Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

humu kumbe kuna ban.

unanitaka haya bwana, wewe ni bingwa, dnt take everythng serious here.
 
Last edited by a moderator:
Sawa nifah sifanyi ivyo tena navaa miwani ya mbao.
Nakupendaga pia dear nampenda pia kiba...yaan adi nachukia mtu akimkashifu.
Naanza kuchukua mazoez mamy atoto na Ms.Lincoln washanikataza na wew pia leo na kaka zangu kibao humu ndani The Name, pwilo peterchoka.
Ivo basi kwanzia leo nipo kwenye mafunzo ya kuji control dear ukirudi unanikuta nishazoea.

Thats my cute b, thats y i love yuuuuu, say no to ban
 
Last edited by a moderator:
mbona ule uzi wanaosema kiba kafukuzwa hawafuti coment

Tena wanaziacha koment hadi mbovu tuwaeleweje sasa hawa. Wana mambo ya ajabu sasa wameshindwa Ku moderate jukwaa limekua na mambo ya kitaa wao wanaweka ushabiki kwenye kufuta comment. Si wana sema where we dare to talk openly. Mbona wanafta comment kumbe sio jukwaa huru hili.
 
Kwan me nimetukana mtu hapa dogo au kukuambia ukweli kuhusu kuna nyimbo sio za diamond kashirikishwa ndo una hasira n mie oya shake shibobo move Ferrari bobo ah olamide katisha sn huu wimbo wa obobo

no kuna wakati sio wa utani kedrick so inabidi uwe mpole utanipa ban bureee sasa unasema video mbovu kila wakati unarudia kitu hicho hicho now im serious
 
Last edited by a moderator:
nifah unajua jana @ bloger alisemaje kuhusu video mpaka tunahasira nae

Najua sana, si kasema apigwe ban ya mwaka sijui na makorokocho gani?
Hawa wapuuzi msiwaache hivihivi wapeni dawa zao ila msitukane pls pls.
Ngoja tu tutamripoti na apigwe hiyo ban.
 
Last edited by a moderator:
Tena ni maharage yaliyovundikwa kabisa, ila sio kosa lao King anachowafanya sio kabisaaaa, hayaaa Moderator chekechaaa cheketuaaaaa, chekechaaa cheketuaaa

Kweli wameniacha hoi kabisa waufunge Uzi basi ili tuwaelewe.
 
Last edited by a moderator:
Mi sijaona sababu ya wao kufuta comments zetu wanataka kuleta mambo ya zingifuri kwenye Uzi wetu.

Waache wafute kwani sh.ngapi, udhaifu wao walaaaa hautuzuii kumpenda king, mi na mapenzi teletele kama kwetu kuleee, aiiii hayaa chekecha cheketua.......
 
nilivyoona comment yako nikasema leo.karibu sana. video ninayo kabisa
Hahahahaaa ujue nimekabwa na hii video kidogo nife nikasema cha kufia nini? Ndio ikabidi niingie maana sio kwa raha hizi za King kwakweli.
Kilalakheri mpenzi, will be missing you

Ok dear...uwiiiiii naona mnazidi kaniweka huku tu.
 
no kuna wakati sio wa utani kedrick so inabidi uwe mpole utanipa ban bureee sasa unasema video mbovu kila wakati unarudia kitu hicho hicho now im serious

Upo serious n jamii forum:what: jifunze kwanza kuwa serious n maisha yko hustle for the paper boy hapa tupo just for fun don't panic we just started don't panic
 
Last edited by a moderator:
Tena wanaziacha koment hadi mbovu tuwaeleweje sasa hawa. Wana mambo ya ajabu sasa wameshindwa Ku moderate jukwaa limekua na mambo ya kitaa wao wanaweka ushabiki kwenye kufuta comment. Si wana sema where we dare to talk openly. Mbona wanafta comment kumbe sio jukwaa huru hili.

Moderator yupo youtube anacheketua, yaani chekecha imemchanganya hata hajui kipi cha kufanya hivyo akaamua afute tu comments fasta ajirudie youtube akacheketue, aii nani hapendi kucheketua na video of the year, ngoja nami nikacheketue kidogo.
 
Back
Top Bottom