri aliyoyafanya.
Hao wapinzani nachekaje mnavyowapa za uso jamani? Uwiiiiiii sijawahi kuona fans wa Kiba wakinipa raha kama kwenye hii video.
Kuna sehemu Shardcole, unanitaka kalou Abou Saydou cute b Avemaria Ms.Lincoln peterchoka pwilo wananipa raha balaa.
Nimewapenda buuure pia Revokatus Kashaga na wengineo..
Wanachonichosha zaidi ni wanavyosema walitegemea makubwa...khaaaaa wanategemea makubwa wao kama akina nani?
Halafu kumbe King anawapa pressure hivyo?
Hawajui tu vile wanajivua nguo kwa mihemuko yao.
Hahahaaa miss you too honey.
Video mbovu inaonyeshwa trace sasa ivi
dola 2000
Video mbovu inaonyeshwa trace sasa ivi