Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
kuna mtu hampendagi ali kiba ila juhudi anazoifanya hapa kuitafuta hii chupa mpya inanishangaza...kazama mpaka webiste ya necta kulisaka chupa la mfalme...............mzungu angeweka record ya kusearch leo search ya chekecha ali kiba ingekuwa above 1 million kwa masaa haya machache