pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
ameshaenda
cc hatutegemei collabo na wa nigeria tutachukua tuzo wenyewe #cooke studio season 3 yupo na mtoto mzuri #woyoooooo teamkiba
ameshaenda
Yea king yupo kule
Nzuri
Habari yako mkuu
et Abou Saydou hivi godfather kuna video ambayo kaingiza kwenye mtvmama awards et na ya diamond ipo (jokes ) pop it in
Kama mapenz gorafa yamejaa kariakoo
Hahaha napenda sana hiki kipande hasa anapobembeleza sema nini unatakaaaaaa hahahah duh nataman ningekuwa ke wallah kiba ungenikoma
Hahaha napenda sana hiki kipande hasa anapobembeleza sema nini unatakaaaaaa hahahah duh nataman ningekuwa ke wallah kiba ungenikoma
Ha ha kwa hii video...guys let be realistic tuache ushabik mkaa plus maandaz binafsi imekuwa kinyume na expectation..nliexpect kiba atatoa video boraa but mmmh no..hii video ubunifu mdogo..
kile kikofia na ile stail ya kuchezaa hapnaa....
hapanaa
king badilikaaa la sivyo utabakia kubebwa na majungu tuu na sio video
Mwimbo wa mwana tu tuzo saba hahhahahaa sasa huu itakuwaje jamani uwiiiii please kiba ukiachia hii video tengeneza na ka audio kapya kamoja yani tunafyatua tartiiiiiiiiibu lakin uhakika hhahha
Video mbovu mkuu atapatajee? Anaanzaje kupata?