Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani my dear nifah nilikumicje sasa jamani at least umetia timu kusherekea chekecha aisee.
Sio tu mamluki na wanafiki juu watuachie kiba wetu.

Miss you too mupenzi ake, unanifurahishaje siku hizi?
Nakusomaga unavyowapa watu za uso nacheka hatariiiii.
Kaza mama, uzi huohuo...
 
Last edited by a moderator:
Haya maharage waliyokula ni hatari sana in gwajimaz voice. Kwanini wafute comments bila sababu na walikua wapi siku zote tukiwaita@Moderator kwanini mnafta comments zetu hamjui kuwa na sie tunapoteza mda wetu Ku comment basi fungeni Uzi.

Tena ni maharage yaliyovundikwa kabisa, ila sio kosa lao King anachowafanya sio kabisaaaa, hayaaa Moderator chekechaaa cheketuaaaaa, chekechaaa cheketuaaa
 
Last edited by a moderator:
nifah karibu tena my sister. tuburidike na chekecha video

Asante sana ndugu yangu, nimepagawa hadi nikashindwa kujizuia nikaingia humu nije kufurahi na nyie....
Jamani mkae mkijua niko pamoja nanyi always, kule YouTube mkiangalia video hata mimi mjue naangalia nanyi pia...
Hapa nawasoma sana basi tu siwezi kuwajibu.
 
Last edited by a moderator:
Niachane nalo au nilifate pm mkuu? Ujue linanigandaga sana naona leo nisililazie damu.
Ebu mkuu niambie.

alisema chekecha ikichezwa mara 5 apewe life ban sasa hivi imeshachezwa mara kibao sasa sijui linafuata nn Bloger nyambafuuu
 
Last edited by a moderator:
wewe sikia dogo umeshakanywa sana uache jeuri husikiii sasa unatutafutia ban ww hivi unajua tunaongelea nn

Kwan me nimetukana mtu hapa dogo au kukuambia ukweli kuhusu kuna nyimbo sio za diamond kashirikishwa ndo una hasira n mie oya shake shibobo move Ferrari bobo ah olamide katisha sn huu wimbo wa obobo
 
Haya maharage waliyokula ni hatari sana in gwajimaz voice. Kwanini wafute comments bila sababu na walikua wapi siku zote tukiwaita@Moderator kwanini mnafta comments zetu hamjui kuwa na sie tunapoteza mda wetu Ku comment basi fungeni Uzi.

roho zinawauma sana hao. wanazingua sana. #kingkiba
 
wewe sikia dogo umeshakanywa sana uache jeuri husikiii sasa unatutafutia ban ww hivi unajua tunaongelea nn

Oya shake shibobo move ferarai bobo oya shake shibobo aiseeee olamide katisha sn huu wimbo wa obobo
 
Mimi lile vuguvugu lilivyoanza Wallah kidogo niingie humu.
Sio kwa kuponda kule alikokua anafanya Abou Saydou na wenzie..
Shukrani kwa atoto maana alikua anamkataza kila alivyokua anazidisha.
Kiukweli Abou Saydou ulinikera mnooooo mdogo wangu, bahati yako tu sikuwa huku la sivyo tungegombana.
Hadi nikasusa kuwachungulia humu siku 2 baada ya kuja nikakuta upepo umetulia na wewe umegongelea nyundo zako nilifurahi sana.
Sio vibaya kusema ukweli ila kule wenzetu walizidisha, sio kihivyo jamani!

Ukweli kila siku tunampa king hatukatai lkn sio ule unaovuka mipaka na kuonyesha kabisaaaaa kuna vuguvugu la chuki binafsi khaaaah!!! King atasikiliza mangapi na ya wangapi sasa, mwisho wa siku naye ana maamuzi yake ati, if people thinks its easy just like that waimbe na wao sasa!!
 
Last edited by a moderator:
Usifanye hivyo pls dear, atakuripoti hata huko utakula ban pia.
Halafu nikirudi rasmi nataka tuchonge sana pm mpenzi, nataka hizi habari za ban kwako zifike kikomo maana nakupendaga hujui tu.
Sasa ukipata ban nachukiaje? Pls jaribu kujicontrol hasira zako mwaya.
nifah unajua jana @ bloger alisemaje kuhusu video mpaka tunahasira nae
 
Last edited by a moderator:
Usifanye hivyo pls dear, atakuripoti hata huko utakula ban pia.
Halafu nikirudi rasmi nataka tuchonge sana pm mpenzi, nataka hizi habari za ban kwako zifike kikomo maana nakupendaga hujui tu.
Sasa ukipata ban nachukiaje? Pls jaribu kujicontrol hasira zako mwaya.

Sawa nifah sifanyi ivyo tena navaa miwani ya mbao.
Nakupendaga pia dear nampenda pia kiba...yaan adi nachukia mtu akimkashifu.
Naanza kuchukua mazoez mamy atoto na Ms.Lincoln washanikataza na wew pia leo na kaka zangu kibao humu ndani The Name, pwilo peterchoka.
Ivo basi kwanzia leo nipo kwenye mafunzo ya kuji control dear ukirudi unanikuta nishazoea.
 
Last edited by a moderator:
Miss you too mupenzi ake, unanifurahishaje siku hizi?
Nakusomaga unavyowapa watu za uso nacheka hatariiiii.
Kaza mama, uzi huohuo...

Am glad today umekuja kuchekechua kidogo. Hawa lembululaz dawa yao nikuwapa na FACTS basi ili watulize mshono.
 
Asante sana ndugu yangu, nimepagawa hadi nikashindwa kujizuia nikaingia humu nije kufurahi na nyie....
Jamani mkae mkijua niko pamoja nanyi always, kule YouTube mkiangalia video hata mimi mjue naangalia nanyi pia...
Hapa nawasoma sana basi tu siwezi kuwajibu.

nilivyoona comment yako nikasema leo.karibu sana. video ninayo kabisa
 
Hawa wamenibore hawa akina invisible waache mihemko mbona za wengine hawafuti, wawe wana jicomentia basi wenyewe au waufunge Uzi. Kina wanaongozwa na mihemko waseme mfyuuuuuuuuu.

mbona ule uzi wanaosema kiba kafukuzwa hawafuti coment
 
Back
Top Bottom