Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hawayuuuuuuuuu, nipe habariiii, nini kinajiri humu ndani

Yaani huku habari ya mujini ni chekecha yaan watu mimacho imewatuka kama fundi cherehan hawaamini.
Kwa kweli kiba kafanya vyema.
 
Ivi mkuu unapata notification kwenye browser? Mimi sipati popote yaan

Aiseee hata mimi sioni notification, vipi ushaona video mie bado ndio kwanzaaaa nimepata angalau kamuda ka kuchungulia humu
 
Yaani huku habari ya mujini ni chekecha yaan watu mimacho imewatuka kama fundi cherehan hawaamini.
Kwa kweli kiba kafanya vyema.

Jamani mie nakosa cha kuongea maana sijaiona bado, nina mzuka mpaka basi, vp ashaitupia utube?? Yaani nilitamani nitoroke kazini leo, duuuh!!
 
Aiseee hata mimi sioni notification, vipi ushaona video mie bado ndio kwanzaaaa nimepata angalau kamuda ka kuchungulia humu

Nimeiona mamy akee ya ukweli kinoma.
Ujue hawa watu ni mbululaz coz walitaka dancer wa kiba sijui wavae sare kama waimba kwaya? Hahahaaaaa
Mamy na mimi ndo nimetoka kazini nimekaa apa nashangaa shangaa kwanza then nichukue usafir.
Video ipo nusu YouTube
 
Do you think hata iweje wangeisifia?? Wajikute tu, Kiba hana jema kwao mtoto wa watu
 
jamani mie nakosa cha kuongea maana sijaiona bado, nina mzuka mpaka basi, vp ashaitupia utube?? Yaani nilitamani nitoroke kazini leo, duuuh!!

msipotoshwe na mtu yeyote.

Link ya youtube inatoka officially jumatano.

Hakuna video ya chekecha cheketua youtube..
 
Back
Top Bottom